Sheria gani ya shule ambayo ilikuwa lazima uivunje

Sheria gani ya shule ambayo ilikuwa lazima uivunje

Waliokuwa hawapendi kuvaa tai ama akivaa anavaa tai mlegezo hata skirt zao/Suruali zao ilikuwa lazima zishikiliwe na nyonga, sio tumbo kama ilivyotakiwa😁.
😂😂😂😂
Ila mie kuchomekea ndo had now siwezii.
Hata nivae suti, shati la ndani sichomekei, na koti navaa kwa juu. Lol
 
Kunyoa nywele kichwani, kukaguana soksi miguuni, siku ya jtatu school parade, kugagua vessle la kulia nguna.
 
😂😂😂😂
Ila mie kuchomekea ndo had now siwezii.
Hata nivae suti, shati la ndani sichomekei, na koti navaa kwa juu. Lol
Mbona sikuelewi
Me nikajua mavazi yako Kwa Sasa ni skirt, gown, 👙
 
Kutokwenda na simu shule, morning study na kutokupiga kelele/usumbufu darasani. Hayo nilishindwa kuyatii kabisa enzi nasoma
 
Back
Top Bottom