Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo

Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo

Ukianzisha familia hayo maswali yatajijibu yenyewe. So kuwa mvumilivu
Na hapa unaona umeleta jibu linaloendana na mada yako uliyoleta hapa...., Nilidhani naongea na mtu mwenye Busara na anayeongelea hoja kumbe nimekosea njia na kukutana na vioja....
 
Na hapa unaona umeleta jibu linaloendana na mada yako uliyoleta hapa...., Nilidhani naongea na mtu mwenye Busara na anayeongelea hoja kumbe nimekosea njia na kukutana na vioja....

Nimejibu maswali yako yote kwa njia rahisi ambayo wengine pia waliotaka kuuliza (kama hawajui) watapata majibu kupitia wao wenyewe
 
Nimejibu maswali yako yote kwa njia rahisi ambayo wengine pia waliotaka kuuliza (kama hawajui) watapata majibu kupitia wao wenyewe
Kwa kufanya hivyo ume-assume kwamba wewe ndio unajua ukweli wakati huo ni mtizamo wako.., Sasa ungejibu Swali uliloulizwa tungeweza kufanya dissection na kuona kama mtizamo wako una mashiko..., Umeongelea Sheria; Sasa ili tuweze kuongelea hizo so called Sheria lazima tufahamu kama tunaongelea kitu kile kile (au wewe unachokiita Sheria wala sio Sheria) au Unachokisema ni Kitu ambacho ni Muongozo wa watu wa Jamii / Imani fulani ambacho hakiwezi kubadilishwa hence your assertion being Void ab Initio...
 
Jibu nililokupa ndio jibu bora ambalo limejibu maswali yako mengine ikiwemo hii comment.

Unaniuliza maswali ya kitoto utegemee nitakujibu kama mtoto? Mimi sio mtoto Mkuu.
Hilo swali kaulize wanafunzi wa chuo au sekondari. Ili wakupe majibu yanayolingana na uwezo wako wa kuuliza maswali
 
Am Wisest Man Alive.. for I know One thing and that is I Know Nothing..., Unadhani unajua wala kumbe hujui hata unachokiongea.., Ni sawasawa unaita Pipa Kikombe unaulizwa pipa ni nini ili kuongelea hilo Pipa lako alafu unaleta story kwamba wewe sio mtoto... Kwahio Hii mada imekuja na Parental Control au Elimu fulani kwamba ukiwa haujamaliza Chuo wala Sekondari huwezi kujadili...

Yaani kwa busara zako sasa hivi tunaongelea utoto wangu na sio mada uliyoleta hapo mwanzo ?, Hii kwa ufupi inaitwa Hubris.... and we that one can never grow....
 
Swali ulilouliza ndio la kitoto na mimi nimekujibu Kikubwa. Sasa huo utoto wako mimi siujui kama unao au laa. Nilichoeleza ni kile ulichouliza.

Nakusaidia tena, Kama unakazi na umeajiriwa basi utajua maana ya sheria ni nini. Au kama umeajiri mtu huwezi kushindwa kujua maana ya sheria.

Huwezi niuliza swali la kitoto alafu utegemee nitakujibu utakavyo kama mtoto. Wanafunzi wa chuo au sekondari ndio maswali yao hayo. Mimi nilishakimbia shule miaka mingi sasa
 
SHERIA YA KUMHUDUMIA MWANAMKE IFUTWE, KWA SASA AJIRA ZINATOLEWA KWA WOTE BILA UPENDELEO.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Sheria ya Mwanaume kumhudumia Mwanamke ifutwe. Sheria ya mke kuchukua mkopo kwa Jina la mumewe nayo ifutwe. Ni sheria zilizopitwa na wakati na zisizoendana na ulimwengu wa sasa.

Ni sheria kandamizi, zinazomkandamiza Mwanaume.
Kwa zamani zilikuwa sheria nzuri lakini sio sasa. Zilikuwa nzuri kwa sababu Wanaume walipewa fursa zaidi kuliko wanawake.
Wanaume walipewa fursa ya kumiliki Mali huku wanawake walikatazwa.

Wanaume walipewa fursa ya kusoma na kutafuta elimu huku wanawake wakiachwa nyuma.
Wanaume walipewa fursa ya kutafuta kazi na kufanya shughuli za uzalishaji huku wanawake wakibaguliwa.

Ndio maana sheria ya kumhudumia Mwanamke ilikuwa ya maana na tunaweza kuiita sheria ya haki kama Watibeli tupendavyo Haki

Lakini siku hizi Kila mtu anahaki. Haki sawa baina ya jinsia zimeboreshwa na kulinganishwa.
Ikiwa ni hivyo basi na wajibu lazima uboreshwe.

Isiwe wajibu kwa mwanaume kumhudumia Mwanamke katika ulimwengu wa haki Sawa.

Vijana, sio wajibu wako kumhudumia Mwanamke katika ulimwengu huu wa haki sawa. Ndio maana dunia ya sasa imetoa usawa wa kifursa.

Mwanamke afanye kazi na wewe ufanye kazi. Wote mlete mezani. Hiyo ni Haki.

Mwanamke akifanya kazi alafu anataka kuhudumiwa tuu yaani hela yako anaikodolea macho fukuza. Usiwe mjinga. Huo ni ubinafsi.

Mwanamke ambaye atakuambia pesa ya Mwanamke hailiwi wakati unamuita sijui mpenzi, sijui mkeo, huyo ni tapeli, nyonyaji. Huyo hakufai. Piga chini wala usisite mara mbili mbili.

Ndoa za kitapeli, mahusiano ya kibeberu na kikoloni. Unakuta mwanaume mzima kumbe ni koloni la mtu. Unanyonywa kama mwendawazimu. Alafu miaka 45 hii hapa kisukari, presha, mara Stroke unaacha mke Watu tunapiga. Shauri yako. Usijesema sijakuambia.

Alafu kwa ujinga wenu mnauliza maswali ya kijinga, ooh! Mbona wanaume wanawajibika kufa mapema kabla ya Wake zao. Hivi utaachaje kufa mapema ikiwa wewe umegeuzwa kisukule, kuzuka. Mbona kwetu Babu zetu wamepiga age ya kutosha. Tumieni akili. Jinga kabisa.

Usiendekeza ujinga. Mimi nimemaliza. Mwenye hasira za karibu aje tupigane.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Naunga mkono hoja
 
Taarifa:

Sasa hivi familia nyingi zinahudumiwa na wanawake huku mchango wa baba ukiwa mdogo.

Wenye hela kwa sasa ni wanawake.

Kwa hiyo hata sheria isipobadilika, tayari utekelezaji ulishazoeleka
Labda ww mariooo
 
Mwanaume kuanza kujilinganisha na mwanamke kwa hali yoyote ile ni uzwazwa.Mwanaume ndiye msingi wa maisha ya familia na jamii kwa ujumla,mwanaume ndiye mtawala wa vyote alivyovianzisha.Sasa mtawala gani unayeogopa kusimamia na kuhudumia vitu anavyovitawala.Mada kama hizi ndizo zinazotengeneza wanaume magoi goi,mario,chawa na wengine wanakua mashoga.Tulushaambiwa tutakula kwa jasho.tuwajibike kwenye nafasi yetu bila kutoa visingizio vitakavyotufanya tuonekane dhaifu.
Ulicho ongea kina make sense, lakini mkeo ana pesa na ww una pesa kwa nn zote zisiwe zenu ila tu huyo mwanaume ndo awe anatoa za kwake? To conclude hiyo sio ndoa ilisha jifia mapema sana.
 
Chief uko sahihi kwa asilimia [emoji817] huku kukwepa majukumu na kuona mwanamke anapendelewa nacho ni chanzo cha wanaume wasiojiamini dhaifu wakaamua kureft group na kuamua kwenda kwa wanaopendelewa.
Hivi 50 kwa 50 ni anguko baya mno kutokea duniani na cha ajabu utakuta na janaume linasimama nalo linapigania usawa alisahau kuwa yeye ni kiranja katika familia.
Madhara ya kuwapatia fursa zisizostahili hawa wanawake ndio haya leo tunayoendelea kuyaona....
-Ongezeko la masingle mama na watoto kukosa kuongozwa viranja wa familia...
-65 ya wanawake waliopo kwenye ajira wengi wao hawajaolewa na hawataki ndoa wakiamini hakuna wanachokosa siku akihitajia huduma ya kimaumbile atampigia amtakaye watamalizana imeisha.
-Wanaume kukimbia majukumu kutaongezeka kutokana na hizi sheria za mchongo tunazoishi nazo kwenye miongozo ya umoja wa mataifa ambayo ukikaa na kuzidadavua utajuwa kabisa mtungaji hakuwa na lengo jema na jamii za sisi wanadamu.
WANAUME TUTABAKI WANAUME TU HATA TUBAKI 15 DUNIA NZIMA.
N.B
NA MWANAUME KUTAKA HAKI SAWA NAO NI UWANAWAKE

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Unafikiri mzee Ameir anaweza kumuhudumia mama yetu kwa kila kitu?
 
SHERIA YA KUMHUDUMIA MWANAMKE IFUTWE, KWA SASA AJIRA ZINATOLEWA KWA WOTE BILA UPENDELEO.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Sheria ya Mwanaume kumhudumia Mwanamke ifutwe. Sheria ya mke kuchukua mkopo kwa Jina la mumewe nayo ifutwe. Ni sheria zilizopitwa na wakati na zisizoendana na ulimwengu wa sasa.

Ni sheria kandamizi, zinazomkandamiza Mwanaume.
Kwa zamani zilikuwa sheria nzuri lakini sio sasa. Zilikuwa nzuri kwa sababu Wanaume walipewa fursa zaidi kuliko wanawake.
Wanaume walipewa fursa ya kumiliki Mali huku wanawake walikatazwa.

Wanaume walipewa fursa ya kusoma na kutafuta elimu huku wanawake wakiachwa nyuma.
Wanaume walipewa fursa ya kutafuta kazi na kufanya shughuli za uzalishaji huku wanawake wakibaguliwa.

Ndio maana sheria ya kumhudumia Mwanamke ilikuwa ya maana na tunaweza kuiita sheria ya haki kama Watibeli tupendavyo Haki

Lakini siku hizi Kila mtu anahaki. Haki sawa baina ya jinsia zimeboreshwa na kulinganishwa.
Ikiwa ni hivyo basi na wajibu lazima uboreshwe.

Isiwe wajibu kwa mwanaume kumhudumia Mwanamke katika ulimwengu wa haki Sawa.

Vijana, sio wajibu wako kumhudumia Mwanamke katika ulimwengu huu wa haki sawa. Ndio maana dunia ya sasa imetoa usawa wa kifursa.

Mwanamke afanye kazi na wewe ufanye kazi. Wote mlete mezani. Hiyo ni Haki.

Mwanamke akifanya kazi alafu anataka kuhudumiwa tuu yaani hela yako anaikodolea macho fukuza. Usiwe mjinga. Huo ni ubinafsi.

Mwanamke ambaye atakuambia pesa ya Mwanamke hailiwi wakati unamuita sijui mpenzi, sijui mkeo, huyo ni tapeli, nyonyaji. Huyo hakufai. Piga chini wala usisite mara mbili mbili.

Ndoa za kitapeli, mahusiano ya kibeberu na kikoloni. Unakuta mwanaume mzima kumbe ni koloni la mtu. Unanyonywa kama mwendawazimu. Alafu miaka 45 hii hapa kisukari, presha, mara Stroke unaacha mke Watu tunapiga. Shauri yako. Usijesema sijakuambia.

Alafu kwa ujinga wenu mnauliza maswali ya kijinga, ooh! Mbona wanaume wanawajibika kufa mapema kabla ya Wake zao. Hivi utaachaje kufa mapema ikiwa wewe umegeuzwa kisukule, kuzuka. Mbona kwetu Babu zetu wamepiga age ya kutosha. Tumieni akili. Jinga kabisa.

Usiendekeza ujinga. Mimi nimemaliza. Mwenye hasira za karibu aje tupigane.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
😀😀😀
 
Mwanamke kama hasaidii kazi za nyumba zile za kike anatakiwa asaidie kwenye kazi anayofanya maana wote tumeoana tunatumia muda wa familia.Mwanamke hawezi tumia muda wa familia alafu asilete faida.Kama anatumia muda wa familia Bure BIla faida yoyote ni Bora abaki nyumbani atumie muda wa familia kulea familia.
 
Mwanamke kama hasaidii kazi za nyumba zile za kike anatakiwa asaidie kwenye kazi anayofanya maana wote tumeoana tunatumia muda wa familia.Mwanamke hawezi tumia muda wa familia alafu asilete faida.Kama anatumia muda wa familia Bure BIla faida yoyote ni Bora abaki nyingine atumie muda wa familia kulea familia.

Hiyo ndio maana ya ndoa
 
Mimi kama tunachangia Hela nusu kwa nusu kwenye kila kitu sikufulii sikupikii sijui kukuandaa kazini Wala sikuombi ruhusa ya kitu chochote sifa Yako kama mwanaume umeshapoteza mwanaume anatakiwa atoe zaidi hiyo ni nature
Assume wewe ndio spika Tulia mshahara milioni 20 na mume wako mwalimu mshahara laki 5. Hapo utafanyaje?
 
Tafiti zangu mm The only mpaka sasa wanawake waliochaangia ni 0 ila wana view wanapita hivi.natabiri hadi uzi unaisha watachangia 6 tu nao kujifanya mume ndo kichwa .asante
 
Assume wewe ndio spika Tulia mshahara milioni 20 na mume wako mwalimu mshahara laki 5. Hapo utafanyaje?
Unaacha kazi tulia anakukopea mil 300 unafungua kiwanda cha juice mapato yako kwa mwezi yna anakuwa mil 20 pia siku akiacha uspika anarudi kuwa ceo kiwandan wewe unahamia shamba lenu kubwa la maembe ambalo yote huwa yanakuja zalishwa juice kiwandani kwenu .
Na kila mwezi kama anakatwa rejesho la mil 7 basi unamuingizia aendelee kula ile ile mil 20
 
Kwa akili ya mwanamke hawezi kumkopea mwanaume pesa mil. 300
"Khaa, nimkopee mil 300 akatumie kwa michepuko wake!"
 
Swali ulilouliza ndio la kitoto na mimi nimekujibu Kikubwa. Sasa huo utoto wako mimi siujui kama unao au laa. Nilichoeleza ni kile ulichouliza.

Nakusaidia tena, Kama unakazi na umeajiriwa basi utajua maana ya sheria ni nini. Au kama umeajiri mtu huwezi kushindwa kujua maana ya sheria.

Huwezi niuliza swali la kitoto alafu utegemee nitakujibu utakavyo kama mtoto. Wanafunzi wa chuo au sekondari ndio maswali yao hayo. Mimi nilishakimbia shule miaka mingi sasa
Kuna vitu vipo wide na unaweza wewe tafsiri yako binafsi ikawa tofauti na tafsiri ya mtu mwingine; hence mtu anapokuuliza wewe kwa muktadha wako kwenye context hii unamaanisha nini ili tuwe kwenye same page na kuweza kujadili kilichopo kwenye hio page..., Sasa hapa kwenye hii paragraph umetoa issue za mimi kuajiri / kuajiriwa na kujua Sheria..., Inawezekana nimeajiriwa katika Msikiti hence kwangu mimi Mwanaume ndio kichwa hata iweje lazima nitoe huduma (hio ipo kwenye Imani wala siwezi kuibadilisha)....

Sasa sababu haujajibu nina-assume unamaanisha Sheria ambayo iwe sheria lazima iwe na penalty kwa mtu kuivunja kutokana na Misingi watu waliyojiwekea.., au niende further unamaanisha Kifungu Na. 63 cha Sheria ya Ndoa...... Kwa Maneno yasiyo Rasmi.....
HAKI NA WAJIBU KATIKA NDOA
Baada ya kufunga ndoa na ikaonekana haina kasoro yoyote, mke ana haki mbalimbali kisheria anazostahili kuzipata kisheria. Haki hizi ni kama;-
Matunzo; mke au wake wana haki ya kutunzwa na mume wao kwa kuwapatia mahitaji muhimu kama chakula, malazi, mavazi, matibabu, n.k kulingana nauwezo alionao mume.-
Kumiliki mali; mke ana haki ya kumiliki mali aliyoipata kabla na baada ya ndoa kama aliipata kwa fedha yake mwenyewe.
Mke ana haki ya kuingia mikataba, kushitaki na kushitakiwa. Makubaliano yaweza kufanywa na wanandoa hiyo jinsi ya kumiliki mali iliyopatikana kabla ya ndoa yao jinsi gani waimiliki. Kwa mali iliyopatikana wakati wa ndoa, mali hiyo ni mali ya wanandoa wote, kwa sababu imepatikana kwa mchango wa nguvu za pamoja. Hii haijalishi kuwa mmoja wa wanandoa (mke)hachangii pesa tasilimu au anakaa nyumbani nakufanya shughuli za nyumbani tu. Kufanya shughuli za nyumbani ni mchango mkubwa na ameokoa fedha nyingi. Umiliki wa mali kwa wanandoa haujalishi kuwa mmoja wapo amemiliki mali hiyo kwa jina lake au la. Sheria ya Ardhi inatamka wazi kuwa kama mwanandoa mmoja anamiliki mali kwa jina lake,na mwanandoa mwingine akachangia nguvu zake katika kuendeleza, kuboresha au kuzalisha mali hiyo basi anapata haki ya kumiliki mali hiyo.-

Haki ya kukopa kwa dhamana ya mume; jukumu la kutunza mke na watoto ni jukumu la mume au baba. Kwa msingi huo, endapo baba amesafiri, au ametoroka na baadaye matatizo yakajitokeza yanayohitaji fedha, basi mke ana haki ya kukopaf edha kwa jina la mume au kuweka rehani mali ya mumewe.
Now kama hicho ndicho unachomaanisha..., suala ni kwamba kila case inaweza ikatatuliwa kutokana na mazingira yake..., sidhani kama Samia anaweza kumshitaki mume wake eti hajamnunulia Nyumba, au Kumpa Chakula (sababu hana uhaba huo)..., LAKINI mfano keshokutwa SAMIA (kwa kutokutumia IMANI yao bali Sheria za Nchi) akiamua kudai Talaka yake anaweza kusema huyu Bwana hatoi Huduma yoyote hivyo mimi kuendelea kuwa mke wake na kunizibia opportunity za kuwa na Bwana mwingine wakati yeye hatimizi / hachangii wellbeing yangu kwa lolote nataka uhuru wangu na aniache... Kwahio hapo atakuwa ana point... KULIKO kufuta hiki kipengele huenda ikatokea watu kuoa mtaa mzima (hence kuwazibia uhuru wao kwamba ni wake zao) wakati hawachangii lolote kwa kumfunga huyu so called mke...

Issue ya kukopa kwa Dhamana ya Mume: Sheria hii imewekwa kutokana na hii scenario
jukumu la kutunza mke na watoto ni jukumu la mume au baba. Kwa msingi huo, endapo baba amesafiri, au ametoroka na baadaye matatizo yakajitokeza yanayohitaji fedha, basi mke ana haki ya kukopa fedha kwa jina la mume au kuweka rehani mali ya mumewe.
Sasa mfano watoto wanataka kwenda shule na mume ametoroka (kweli mama asiweke rehani gari aliloacha mume wake hapo kwenye garage)? lakini nina uhakika kama huyu Mama (SAMIA) atafanya hivyo kwa kuuza nyumba ya mume wake ili anunue lipstick Mahakama haiwezi kusema ni sawa kilichofanyika...; Ingawa akisema huyu Bwana hana mchango wowote kila mtu achukue hamsini zake anaweza kuweka kigezo cha kutokumuhudumia kama sababu ya kuachana nae....
 
Back
Top Bottom