MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Unaachaje majibu ya dodoso wakati hunalo? Nafikiri dodoso lingekua oublic document. Likae hata kwenye websites za serikali ili tuandae majibu.Rais Samia baada ya kuhesabiwa, amezungumza, na Kamisaa wa Sensa, Spika Mstaafu Anne Makinda pia amezungumza, na kusema zoezi la sensa litadumu kwa siku 7, hivyo makarani wa sensa wasipopita kwako leo, watapita kesho au keshokutwa, acha majibu ya dodoso la sensa kisha endelea na shughuli zako.
P
Namuachia nani taarifa ili hali nipo alone nyumba nzima?zoezi la kuhesabiwa litadumu kwa siku 7 kuanzia leo, hivyo usipo hesabiwa leo huenda utahesabiwa kesho au keshokutwa.
jambo la msingi acha taarifa zako za msingi nyumbani.
kazi iendeleee hakuna kulala...
.
Huku kwetu Kwa Mtogole, unadhani tuna meza za mapochopocho?. Huku ni mwendo wa birika la chai na kistuli cha kawa ukifunua ndio unakutana na Vitafunwa vya staftahi, chapati, vitumbua na andazi.Hebu tueleze ugeni huo kwa mama meza ya brekifasti ilitapakaa mapochopocho gani, mimi huku kwangu Vianzi nimewaandalia togwa ya Manelumango na magimbi.
Marekani na utajiri wao wanafanya sensa kama sisi! Sensa si idadi ya watu pekee! Ni zaidi ya hapo! Taarifa nyingi zinahitajikaHivi nchi zilizoendelea wanahesabiwa hivi kama mifugo? Ukiwa na data za watu waliozaliwa, waliokufa, walioingia na kutoka nchini, siyo kwamba inabaki issue ya simple mathematics tu hapo?
Yeye ndio Mkuu wa Kaya??Wanabodi
Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!.
Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa.
Wana JF, let's share different experiences za sensa na muendelezo wa zoezi la Kuhesabiwa toka maeneo tofauti tofauti. Mimi niko home kwangu hapa maeneo ya Tandale kwa Mtogolo ambapo nimepanga ubazi mzima, nawasubiria kwa hamu na shauku kubwa makarani wa sensa wananifikie, na kwavile tuna taarifa ya ugeni huu, kama jadi ya Uafrika, tumewaandalia chai ya rangi na vitafunwa vya huku kwetu Uswazi, chai na chapati, vitumbua na maandazi. Chai ya maziwa na Vitafunwa vya mitaa ya kishua ni keki, sambusa, mkate wa siagi na mayai ya kukaanga.
Bado nawasubiria makarani wa sensa, vipi wewe mwenzagu?. Tuhabarishane na kupashana kuhusu zoezi hili.
Paskali
Nimewapa kifungua kinywa kwanza. Nimeweka hamira ya kutosha. Watashinda wameshiba, wanakunywa Maji tuBado nawasubiria makarani wa sensa, vipi wewe mwenzagu?. Tuhabarishane na kupashana kuhusu zoezi hili
Wakati Pangani na Hale stations ziko Hapo Hapo? What a shame?Usisahau kumwambia kwamba Kiwanda cha Cement Tanga kimesimamisha uzalishaji kwa kukosa umeme kama ilivyoripotiwa hapa JF, sasa kuhesabiwa kutanisaidia nini?
Wote.Hakuna anayeachwa hata wasafiri ombaomba malaya wa sinza wachimba madini wagonjwa wafungwa wote n.kHivi wale ndugu zetu wenye ulemavu wa akili wanahesabiwa?.
Wafungwa? wagonjwa mahospitalini?
wenye ulemavu wa akili unawachukuaje taarifa?Wote.Hakuna anayeachwa hata wasafiri ombaomba malaya wa sinza wachimba madini wagonjwa wafungwa wote n.k
Mimi nilidhani uliona meza ya brekifasti kwa mama Dom, sisi huku Vianzi Vikindu huwa meza yetu ni mkeka japo umebaki kipande lakini unafaa sana na viti ni vipande vya minazi, ni vizuri sana kwa afya kwani vinajenga stamina.Huku kwetu Kwa Mtogole, unadhani tuna meza za mapochopocho?. Huku ni mwendo wa birika la chai na kistuli cha kawa ukifunua ndio unakutana na Vitafunwa vya staftahi, chapati, vitumbua na andazi.
P.
Sasa hili la kuweka siku ya mapumziko ilimaanisha nini?Rais Samia baada ya kuhesabiwa, amezungumza, na Kamisaa wa Sensa, Spika Mstaafu Anne Makinda pia amezungumza, na kusema zoezi la sensa litadumu kwa siku 7, hivyo makarani wa sensa wasipopita kwako leo, watapita kesho au keshokutwa, acha majibu ya dodoso la sensa kisha endelea na shughuli zako.
P
Kwa haya maswali marefu kwenye dodoso la Sensa 2022, hawamalizi ndani ya siku 7. Labda 14 na ni wakifoji majibu!zoezi la kuhesabiwa litadumu kwa siku 7 kuanzia leo, hivyo usipo hesabiwa leo huenda utahesabiwa kesho au keshokutwa.
jambo la msingi acha taarifa zako za msingi nyumbani.
kazi iendeleee hakuna kulala...
.
Wanabodi