Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

Fikiria tena ndo ujibu ,unaongea bila kufikiria, hata kibaka anaweza iba kavaa nguo ambazo zinafanana na za jeshi ila ww kwa kumuona kwa mbali utasema moja kw moja ni mjeda ,
Tafsiri yake nn watu watakua wanasema ni wanajeshi wanaofanya matukio hayo y ajabu ajabu.
Ishu no Jeshi kupakwa matope kwa matukio y ajabu.
 
Eti mpaka ukague nembo?
 
Wewe umesoma wapi walipokuambia Mwanajeshi haruhusiwi kukukamata na kukufikisha kituo ch police?
 
Lakini kwanini wavae. Hebu fikiria mtu kavaa full uniform kama mjeda au polisi huoni Kwa nchi kama yetu anaweza tumia huo mwanya kutapeli/kunyanyasa watu?
Huyu anayesema ni ushamba hsikosi ni jambazi hutumia camouflages wakati wa matukio. Anadai eti enzi "hizi", enzi zipi? Riffraff!
 
Kwanza mtaan hakuna raia anaevaa nguo the same na geshi, ukiangalia nying ni mitumba ambazo hazifanan hata kdg.
 
Nyie wote mnaokomalia kuvaa nguo za wajeda, naona mnajikuta much know sana kama kitu kimekatazwa msifosi. Nguo za kuvaa zipo nyingi. Je nao jeshi waseme wavae kama raia mtawachukuliaje? Tusikaze mafuvu yetu ili kuepusha shari na vyombo wa usalama.
 
Ni kweli usemayo lakini kwa Tanzania watu wanayatumia vibaya hayo mavazi, siyo kwa uzalendo wala fashion.

Ni sawa tu yapigwe marufuku, mpaka tufikie wakati wetu wa utayari.
 
Diamond na Zuchu huwa wanavaa za wafungwa.
Wapo sahihi. Kwa nini watu wasivae sare za marehemu, sare za wafungwa na wakimbilie za watu wenye mafunzo hatari ya kijeshi?
 
Waambiwe ukweli.
SARE sio jeshi.
Jeshi ni mafunzo, teknolojia, akili, saikolojia, falsafa, vifaa, n.k

Ni ushamba wa kijinga sana.

Halafu pia nguo kuwa na mabaka mabaka, haiwi nguo ya jeshi.

Je, wanajeshi wasiovaa sare, wanakuwa raia au wanakoma kuwa wanajeshi?!

Ni ujinga wa kiwango cha karibu na upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…