The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hako kachoko kanauza kalio,ni kamtu kaliko choka na maisha,nashangaa kamenirukia na kuanza kunitukana bila sababu,πΉπΉπΉ Jirani The Icebreaker una ujumbe wako hapa..!!
Huyo ulingo wake ni kuliwa marinda,hana zaidi ya hilo,Eeeeeee nyie Dr am 4 real PhD tuwape ulingo πΉπΉπΉ
Mwachiluwi alikupa namba kwa id ipi si walikupiga ban? Au mnafahamiana nje ya JF? πHakukua na haja ya kuanzisha thread Mimi nilimwambia aweke namba na anishukuru akipata unaweza ku refer kwenye uziii
Na kazi nyingi na plan Angu kibao za ku accomplish Kuna haja gani ya Mimi kuwa na multiple ID's
Kichawii mvii zimeanza kutoka in short nipo matured enough sina UTOTO Mimi Nina confidentiality above average.
Dogo Mwachiluwi anaweza kuutoa utetezi Kuna kipindii nilipigwa ban ya wiki mbili mwachiluwii akanipa namba niongee na mtu nifunguliwe Ban mbona sikumpigia Wala kufungua account mpya
Mimi sio mtoto wa gen Z ni mtu mzima baba wa makamo
Wewe kama uma moyo mgumu sisi wengine tunasaidia saidia sanaaANGALIZO
Ila hela ya mwanaume sometimes huwa hailiwi kienyeji
Kuna jokes pia chukulia kama jokea tuHakukua na haja ya kuanzisha thread Mimi nilimwambia aweke namba na anishukuru akipata unaweza ku refer kwenye uziii
Na kazi nyingi na plan Angu kibao za ku accomplish Kuna haja gani ya Mimi kuwa na multiple ID's
Kichawii mvii zimeanza kutoka in short nipo matured enough sina UTOTO Mimi Nina confidentiality above average.
Dogo Mwachiluwi anaweza kuutoa utetezi Kuna kipindii nilipigwa ban ya wiki mbili mwachiluwii akanipa namba niongee na mtu nifunguliwe Ban mbona sikumpigia Wala kufungua account mpya
Mimi sio mtoto wa gen Z ni mtu mzima baba wa makamo
Mtu mzima ila huna akili punguani wewe,kilichokufanya unitukane bila sababu ni nini fala wewe? Elfu 3 unajianzishia uzi,Hakukua na haja ya kuanzisha thread Mimi nilimwambia aweke namba na anishukuru akipata unaweza ku refer kwenye uziii
Na kazi nyingi na plan Angu kibao za ku accomplish Kuna haja gani ya Mimi kuwa na multiple ID's
Kichawii mvii zimeanza kutoka in short nipo matured enough sina UTOTO Mimi Nina confidentiality above average.
Dogo Mwachiluwi anaweza kuutoa utetezi Kuna kipindii nilipigwa ban ya wiki mbili mwachiluwii akanipa namba niongee na mtu nifunguliwe Ban mbona sikumpigia Wala kufungua account mpya
Mimi sio mtoto wa gen Z ni mtu mzima baba wa makamo
We mwaga mistari hapa hapa πΉNjoo PM
We bhna mbea sana π tuna fahamiana nje ya jfMwachiluwi alikupa namba kwa id ipi si walikupiga ban? Au mnafahamiana nje ya JF? π
Na miye naye kwa udadisi mweh.! πΉπΉ
Kwamba hautaki justification yoyote, vyovyote vile iwavyo wajue umaskini ni mbayaπππVyovyote ila umasikini ni mbaya
πΉπΉπΉ Basi jirani inatosha nyie wote wanangu sana..!!Hako kachoko kanauza kalio,ni kamtu kaliko choka na maisha,nashangaa kamenirukia na kuanza kunitukana bila sababu,
Sasa ngoja nikanyooshe,mpaka JF kaione chungu.
Kuna dalili ya utapeli hapa. ππHizi ni shukrani zangu za dhati kwa Dr am 4 real PhD kwa kunitumia sh 3000 ya kula na familia yangu leo jioni na natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi atakapo nitumia hiyo hela
Mods mnaweza kuunganisha uzi huu na ule mwingine
Thanks mkuu na barikiwa sana walau leo mama watoto na wanangu tutakula mihogo siku ipite kuliko kulala njaa
Watu wapuuzi sanaa ila ndio BINADAMU at least wewe kidogo unaweza sema kitu.Kuna jokes pia chukulia kama jokea tu
Kwanini unamuwazia hivyo huyo bro au labda mi mgeni hapa JF.Nahakika huu sio msaada huu kuna mtu anakwenda kupakwa wese la nazi.......... Kwa sababu anayekusaidia kweli kwa moyo hajitangazi kama huyu chura π Dr am 4 real PhD
Huyo jamaa Huwa damu haziendani for sure sio Leo ama wakati wowote.πΉπΉπΉ Basi jirani inatosha nyie wote wanangu sana..!!
Mtanifanya nishindwe kuchagua upande mjue π€£
Labda Tsh 200Naomba 2k nikuanzishie uzi dogo
Sawa. Hakuna dalili ya utapeli ila kuna dalili ya wewe kupakwa mafuta kama jamaa wanavyosema kwenye comments zaoUmetapeliwa au ndo ili uonekane mjuaji
Sina mkuu ila hata kama ningekuw naye nimlete tu kwako aaaaah hapan πππMzee sina haja ya kujitangaza humu then what...
Ajitokeze mtu yoyote nilie wai kum inbox kwa msaada wowote
Umo kichwa mwenu mmejaza UTOKO unaweza kuhisi chochote unacho nizidii
In short kama una ndugu Yako ni pharma tech, ama pharmacist niunganishe nimpe ajira.
Punguza u sadist