Shibuda: Magufuli aliniahidi kunipa mil 5 nikalipe ada ya watoto lkn nilipompinga akanigeuka

Huyu Shibuda ni kama Antony Diallo tu, wanasiasa wa sampuli hii sio wa kuamini asilimia 💯, hawa ni wafanyabiashara wa siasa.
 
Rais hapaswi kuwa mtu wa matani sana.
 
Huyu mzee anajiaibisha tu
 
Namkumbuka Dialo alisema ccm walituwekea kiongozi waliyejua Ni kichaa....
 
Nadhani aliyediriki kuyasema wazi (Tundu Lissu), tuliona matokeo ya uwazi wake.
Umeona eeh? Ben mwana JF mwenzetu tukibishana nae sana kisiasa humu JF yuko wapi? Tuliogopa sana na tulikuwa na haki ya kuogopa. Nchi ilifikia mpaka mawaziri wanatolewa bastola hadharani na hakuna linalofanyika.

Miaka ya bwana yule ilikuwa migumu sana kwa kila Mtanzania na hata wageni waaliopo Tanzania, yaliwakumba. Hata waliokuwa wanamtetea walikuwa katika hali ngumu, wakijikaza kisabuni tu. Tumeyaona.
 

Alikuwa Anasubiri Mda Mwafaka
 
Si unatuona tumerudi JF, ulituona wakati wa "bwana yule"? Tuliingia "mitini" wote.

Hata wafanya biashara wenye mitaji mikubwa waliihama nchi, lakini sasa wamerudi na AlhamduliLlah pesa zinazunguka tena mitaani. Huyajuwi hayo?
Usiseme wote,wabishi wachache tulibaki
 
Ukipenda yakubali ukipenda yakatae. Tatizo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…