ππππWaliokuwa hawapendi kuvaa tai ama akivaa anavaa tai mlegezo hata skirt zao/Suruali zao ilikuwa lazima zishikiliwe na nyonga, sio tumbo kama ilivyotakiwaπ.
Angeniacha nisingekua natype sasa hivi.mbona kisirani yule mmeo kakuacha nini?
Hatari, hasa O level nimevalishwa sana lile bango la SWAHILI SPEAKERπππ€£No yes zilikushinda
Kwani unanichukuliajee? ππππMbona sikuelewi
Me nikajua mavazi yako Kwa Sasa ni skirt, gown, π
Basi sawaa.Nakuchukulia demu mzuri?
Haukosei, uko sahihi kabisa.Au nakosea?
Niweke wazi jinsia yako
PoaahSawaaaa mrembo
Kutoroka mda wowoteKulia chakula bwaloni.