ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Shule tulizosoma zilikuwa na sheria na kanuni zake
Binafsi shule niliyosoma pamoja nilikuwa mwanafunzi mtiifu ila sheria zifuatazo zilinishinda
1. Kufika shule siku ya kufungua shule
Hapa ilikuwa lazima nivute nifike baada ya wiki 1 au 2
2. Kutochomekea shati
Hapa hata ungeniua nisingeweza kuchomekea
3. Kuhudhuria master parade
Ilikuwa jmosi hapa hata ungemleta Rais Kikwete nisingekuja
4. Kutunza pesa Kwa bursar
Shule niliyosoma ilikuwa na utaratibu wa kutunza pesa ndogo za matumizi Kwa mhasibu, me sikuwahi kutunza mkwanja wangu Kwa mhasibu. Nilikuwa natembea nao mfukoni
5. KutorokA
Nilitoroka hata bila sababu japo shule lilikuwa ni kosa la jinai KutorokA shule