Sheria gani ya shule ambayo ilikuwa lazima uivunje

nilikuwa wastani tu, kesi kesi mpaka nipatikane kwenye ile wanaita kwenye msafara wa mamba na kenge wamo!.
kuna jamaa tupo form four ananiambia "mwalimu fulani hajawahi kunichapa..!" nilishangaa sana!.
wakati sisi wengine ilikuwa ndo kama halali yake makosa mengi ya ujumuishi alikuwa hanikosi mara tumeingia na cd ya pilau!, mara tumevaa modo!, mara kelele kesho umeachia unywele mara umechelewa ilimradi tafrani!..😅
 
😀😂🤣 Ujana maji ya moto
 
Kuingia darasani na Kwenda assemble. Infact Advance sikuwahi kwenda assemble hata siku moja na siku pekee niliyoingia darasani ni siku ya mtihani wa Mock na NECTA, nakumbuka monitor wa Darasa letu aliponiona darasani mara ya kwanza akaniambia alikua anajua mimi ni mwalimu
 
Kwamba umesoma bila kuingia class 😂🤣😀
Umenizidi uhuni.😀🤣😂
Unaendeleaje na kazi Yako ya bodaboda Kwa Sasa?
 
Back
Top Bottom