๐๐๐คฃ Ujana maji ya motonilikuwa wastani tu, kesi kesi mpaka nipatikane kwenye ile wanaita kwenye msafara wa mamba na kenge wamo!.
kuna jamaa tupo form four ananiambia "mwalimu fulani hajawahi kunichapa..!" nilishangaa sana!.
wakati sisi wengine ilikuwa ndo kama halali yake makosa mengi ya ujumuishi alikuwa hanikosi mara tumeingia na cd ya pilau!, mara tumevaa modo!, mara kelele kesho umeachia unywele mara umechelewa ilimradi tafrani!..๐
Kazi inaendelea vema, japo mapato hayakidhi mahitaji.Najua wewe saiv hauko ofsini Kwa huo ukorofi wako๐คฃ๐๐
Unaendeleaje na kazi yako ya mama lishe
Napambia kombe hapa, ๐๐๐๐๐คฃ๐๐ Pambana
Kwamba umesoma bila kuingia class ๐๐คฃ๐Kuingia darasani na Kwenda assemble. Infact Advance sikuwahi kwenda assemble hata siku moja na siku pekee niliyoingia darasani ni siku ya mtihani wa Mock na NECTA, nakumbuka monitor wa Darasa letu aliponiona darasani mara ya kwanza akaniambia alikua anajua mimi ni mwalimu
Elimu ya kidato cha 5 & 6 ni yakupoteza muda tu, naendelea vizuri nashukuru siombi wala sitamani cha mtu.Kwamba umesoma bila kuingia class ๐๐คฃ๐
Umenizidi uhuni.๐๐คฃ๐
Unaendeleaje na kazi Yako ya bodaboda Kwa Sasa?
Ngoja nikutupie PM.Duuuh nipe namba ya madam wako
Nimsalimie
Utamweza mkuu? Ana nyeti kubwa kama shimo la tewa.๐คฃ๐๐Napokea Kwa mikono miwili
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คญKumbe tabia ni kama ngozi...
๐๐๐๐๐Kuingia darasani na Kwenda assemble. Infact Advance sikuwahi kwenda assemble hata siku moja na siku pekee niliyoingia darasani ni siku ya mtihani wa Mock na NECTA, nakumbuka monitor wa Darasa letu aliponiona darasani mara ya kwanza akaniambia alikua anajua mimi ni mwalimu
Utapata ugonjwa usio na jina mkuu.Napendaga kuongelea