Mimi sikuwepo enzi za mwalimu ila kwa simulizi mbalimbali zilizopo ni kwamba hiyo awamu yake ilikuwa sio poa. Ndo nyakati wananchi walikuwa wakisema "zidumu fikra za mwenyekiti".. kwangu mimi kikubwa alichofanya mwalimu ni kutokomeza ukabila. Ila mambo mengi yalikuwa hovyo.
Mwalimu kwa kauli zake alikiri kwamba ''katiba ya sasa inampa Rais madaraka makubwa na hata kuwa dikteta''..Lissu alikuwa akijibu swali la Chief Odemba.
..Na katika jibu lake alisema mabadiliko ya katiba ya mwaka 1962 ndio yaliyotuletea Raisi mwenye mabavu kupita kiasi, ya ki-mungu-mtu.
..sasa Raisi wa kwanza kuwa na madaraka yaliyopitiliza alikuwa Mwalimu Nyerere.
..Kwa msingi huo, hoja ya Lissu ina utetezi na ushahidi wa kihistoria.
Nyerere ni kiongozi wa kwanza wa Taifa huru. Sera zake zilikuwa na athari mbiliNaona mtu anaemuogopa ni Mwinyi na Kikwete tu. Bado haijamtokea kwao.
Alimshambulia sana Nyerere wakati wa mjadala wa bunge la Katiba.
Basi wasiojielewa ni nyie raia mliochagua marais wasiojielewa kwa miaka 40. Mtu mwenye kujielewa hawezi kuchagua kichaa na kumuona kuwa ndiye anayejielewa!Wewe umeona rais gani aliyefuata anayejielewa?
Lisu ni msomi mpumbavu sana anadhani watu wengine wote ni wapumbavu pia na hivyo yeye yuko juu yao.Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.
Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza.
Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere alikuwa katili kuliko Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM wote kwa pamoja.
Lissu ni janga kwa wapinzani. Hana kekima, mropokaji, mtoa mapovu utafikiri ni pacha na Mwakubusi! Sasa huyu apewe nchi kuiongoza itaenda wapi? Khaaaaa!Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.
Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza.
Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere alikuwa katili kuliko Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM wote kwa pamoja.
Lisu ni msomi mpumbavu sana anadhani watu wengine wote ni wapumbavu pia na hivyo yeye yuko juu yao.
Udini upo sana,ukabila upo sana,unaishi wapi weweAcha mambo ya kitoto kamarada Glenn....
Kama si Nyerere nchi hii ingejaa UDINI....
Kama si Nyerere nchi hii ingefurika UKABILA NA UKANDA.....
Hivi lini vijana sisi tutajifunza thamani kuu ya Nyerere ?!!
Havoc
Umelishwa matango pori ukayameza kama yalivyo brainwashIf yes ,Tanzania will never ever have the best president....
Nyerere was the beacon against racism ,bigotry and religious hatred , otherwise this nation would never be the way it is.....
Without his presidency this country would be vandalized into ashes through evil ideologies of tribalism and religious terrorism....
#Never give wisdom to unworthy as it is unjust to the knowledgeables [emoji7]
Kama unafanya mlinganisho wa Nyerere na watawala wengine kwa hisia za kawaida za kibinadamu unaweza kumuona “mtakatifu”. Na usishangae wakiwepo watu ambao nao wanaowaona AHM, BM, JK, JPM na SSH hivyo hivyo.But I would say he was more close to a saint considering the epoch in which he ruled.Who expects any human being to be a saint; not even one's parents can qualify to sainthood. Again, look around in the neigborhood or around the world for that matter, at the time; where can one find a saint national leader?
It would have been more beneficial for those who have no access to the book if you had cited a few examples. to highlight what was happening during his time..
Nyerere nae, aliumiza watu Sana, na ndio alietengeneneza huu mfumo wa ccm wa kijambazi, unaotuumiza mpaka Leo,Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.
Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza.
Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere alikuwa katili kuliko Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM wote kwa pamoja.
kwa hiyo ni bora kunywa sumu inayoua taratibu kuliko kufa njaaAcha mambo ya kitoto kamarada Glenn....
Kama si Nyerere nchi hii ingejaa UDINI....
Kama si Nyerere nchi hii ingefurika UKABILA NA UKANDA.....
Hivi lini vijana sisi tutajifunza thamani kuu ya Nyerere ?!!
Havoc
Mbili na tatu nakubaliana na wewe, mengine hapanaTatizo mmelishwa matango pori..
Nyerere ndiye rais mbovu aliyejenga misingi mibovu sana ya nchi hii.
1. Ujinga mtopeo..ni yeye chanzo
2. Unafiki wa Tz ni yeye chanzo
3. Nidhamu ya uoga ni yeye chanzo
4. Nchi kuwa omba omba yeye chanzo
5. Umaskini ni yeye chanzo
Hii ni kweli, na msaada wenyewe unakuwa wa mkakati wa kupata kitu, ni aina ya rushwa ambayo tumeibariki mpaka imekuwa institutionMbongo akifanyiwa hisani huwa haoni mbaya ya yule aliemfanyia hisani, atamsafisha kwa namna yoyote hata awe mchafu kama shimo la choo..
Hapo juu naona watu wamekomalia ati kama sio Nyerere basi Lisu asingesoma mpaka kufikia hapo.
Hata kama hiyo iwe ni kweli bado haitaondoa ubaya wa Nyerere kama upo. Hata angekua yeye ndo anamlipia ada hiyo haifuti mabaya yake kwa watu wengine, na yakisemwa usiyapinge kwa kusema ati alikusaidia kwanini unamsema vibaya.
Lissu will die one day a frustrated man but not as a former president of Tanzania.Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.