Kariakooking1978
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 549
- 1,078
- Thread starter
-
- #41
Karibu boss.Mm nahitaji printer
Karibu sana kiongozi.Good. tutafanya kazi mi nipo dom
Hongera pambana sanaKaribu upate huduma za uhakika.
Karibu mkuu.Hongera pambana sana
Karibu boss.Nzuri mkuu. Kila la heri
Itategemeana na thamani ya carton,ujazo na uzito wake.Kwa basi ni gharama kidogo ukilinganisha na lori za mizigo.Kazi nzuri boss,, nataka nifungue Liquor Store Mwanza najua chimbo la bei nafuu (itakayo nipa faida nzuri) ni hapo Kariakoo,, ningependa kujua gharama ya kusafirisha carton moja ya Konyagi ndogo hadi mwanza ni kiasi gani,, natanguliza shukrani mkuu
Thamani ni chini ya 70,000/Itategemeana na thamani ya carton,ujazo na uzito wake.Kwa basi ni gharama kidogo ukilinganisha na lori za mizigo.
Karibu sana
15k kwa basiThamani ni chini ya 70,000/
Uzito ni kilo 12
Kuna sehemu ulitaka cash on delivery au ni kwenye selected goods tuSawa boss,tutajitahidi kuleta huduma ya cash on derivery.
Bado hatuna huduma ya cash on derivery.Kuna sehemu ulitaka cash on delivery au ni kwenye selected goods tu