SOMA KWA MAKINI MPAKA MWISHO ITAKUSAIDIA SANA KUOKOA MUDA,GHARAMA ZISIZO ZA LAZIMA NA KUTAPELIWA NA WAUZAJI WA MITANDAONI WANAOPATIKANA DAR ES SALAAM.
[emoji419]Umeshawahi kujiuliza hili swali "KUNA ULAZIMA WOWOTE KWA WAFANYABIASHARA WA MIKOANI KUJA WENYEWE DAR ES SALAAM KUFUNGA MZIGO?"
Nadhani baada ya kutafakari kwa kina hata wewe jibu lako litakuwa "HAPANA,WAFANYABIASHARA WA MIKOANI HAWANA ULAZIMA WA KUJA DAR ES SALAAM WENYEWE KUFUNGA MZIGO"
Nina uhakika utakuwa umepata hilo jibu baada ya kufikiria mambo yafuatayo:
1.Wafanyabiashara wa mikoani wanatumia nauli kubwa kuja Dar es salaam na kurudi mkoani wanapokuja kufunga mzigo.
2.Wafanyabiashara wanapoteza hela nyingi kulipia nyumba za wageni kwaajili ya kukaa kwa muda wakati wanazunguka kufunga mizigo yao.
3.Wafanyabiashara wengine hawana uzoefu na maeneo ya kupata mzigo kwa bei nafuu hasa soko la kariakoo hivyo kujikuta wanatumia gharama kubwa sana.
4.Wafanyabiashara wengi wakifika Dar es salaam hawajui wapi watapata usafiri wa uhakika wa kusafirisha mzigo wao kwenda mkoani.
Baada ya kuona hayo mambo kadhaa juu,wewe kama mfanyabiashara umeshawahi kujiuliza "VIPI KUKIWA KUNA MTU AU KAMPUNI INAYOTATUA HIZI CHANGAMOTO UNAZOPITIA KILA SIKU UNAPOLAZIMIKA KWENDA DAR ES SALAAM KUFUATA MZIGO?"
Basi kwa wafanyabiashara wote wa mikoani hili swala limekwisha tatuliwa.Kama wafanyabiashara wakubwa wanaagiza mizigo china bila wao kufika huko hata siku moja,kwanini na wewe ushindwe kuagiza mizigo kariakoo bila wewe kufika kariakoo.TAFAKARI MARA 2 HII SENTENSI.
[emoji419]Nina uhakika kama wewe ni mtu unaetumia mitandao ya kijamii kama facebook na instagram huwa unakutana na hizi sentensi kwenye matangazo ya wafanyabiashara mbali mbali wa Dar es salaam:
"MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA"
"SISI WA MIKOANI TUNAPATAJE HIYO BIDHAA"
"NITALIPIA MPAKA NIPOKEE MZIGO"
"SIJUI NITASAFIRISHA VIPI HIYO TV MPAKA HUKU MKOANI"
Vipi umeshawahi kujiuliza kwanini kuna hizi sentensi kwenye kila Tangazo?
Jibu ni kwamba "KULIKUWA HAKUNA MTU AU KAMPUNI YA UHAKIKA INAYOHAKIKISHA MZIGO WA MNUNUZI UNAFUATWA POPOTE NDANI YA DAR ES SALAAM,UNAFUNGWA NA KUSAFIRISHWA KWA UHARAKA NA USALAMA WA HALI YA JUU"
[emoji419]Ipo hivi kama mtu anaweza kununua bidhaa china kupitia KIKUU au ALIBABA na mzigo ukasafirishwa na kampuni za uhakika kama DHL na FEDEX hadi Tanzania na yeye akaupokea salama kabisa,KWANINI WEWE MTANZANIA UNAEPATIKANA SONGEA USHINDWE KUNUNUA BIDHAA YAKO INSTAGRAM KWA MUUZAJI WA DAR ES SALAAM NA UKAWA NA UHAKIKA MZIGO WAKO UTAKUFIKIA KWA WAKATI NA USALAMA WA HALI YA JUU?
Mimi LEWIS kwa kutambua hizi changamoto zote wanazozipata "WAFANYABIASHARA WA MIKOANI" na "WANUNUZI WA BIDHAA MTANDAONI KUTOKA MIKOANI",nikaja na wazo la kampuni itakayo tatua changamoto zote hizi na kuhakikisha furaha ya kufanya biashara inarudi tena.
[emoji419][emoji419]Ipo hivi kwa sasa ninatoa huduma ya "KUFUATA MZIGO POPOTE NDANI YA DAR ES SALAAM,KUFUNGA MZIGO NA KUSAFIRISHA MZIGO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI KILA SIKU KWA UHARAKA NA USALAMA WA HALI YA JUU"
[emoji419]-Huduma hii ninaitoa kwa wafanyabiashara wa mikoani wanaofunga mizigo Dar es salaam, wanunuzi wa bidhaa mtandaoni kwa wauzaji wa Dar es salaam na mtu yeyote mwenye mzigo wake Dar es salaam anaepitia changamoto ya kusafirisha mzigo huo.
[emoji419]-Huduma hii utaipata kwa gharama nafuu kabisa ya Tsh 10,000/= tu.
[emoji419]WAFANYABAISHARA WA MIKOANI MTANUFAIKA SANA KWASABABU:
[emoji736]Kuanzia sasa utaokoa gharama za nauli,hela za nyumba za wageni na muda kwa kuwa hulazimiki tena kuja Dar es salaam.
[emoji736]Hutahangaika tena kutafuta usafiri wa uhakika wa kusafirisha mizigo yako kutoka Dar es salaam.
[emoji736]Uhakika wa mzigo wako kufungwa vizuri na kusafirishwa kwa usalama wa hali ya juu.
[emoji419]VILEVILE WANUNUZI WA MTANDAONI WA BIDHAA KUTOKA DAR ES SALAAM MTANUFAIKA SANA:
[emoji736]Utaepuka kutapeliwa na wauzaji wa mitandaoni kwasababu mimi nitakuwa nipo kwaajili ya kupokea mzigo wako.
[emoji736]Uhakika wa mzigo wako kukaguliwa kabla ya kusafirishwa kuja mkoani.
[emoji736]Uhakika wa mzigo wako kufungwa kwa usalama wa hali ya juu ili kuepuka uharibu.
[emoji736]Uhakika wa mzigo wako kufika kwa haraka mkoani kwako bila kusubiri muuzaji akamilishe ratiba zake ndo akusafirishie mzigo wako.
SAFIRISHA MZIGO WAKO NA LEWIS SASA.
NI RAHISI TU,
-Unaniambia mzigo wako upo sehemu gani ndani ya Dar es salam na ni mzigo aina gani.
-Mimi nitaufata,nitaufunga na kuusafirisha kwa uharaka na usalama wa hali ya juu.
SAFIRISHA MIZIGO YAKO NA LEWIS SASA KWA TSH 10,000/= KAMA GHARAMA ZA HUDUMA YA KUHAKIKISHA MZIGI WAKO UNAKUFIKIA KWA USALAMA.
IKUMBUKWE:Kwasasa natoa huduma kama mtu binafsi huku naendelea kukua taratibu ili kufanikisha lengo la kufungua kampuni rafiki kwa wafanyabishara wa mikoani na wanunuzi wa mitandani kutoka mikoani
Kampuni rafiki kwako kwa jina la "LVM LOGISTICS GROUP" inakuja hivo kaa tayari kufurahia huduma.
Naomba tuendelee kufanya kazi pamoja kwa uaminifu mkubwa ili tuendelee kuwa familia moja.
OKAOA MUDA,OKOA PESA HALAFU SUBIRI MZIGO WAKO KISHUA.
MAWASILIANO:
[emoji419]0745645035 (PIGA/SMS/WHATSAPP)
[emoji419]Follow me:
Facebook: Lewis MVincent
Instagram:Lewis MVincent
SAFIRISHA NAMI BIDHAA KAMA :
-Simu aina zote
-vifaa vya simu aina zote mfano: chaji,covers,protectors.
-Vifaa vyote vya kieletronic kama TV,SABUFA,SPEAKER,FRIJI,HEATER nk
-Vyombo vya ndani aina zote
-Nguo za kiume za watu wazima aina zote
-Nguo za kike za watu wazima aina zote
-Nguo za watoto aina zote
-Nguo za ndani aina zote mfano chupi,sidiria,boksa nk
-Urembo aina zote kama heleni,bangiri,kacha,saa nk
-Vipodozi na mawigi
-Vifaa vya stationary aina zote.
-Vifaa vya ushonaji aina zote kama cherehani,vitambaa,vitenge,sindano,nyuzi nk
-Material ya furniture aina zote.
-Vijora
-Mitumba aina zote
-CD na Movies kwa wale ote wenye library
-Hardware na Vifaa aina zote vya ujenzi.
-Spea za pikipiki na bajaji
-Baiskeli aina zote
-Betri na matairi aina zote
-Mashine za bekari
-Vifaa na material ya keki aina zote.
-Mapazia na mashuka aina zote.
-Mabegi,pochi na mikoba aina zote
-Viatu aina zote
-Na bidhaa nyinginezo.