Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :-
1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi, Lissu, Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na Chadema wenyewe )hapa kuna, kuteka au kutumia propaganda kumchafua mtu kwa faida ya Mtu mwingine na nk...
2. Madaraka Hayaombwi na Madaraka huchukuliwa. Hapa ndipo kuna kuiba kura, kuteka mawala na nk..
3. Hakuna Rafiki na Adui wa kudumu, Hapa tunacheza na fursa tu ndio unaona Lowassa alie imbwa fisadi na CHADEMA anapeperusha bendera ya CHADEMA na kurudi CCM.
Hivyo watanzania hakuna kiongozi anaeweza kuja kukuletea Unga au Mchele Nyumbani ,tufanye kazi kwa kujituma tuweze kujikwamua na Umaskini tulio nao
Na kwa kifupi Matukio mengi tunayofuatilia ni planned na ndio maana mwisho wake unakatisha Tamaa sana .