mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
😆Inasikitisha sana....
Na bado katubakia staa wetu huyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆Inasikitisha sana....
Na bado katubakia staa wetu huyu.
Mbona yupo mkupiga hewa tu!Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya mpenzi wake wa zamani, Cassie Ventura.
Video hiyo ilinaswa kwenye moja ya hoteli waliyoenda kwa mapumziko mwaka 2016.
Kipande cha video kilichonaswa kupitia kamera za CCTV kimeweka hadharani kupitia Kituo cha CNN kikimuonesha nguli wa Muziki wa Hip Hop, Sean "Diddy" Combs akimshambulia aliyekuwa mpenzi wake, Casandra "Cassie" Ventura hotelini Machi 5, 2016.
Baada ya video hiyo kuwekwa mtandaoni, Cassie hajatoa tamko lolote lakini Mwanasheria wake amenukuliwa akisema “Hizo ni baadhi ya tabia za Combs" wakati Mwanasheria wa Diddy hajatoa jibu
CNN imeeleza video hiyo ilirekodiwa katika moja ya Hoteli ya Los Angeles, Marekani, Cassie anaonekana akitoka chumbani kuelekea kwenye lifti kisha Diddy akiwa na taulo pekee anamfuata na kuanza kumpiga, anamvuta kwa kumburuza huku akionekana kutoa maneno kama anamfokea.
Mwendelezo wa video unaonesha Diddy anampiga mwenza wake huyo akiwa chini kisha anakusanya mizigo aliyokuwa nayo Cassie na kuondoka nayo.
Ofisi ya Mwanasheria wa Los Angeles imeeleza “Ikiwa ni tukio la Mwaka 2016 hatutaweza kushtaki kwa kuwa ni shambulio lililotokea nje ya muda unaostahili kufunguliwa mashtaka."
Inadaiwa kuwa Diddy alinunua video hiyo ya hotelini kwa Dola 50,000 alipobaini amenaswa kwenye kamera kwa wakati huo.
Mkuu hujamalizia kusoma naonaAisee kwa jinsi US ilivyo, huyu career yake imeishia hapo, yaani hii haina mjadala.
Pdidy hana jipya tena. Its Over.... CCTV inaonyesha ilikuwa ni 2016 march, issue ya 2016 inakuja kumkaanga miaka 8 baadae, mazingira inaonekana walikuwa hotelini, sasa nashangaa ilikuaje waliokuwa wamiliki wa hio hotel walishindwa kutoa hizo video kwenye vyombo vya habari kipindi hiko, sijui walipewa pesa, noma mzee.
Kweli msomali ni msomali tu, nasikia ni jamii ya watu kukumaliza ukimzingua ni dk 0.
Hapo tegemea maandamano
Huwa nawashangaa sana watu wanaoona 'any abusive habits' ni kawaida..!Hiyo mbona kawaida, wangapi wanapigana kwenye ndoa/mahusiano yao? Vile vile tutajuane makubaliano yao walipokuwa himo ndani? Je kama huyo binti alimuibia pesa zake?
Hakuna suala la uzungu wala uafrika. Pdidy ni mnyama. Waafrika mnakosea mkitaka kupewa haki yenu mnataka jificha kichaka cha ubaguzi. Pdiddy alimla mpaka msanii wenu wa kiume mmoja wa hapa Tz. But wanaomfahamu pdidy watakuambia ni mnyama kinyama. Ni mafia. So si suala la wazungu wala waafrika.
Mbona ww jana baada ya game nmekupiga hivyo na hukusema kitu? Au ukija humu kwa fake id unasahau kwamba umeolewa? Unajitoa ufaham kwamba ww ni mke wa mtu!Kawaida wangese huporomosha matusi ya nguoni. Hakuna jipya ulilofanya. Acha kutetea uovu kwa kujificha kwenye kichaka cha weusi na weupe. Wewe siku mumeo akikupiga hivyo utakaa kimya?
Wewe mwananchi una akili timamu kweli? Diddy ni mtu wa kutembea na pesa cash? Wewe ni miongoni mwa watu wajinga mno tulio nao nchini.Hiyo mbona kawaida, wangapi wanapigana kwenye ndoa/mahusiano yao? Vile vile tutajuane makubaliano yao walipokuwa himo ndani? Je kama huyo binti alimuibia pesa zake?
Sawa Mrs Diddy.Nilisema hamna kesi hapa
Mwendesha mashtaka wa Los Angeles kasema hawezi kumfungulia mashtaka Pdiddy kutokana na Video ya jana
Mzuka wanajamvi! Usiku wa kuamkia leo kwenye uzi wa mwamba P didy ikimuonesha akimpiga "gelfrend' wake wa zamani kwenye korido za hoteli ya intercontinental akiwa amevaa taulo. Tulimpinga sana GT Teslarati kwenye mchango wake hakituahakikishia hamna kesi kwenye hiyo video. Tukambishia sana...www.jamiiforums.com
Hata sheria ya hiyo nchi yako ambayo mabarabara yake yamejaa mashimo hairuhusu kumpiga mwizi/kibaka ukimkamata anaiba. Hakuna justification yoyote kwenye hiyo video, Kwahiyo ondoa kichwani mwako hiyo "hatujui kilichojiri". Kilijiri/hakikujiri kitu, wrong is wrong.Yaliyojiri hatujui mpaka akampiga hivyo tusihukumu kama vile tulikuepo vyombo vitafanya kazi huko kwao sisi tujangaike na mabarabara yetu yaliyojaa mashimo kila sehemu nchi nzimaa
Mrs Diddy pambana kumtetea mumeo.Mbona ww jana baada ya game nmekupiga hivyo na hukusema kitu? Au ukija humu kwa fake id unasahau kwamba umeolewa? Unajitoa ufaham kwamba ww ni mke wa mtu!
Unadeal naye kama tunavyodeal na maBoss zetu wakitukera, wateja wetu wakitukera, ndugu jamaa na marafiki wanaotukera.Mkubwa unaonaje ukatoa seminar kidogo namna ya kudeal nao
Yaan nikiwa nakupiga mashine unaniita 'Daddy' leo hii unaniita 'Diddy'?Mrs Diddy pambana kumtetea mumeo.
we unang'ang'ania hiyo kesi walishai settle...wameimalizaje kwa rushwa au kisheria em tueleweshe kwanzaTuombe uzima tuone hii ngoma itaishia wapi.
Hv ww ulishaona mtu anavamiwa kwake na FEDs na wanakosa kitu?
Na nahisi hata waloanzisha hili sekeseke la diddy wanajilaumu sababu ni timely bomb, ushahidi wa kumpeleka diddy jela maisha upo sana tu, ila unawahusisha wengine weeengi.
Tukirudi kwenye hii video, "There's no case kwa diddy" sabb hio kesi walishasettle mapema kabisa, files zake zimeshafungwa, unless waitumie kumotivate watu wengine alowafanyia assault wamfungulie class action. Na ni hilo pekee ndo wanalolitafuta sabab ushahidi mwingine unawahusisha hadi Wafanyabiashara, entertainers na Gurus wa Manhattan na viunga vyake huko wallstreet, etc...
Kesi ipo. Kilichofanyika hapo ni jinai na mtu yoyote anaweza kufungua kesi kumshitaki Diddy kwa kutumia hiyo video.Tuombe uzima tuone hii ngoma itaishia wapi.
Hv ww ulishaona mtu anavamiwa kwake na FEDs na wanakosa kitu?
Na nahisi hata waloanzisha hili sekeseke la diddy wanajilaumu sababu ni timely bomb, ushahidi wa kumpeleka diddy jela maisha upo sana tu, ila unawahusisha wengine weeengi.
Tukirudi kwenye hii video, "There's no case kwa diddy" sabb hio kesi walishasettle mapema kabisa, files zake zimeshafungwa, unless waitumie kumotivate watu wengine alowafanyia assault wamfungulie class action. Na ni hilo pekee ndo wanalolitafuta sabab ushahidi mwingine unawahusisha hadi Wafanyabiashara, entertainers na Gurus wa Manhattan na viunga vyake huko wallstreet, etc...
Sasa atamsupport kwenye issue ya domestic violence wakati mwamba anazingua live hapo. We kumtia teke za kichwa mtoto wa watu unaona ni jambo zuri?Mimi namuombea Diddy ashinde tu. Ndio alikosea lakini sakata lote ni racial motivated. Mamchukia sana 50 cent yani kashadidia kweli. Inatakiwa am -support nigger mwenzake ama akae kimya.
Usiseme wanawake wengi sema wadangaji wengi. Wanawake huwa hawapigwi na wanaume zao.Wanawake wengi huwa wanapigwa na wapenzi wao ila wanavumilia kwa sababu ya pesa
Halafu nahisi alikuwa kashapuliza bangi na ngada hapa sio bure. We anampiga mtu namna hiyo as if anapiga jiwe.Acha kukaa vijiweni. Diddy alifanya ujinga na lazima sheria ichukue mkondo wake.
Diddy aliilipa hotel 50k USD video isitokee kumbe wajuba bado wanayo, diddy lazima awajibishwe kwa ujinga wake. Hakuna mtu alimtuma kuipiga hiyo pisi. Mchezo wa diddy umeisha.