Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Wewe umeingia pabaya,umenitukana bila sababu,nitakufanya JF uione chungu,

Wewe ni masikini huwezi kujianzishia uzi kwa elfu 3 huna justification yeyote ya kujitetea hapa,

Wewe leta tu broken english yako ila umeanzisha moto,tambua hilo.
Mkuu aliyeomba ni mimi acha kumshambulia Dr am 4 real PhD
 
Dr naomba kazi 😹
 
Acheni basi hizi bifu. Hazisaidii kitu wakuu.
 
Huyo jamaa Huwa damu haziendani for sure sio Leo ama wakati wowote.

Labda iyo title ya udocta ndio inamfanya achukie kwani Mimi nili mkataza asisomee

Binafsi siwekagi watu ignore list tutaishi nae kimbuzi mbuzii

😊
😹😹😹 Acheni bhana sio pouwa..!!
 
Dah! nimejikuta nacheka japo si sawa kucheka. Sharti ni gumu ila yote kwa yote watoto wa jamaa usingizi utapita, siku itaisha vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…