SHIWACHANDO - Umoja wa wanaume mnaoteswa na wake zenu

Hata sijui kwanini nisiwasemee wenye kunyimana πŸ˜€πŸ˜€lakini wanakwazika kweli
Ni maswali mengi sana kwenye Hili Je ni kwasababu hawapigi mzigo vizuri? Maana unaweza kuwalaumu wanawake Kumbe jamaa performance yake ndogo dk 5 tu kalala fofofo hata kama ni dk chache Mzungu huyo basi unganisha napo ni changamoto swali la pili je ni kwasababu ya uchovu au kuchoka? Je kwasababu ya stress au mood mbaya? au unakuta kuna wengine wana desire ndogo ya kufanya sex Ndio Maana wanawanyima unyumba wanaume zao au kuna sababu zingine tofauti ambazo sizijui
 
Yote yanawekana ila Hilo sio suluhisho muhimu ni kuyazungumza tu
 
Ladies ukipata nafasi ya kumtesa mtoto wa mama mkwe kwa namna yoyote ile unatuwakilisha vyema

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Waname wenzangu kila ninapopata fursa ya kutatuaa mapagale a.k.a 0713 za mafeminist hua nawawakilisha vema. Na mpaka mda huu ubao wa record unasoma marinda 48 yameishashugulikiwa ipasavyo.
 
Mara paap anakwambia si utamke hayo matusi mbona unatukania moyoni si wajifanya kidomo juu kama chuchungee! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yule alikua anataka tu upigwe ban, ni mshamba sana[emoji23]
Eti nimemuweka kabatini aozee huko!! Afu baadae kikani unblock kichungulie naongea nini?? 🀣🀣🀣🀣
Km lijinga vile, ila nimelisuuza siku ile!!! Lilivyoamka kila comment linanimention jinsi gani nilimkanda vizuri πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Kabla hujasema dada, nilihisi ni hivyo tu..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…