KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
kuna siku tulienda kucheza tabata walitusakizia mbwa baada ya kuwafunga 13-6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona namba 7 na 13 zinapingana?!
7 asiyeshiriki kutengeneza Mpira hatocheza!
13:mwenye Mpira huwa hatolewi ata akicheza vibaya!
SWALI vipi kuwe na mwenye Mpira na wewe umeshasema Mpira umetengenezwa na wote?! Tena asiyeshiriki kutengeneza hachezi,sasa mwenye Mpira ni nani tena hapo?!
Hapo inategemea mpira umepatikanaje, siku mwenye mpira akiumwa hamna mpira siku hiyo. Kwa hiyo inabidi mtengenez
e mwingine.
22. Kawaida kugawana viatu (kushoto unampa mshkaji na wewe unabaki na cha kulia)
Sasa mbona namba 7 na 13 zinapingana?!
7 asiyeshiriki kutengeneza Mpira hatocheza!
13:mwenye Mpira huwa hatolewi ata akicheza vibaya!
SWALI vipi kuwe na mwenye Mpira na wewe umeshasema Mpira umetengenezwa na wote?! Tena asiyeshiriki kutengeneza hachezi,sasa mwenye Mpira ni nani tena hapo?!
Alama za magoli ni mnaweka mawe.
Sasa mbona namba 7 na 13 zinapingana?!
7 asiyeshiriki kutengeneza Mpira hatocheza!
13:mwenye Mpira huwa hatolewi ata akicheza vibaya!
SWALI vipi kuwe na mwenye Mpira na wewe umeshasema Mpira umetengenezwa na wote?! Tena asiyeshiriki kutengeneza hachezi,sasa mwenye Mpira ni nani tena hapo?!
Wakati wa kujigawa mnapanga mstari 1,kisha mmoja mbele mwingine nyuma.
Mwenye mpira ndio anaamua timu gani ivue mashati.
Siku ya mechi mnawinda ndege aina ya MBAYUWAYU kisha mnamchagua muislam miongoni mwenu achinje ata kama ana GOVI,baada ya kuchinja mnamchoma na kumla eti muwe na uwezo wa kupiga chenga za maudhi.
mpira wa kurusha mchezaji anajirushia,
magori hayana miamba ya juu inategemea urefu wa golikips
beki baunsa akikaba mpira anamalizia na teke la matakoni