Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

Hamia burundi mbuzi nyie
Mnatengeneza uongo ili kujifariji
Uongo wale wamasai wamempisha nani kule ngorongoro?

Hapo bandarini ni taifa gani limepewa kazi ya kuendesha bandari?

Au unataka tu kuwashiana moto na mtu asubuhi asubuhi? [emoji848]
 
Waliwahi kuja shuleni kwenu watu wanakusanya takwimu za watu wanaosoma Fizikia?
 
Waliwahi kuja shuleni kwenu watu wanakusanya takwimu za watu wanaosoma Fizikia?
Fikizia wanafanya wote kwa form 1&2 , 3&4 aswa sayansi na takwimu zao zipo haswa baadhi hawasomi kuanzia 3&4 wanaenda art au biashara , mitihani ya dini inepelekwa baraza kupitia wanaotunga hata wanaosahihisha ni watu wa dini husika.

Takwimu wanaofanya somo hilo zipo mpaka baraza ndio maana kuna attendance ya kusaini .

Swali lako halina logic!
 

Jamaa wana chuki za ajabu sana
 
Hizo takwimu zilipatikana je?
 
Hizo takwimu zilipatikana je?
Zinakusanywa ! Kwani ukisikia watu wanakusanya data unajua , wakati wenzio wanasoma pirmary na secondary data kweny research ulikuwa wapi?

Wanaweza kwenda kuchukua hata zilizopo hapo sio kuhesabu moja kwa moja .
 
Uongo wale wamasai wamempisha nani kule ngorongoro?

Hapo bandarini ni taifa gani limepewa kazi ya kuendesha bandari?

Au unataka tu kuwashiana moto na mtu asubuhi asubuhi? [emoji848]
Huo upupu wa ngorongoro na bandarini unahusiana nini na hii mada
Mlitaka wawape kina nani, sababu wazungu hata kama mnaona ni wagalatia wenzenu hawataki kufanya kazi na mijitu miesi wenye akili nzito kama ute wa mlenda, na ni wazembe, wavivu, na wezi, na pia hawana dau la kubid kushindana na waarabu, waarabu ndio wanasafirisha dunia nzima sasa na ndege zao sasabu hela wanazo.
 
Zinakusanywa ! Kwani ukisikia watu wanakusanya data unajua , wakati wenzio wanasoma pirmary na secondary data kweny research ulikuwa wapi?

Wanaweza kwenda kuchukua hata zilizopo hapo sio kuhesabu moja kwa moja .
Dah! Ndugu yangu, ni wazi hukielewi unachozungumza.
 
Kuna tatizo kubwa sana nadhani waislam wana agenda mbaya sana na Taifa hili, yetu macho dalili ni nzito sana huko mbeleni
 
Hizi chuki hazuwezi kutufukisha popote lazima tujitafakari sanaa kwanini tuwe hasi kwa watu fulani wenye imani yao.
Hakuna chuki yoyote hapo. Ulinzi na Usalama wa mtu yeyote huanzia na yeye mwenyewe. Tahadhari kabla ya hatari.
 
Mkuu; Kwa uzoefu tulionao juu ya hawa Jamaa, hawahitaji kuwa umewatendea kitu chochote bali siku isiyo na jina wanaliamsha tuu. Ni watu washari sana by nature.
 
Ila hawa jamaa sometimes wana mambo ya kindezi sana
 
Islam phobia, ubaya si Namna unavyotafsiri, na kupreach, huenda hitajio ni kimkakati lakini mchafuzi akachafua, kwani lisu akitaja Wazanzibari anakosea?
Maneno huumba, jambo likirudiwa rudiwa sana hata kama si kweli baadhi ya watu watafikiria ni kwel. Lisu ni mwanasiasa, na wanasiasa husema chochote kile ambacho wanakiona kitawapa faida katika harakati zao za kisiasa.
 
Huna akili.
Kwa nini msiitane huko misikitini mkachukue takwimu?Wapi umeona wa dini zingine wakichukua takwimu kwa mfumo mnaotaka kuuamzisha?
 
Tanzania Haina usawa,Kuna gepu kubwa sana Kati ya walionacho na wasionacho.
Ninaamini Kuna jambo linapikwa kupitia udini,na muungano.
Haya mawingu ni mosh utakao chini.
Acha uwake tu.
Ni kweli .
Kuna pesa nyingi sana zinaletwa na matajiri wa Kizungu na Waarabu .
Wazungu wanapitia misaada Kwa lengo kupata fursa za kuwashawishi watawala wagawe rasilimali za nchi Kwa mabeberu na masuala mazima ya Ushoga na usagaji. Zamani walianza kupitia kwenye dini ya kikristo Sasa Wazungu wanapitia kwa watawala na ma NGOs na Demokrasia.

Lakini Pia Kuna mapesa mengi sana yanayotoka Kwa waarabu kupitia dini ,ugaidi na madawa ya kulevya . Haya mapesa yanapitia Kwa wafanya Biashara wenye asili ya Asia kushirikiana pia na watawala yanaingizwa ambao wanageuka kuwa washishirika wao . Hapa pia dini ni kigezo.

Uchochoro unanza taratibu mwishowe unakua njia.


Pesa haijawahi kuiacha afrika na Dunia salama.
Lengo la matajiri wa kiarabu ni kushika uchumi wa Dunia kupitia rasilimali za Afrika kama walivyo wazungu.
Lakini Lengo la watawala wa Afrika ni kukaa mdarakani Kwa namna yoyote na kujilimbikizua Mali na familia zao. Uatasikia mitano Tena. Yaani Afrika mtu akawa makama wa Rais miaka sita na Rais miaka minne Jumla kumi lakini bado hatosheki anatafuta Kila mbinu na kuuza rasilimali zote za nchi ili tu apate pesa za kampeni na kushinda uchaguzi tuu.

Lakini Pia kulingana na umaskini wa Waafrika wengi na kutotambua kuwa Kila jamii duniani imewekwa sehemu yake na Mwenyezi Mungu Kwa lengo maalumu Waafrika wameaminishwa kuwa Dini za wazungu na Waarabu ni suluhisho la matatizo Yao huku wakiwa wanafarakana na kubaguana na kuchukiana na hata kuuana Kwa kugombania nafasi za Ahadi ya Kwenda mbinguni .
Mbaya zaidi matajiri na watawala wakishapata pesa za kutosha wanaamini kuwa wataenda pepoponi Kwa kufadhili harakati za kidini ziwe mbaya au nzuri.

Tusipokuwa na Katiba Bora inayowapa wananchi fursa ya kuchagua viongozi Bora Kwa manufaa ya Nchi yetu na Watu wetu hakika ipo siku tutachaguana Kwa misingi ya dini na makabila Kwa sababu watawala kupitia CCM wanachoangalia ni kutawala tu . Akiwa Rais Mkristo wanajifanya wapo bega Kwa bega na Wakristo na kuwafarakanisha kupitia Ukatoliki na ulokole.

Akiwa muislam CCM itatoa mpaka Ahadi ya Mahakama ya kadhi na Sasa wanawaahidi kuwa waarabu wakijaa hapa Tanganyika basi watu watapata vibarua au Kazi za kitumwa. Kutokana na umaskini watu wanawapa kura na wao wanafadhiliwa Kwa khanga na tishrt za chagua CCM Kazi iendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…