Sheria gani ya shule ambayo ilikuwa lazima uivunje

Sheria gani ya shule ambayo ilikuwa lazima uivunje

Mimi kutoroka ilikuwa damuni. Jumamosi ya kwanza nilienda mjini bila ruhusa. Na kila ijumaa ikifika lazima niende town na waislamu.

Kuchelewa shule nilikuwa sipendi ila kutokana na hali ngumu ya kiuchumi nilikuwa nachelewa hadi mwezi mzima kwa sababu ya ada. Nikifika shule wenzangu wanashangaa kwa sababu walishajua nimehama. Hata adhabu nilikuwa sipewi. Hii ni mojawapo ya sababu iliyonifanya niuchukie mno umaskini na kuapa kuutokomeza kwenye maisha yangu.
 
Kuvaa tie.
Niliposoma O level na Advance nilirudishwa pale pale 😂 mama Bundala wa Msalato girls alinisema kutoka maadui mpaka kua mwanae kipenzi. Be blessed.
 
Kuvaa tie
Kuchomekea shati
Kulia chakula bwaroni
Kutopiga kelele class
Na mengineyo.
Waliokuwa hawapendi kuvaa tai ama akivaa anavaa tai mlegezo hata skirt zao/Suruali zao ilikuwa lazima zishikiliwe na nyonga, sio tumbo kama ilivyotakiwa😁.
 
Back
Top Bottom