HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Na Tik Taka.Kanzu na tobo vina hadhi sawa tu na goli
Hapo kwenye Darizi patamu, hasa ukimvisha mtu Darizi na kisha ukamvua, hapo watu fulu kushangilia "eeeeeeeeeeeee"
Au utasikia "Muongeze"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Tik Taka.Kanzu na tobo vina hadhi sawa tu na goli
Hapo kwenye Magari umenikumbusha.Viwanja sio issue tulikuwa tunacheza barabaran wakubwa wakipita tunashika mpira kwa kusema "heshima" wakishapita Ngoma inaendelea Na magari yakipita mwendo n huohuo
JamaniView attachment 449138 Mechi kati ya waliovaa mashati Vs waliovua mashati.
CleverKING.Mkuu usiumie sana,furahia maisha kwa wakati ulio nao coz hata huu wakati ulionao sasa pia utaujutia au utaukumbuka baada ya miaka 10 au 20 ijayo,
Sometimes you will never know the value of a moment until it becomes a memory.
Asante kwa neno la uzima.Mkuu usiumie sana,furahia maisha kwa wakati ulio nao coz hata huu wakati ulionao sasa pia utaujutia au utaukumbuka baada ya miaka 10 au 20 ijayo,
Sometimes you will never know the value of a moment until it becomes a memory.
Mkuu,hii ilinihusu sanaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna moja ya Kipa na Ndani,haaahaaaa raha sana.Siku hizi watoto hawachezi kabisa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] mkuu naikumbuka hii sheriaa.ilikua ni hatariiiKuna vigoli vidogo hamna kipa. Ikitokea penati unatakiwa uzuie na mguu mmoja kama kilema.
Hapo namba mbili.ulkua unaambiwa in advance kabisa fulani akija ww utatoka...1.Ukiwa na viatu unavua,hasa joseph,na chachacha,
2.mtaalam akifika mmoja lazima atoke
3.kona inarushwa kwa mkono.
Mkuu yawezakana ulikua mtaalam wa kuyapiga hayo madole[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwenye mpira alikuwa anaamua namna ya kushuti.. Mf. Hamna kupiga mandole( kwa vidole vya miguu) ili mpira usifumuke haraka.
Mkuu umenigusa hahaaa, na wakati huo giza limeingia, inakubidi uokote hovyo hovyo hadi mbichi ilmradi mzigo ujaeKwa wale tuliokuliaa vijijin ilikuwa tamu kinomaaa...kila jioni kwenda kuchanja kuni mpira unachezwa kwanza giza likiingia ndo akili za kutafuta kuni zinaingia make ukiwahi unaibiwa ...unaingia home umechelewa fimbo zimekusubiria ...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ahaaaaaaaaaah mkuuu alafu ubaya kuna kuni home walikuwa hawazipendi wakat ndo zinapatika ...unaweka katikati ili zionekane nyingiMkuu umenigusa hahaaa, na wakati huo giza limeingia, inakubidi uokote hovyo hovyo hadi mbichi ilmradi mzigo ujae
Hahaaa, kwetu huo mti unaitwa mfufuru mkuu, kuni jikoni inatema maji na moshi tu! Mama hapo lazima akashtaki kwa Mzee na usiombe iwe ni wakati wa mvua za masika hahaaaaAhaaaaaaaaaah mkuuu alafu ubaya kuna kuni home walikuwa hawazipendi wakat ndo zinapatika ...unaweka katikati ili zionekane nyingi
Aiseeee kama tulikuwa nyumba mojaa...nimeusahau jina ila kwel ulikuwa unatoaa majii na moshiiHahaaa, kwetu huo mti unaitwa mfufuru mkuu, kuni jikoni inatema maji na moshi tu! Mama hapo lazima akashtaki kwa Mzee na usiombe iwe ni wakati wa mvua za masika hahaaaa
[emoji23] [emoji23] ..ndiyo.. Na ivi nna midole imeshibaMkuu yawezakana ulikua mtaalam wa kuyapiga hayo madole[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Duuuuh utoto banaNakumbuka tulikua tunachezea barabarani. Kuna kipindi walitandaza moramu tunapochezea.. Tumetoka shule tukakuta moramu, mechi ilichezeka hivihivo tena pekupeku.. Kesho yake kila mtu aliyecheza alikua anachechemea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] timu itakayo fungwa gori la kwanza wachezaji watavua mashati kasolo kipaSisi tulikuwa na sheria chache.
1.faulo pekee hata penati ni kushika
2.mpira ukitoka anaewahi ndio anarusha
3.hamna kona
4.hamna half time
5.giza ndio linaamua mpira uishe
6.mwenye mpira lazima acheze
7.mnyonge ndio kipa
8.hamna jezi,mwendo ni kuvaa au kuvua shati
9.hamna kucheza na viatu
10.anaejua yaani fundi lazima acheze mara nyingi huwa wanaringa sana