Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

KKasome
Unadhani ukiniita nguruwe ndio inakuwa hivyo? Nenda kaiombe msamaha shule ya watu

Haya kasome thread #153, umuite nguruwe aliyecomment. Leo utajua hujui.
#64 na #68 halafu rudi hapa useme nani nguruwe mm na wewe
 
Narudia tena rudi #64 na #68 ww huwezi kuwa mwalimu ni nguruwe tu kama nguruwe unavyowaona ety linajisifu kabisa mwalimu
 
Mimi nilikuwa mwalimu mzuri sana wewe. Ila nilishaacha, nafanya mambo mengine. Hayo ya nguruwe ni yako.
 
KKasome

#64 na #68 halafu rudi hapa useme nani nguruwe mm na wewe
Mimi sijakuita nguruwe kwakuwa najua wewe ni binadamu uliyeumbwa na Mungu. Na siko hapa kufanya huo ulinganisho. Mimi nakushauri tu usiwe mzazi mihemuko unayechafua brands za shule bila ushahidi. Hapo tutakesha, Jipange.
 
Mimi lazima nikuitie nguruwe KWA maana umeenda kusoma na nimeandika hizo taarifa hazina uthibitisho ni shutuma tu lakini BADO unaniambia nachafua shule una tofauti gani na nguruwe pori?
 
Mimi nilikuwa mwalimu mzuri sana wewe. Ila nilishaacha, nafanya mambo mengine. Hayo ya nguruwe ni yako.
Huwezi kuwa mwalimu na hujawahi kuwa mwalimu unayeshindwa kusoma na kuelewa ILA unasoma halafu kama likondoo linalopelekwa machinjioni unajibu kama huwezi kusoma nikueletee screnshut nikisema hizo shutuma hazina ushahidi halafu uniletee screnshut ya txt yangu nimeandika kwamba hivyo vitu ni kweli
 
Mimi lazima nikuitie nguruwe KWA maana umeenda kusoma na nimeandika hizo taarifa hazina uthibitisho ni shutuma tu lakini BADO unaniambia nachafua shule una tofauti gani na nguruwe pori?
Pambana na hali yako. Anayekwambia uandike kimihemuko ni nani? Jilaumu mwenyewe.
 
Huwezi kuwa mwalimu na hujawahi kuwa mwalimu unayeshindwa kusoma na kuelewa ILA unasoma halafu kama likondoo linalopelekwa machinjioni unajibu kama huwezi kusoma nikueletee screnshut nikisema hizo shutuma hazina ushahidi halafu uniletee screnshut ya txt yangu nimeandika kwamba hivyo vitu ni kweli
Unadhani ukisema sijawahi kuwa mwalimu ndio inakuwa hivyo? Naona unajifariji tu baada ya kuchemka. Siku nyingine usihemukwe, sawa dada?
 
Huwezi kuwa mwalimu na hujawahi kuwa mwalimu unayeshindwa kusoma na kuelewa ILA unasoma halafu kama likondoo linalopelekwa machinjioni unajibu kama huwezi kusoma nikueletee screnshut nikisema hizo shutuma hazina ushahidi halafu uniletee screnshut ya txt yangu nimeandika kwamba hivyo vitu ni kweli
Ni mara mia ungeondoa mwanao hapo kuliko kuchafua jina la shule na kanisa linalowalea.
 
In short, Binti alikuwa mzima kabisa ,ghafla kufika form 2 akaanza kuumwa vitu vya ajabu ajabu,mara eti kuanguka km watu wa kifafa hivi vitu vya ajabu, peleka Kila hospital Hana ugonjwa , Alipokaa vzr ndo kubanwa akasema ukweli, Kuna sisita Tena mkubwa Kwa cheo hapo shuleni, alikuwa Kila siku anamuita room kwake jioni na baada ya prep anamsaga ,alianza Kwa kumnyonya matiti na Binti ndo alikuwa anakua tu ,....ndo maana tinawaambia hayo mambo ni spirit

SPIRIT au NYEGE TU?
 
Siyo tetesi ni kweli huyo naye hana taarifa kamili mdogo wangu anasoma hapo, wamezuiwa kurudi kweli, na hata form3 pia na form3 pia
Mhzmishie shule nyingine huyo mwanao. Hukulazimishwa kumpeleka mwanao shule hiyo.
 
Ni mara mia ungeondoa mwanao hapo kuliko kuchafua jina la shule na kanisa linalowalea.
Lete hiyo text hapa niliyoichafua shule nikisema nina uthibitisho na ninachokiongea. Ndo mana ninakuambia wewe hujawahi kuwa mwalimu na sidhani hata kama ulishawahi kwenda shule umeenda kusoma lakini kutaka kuonyesha kwamba wewe ni tahira BADO unaendelea kusema nachafua shule, narudia tena baba na mama Wana hasara kipindi umezaliwa wangebadilishana na mtu wakuwapa mapapai wangeongeza vitamini mwilini
 
Shule ya kanisa katoliki kua na wapenzi wa jinsia moja haiwezakane kabisa
Mleta mada atakuwa mwanafunzi wale watukutu

Uandishi unaonyesha sio wa mzazi ni wa mwanafunzi walimu na mliosoma saikolojia mtakuwa mashahidi kwa kuangalia uandishi tu
 
Lete hiyo text hapa niliyoichafua shule nikisema nina uthibitisho na ninachokiongea. Ndo mana ninakuambia wewe hujawahi kuwa mwalimu na sidhani hata kama ulishawahi kwenda shule umeenda kusoma lakini kutaka kuonyesha kwamba wewe ni tahira BADO unaendelea kusema nachafua shule, narudia tena baba na mama Wana hasara kipindi umezaliwa wangebadilishana na mtu wakuwapa mapapai wangeongeza vitamini mwilini
Hahaha! Pole dada. Umeandika mwenyewe kuwa hayo mambo yapo halafu unajifanya kucover up kuwa hakuna ushahidi. Ulikuwa na sababu gani ya kuandika hivyo? Kaiombe shule msamaha haraka.
 
Back
Top Bottom