Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daa hivi mkuu CHADEMA wamekupa nini ?Una msongo wa mawazo baadavya Jiwe kufa
Mbowe sio kitengo kwanini mnaikuza sana nguvu ya CCM hawana akili kiasi hiko. Napinga sababu sioni haja ya Mbowe kuwa CCM ilihali CCM Wana uhakika wa kushinda uchaguzi Kwa katiba yetu hii so hawahitaji political solution. Yaani Mbowe wa Nini ilihali whether Mbowe yupo au lah wataiba kura tu?Siku waliokushikia akili yako watapoirudisha, ndo utajua kwamba mchezo wa kufungwa au kunyang'anywa nyumba ili kuifubaza jamii ni la kawaida tu. Afu watu wa kitengo wana njia nyingi sio lazima njia wanazozitumia kwa Mrema ndo hizo hizo wazitumie kwa Mbatia. Wakifanya hivyo itakuwa rahisi kuwagundua, ndo maana wao wana njia tofauti ambazo mtu kama wewe hauwezi kuzing'amua kama unavyoonesha katika comment yako. Pole sana kwa kuchelewa kuelewa mambo ya mfumo kijana. Na hili ndio watu wa vitendo wanalolitaka asilani.
We ndio hujui kabisa.... Mtu wa kitengo anapaswa asifahamike kabisa mfano Chadema wako radical ila Mbowe ni mstaarabu/moderate Sasa unadhani sio rahisi kugundua kuwa Mbowe ni TISS. Ni rahisi zaidi kwa Mnyika au Lissu kuwa TISS au Informant kuliko Mbowe maana Mbowe yupo tofauti na wenzake ana siasa za kuchukuliana kuliko wenzake ambao ni "wakali". Mpaka hapo tu inakua rahisi kuwa spotted.Ndo maana yake mkuu. Inashangaza mpaka karne hii ya 21 mtu na akili zake anashindwa kung'amua dalili na matendo ya mtu wa kitengo ni yapi. Mtu wa kitengo ni sawa sawa na mchawi ambae yuko radhi kuuwa mtoto wake mwenyew ili apate cheo. Hivyo hivyo mtu wa kitengo yuko radhi kufungwa na kuteswa "kimchongo" au kuharibiwa chochote kilicho chake "kimchongo" lakini mwisho wa siku cheo chake kinaongezeka, mshahara wake unaongezeka na heshima yake pia ndan ya kitengo hicho cha siri inaongezeka kwa kufanikisha mission yao kupitia yeye.
Ungesema tu Siasa za Afrika ila nchi za wenzetu hawana hii tabia. Haya unayosema Mbona south Africa tu hapo hamna?Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :-
1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi,Lissu ,Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na Chadema wenyewe )hapa kuna ,kuteka au kutumia propaganda kumchafua mtu kwa faida ya Mtu mwingine na nk...
2. Madaraka Hayaombwi
na Madaraka huchukuliwa
Hapa ndipo kuna kuiba kura ,kuteka mawala na nk..
3. Hakuna Rafiki na Adui wa kudumu ,Hapa tunacheza na fursa tu ndio unaona Lowassa alie imbwa fisadi na CHADEMA anapeperusha bendera ya CHADEMA na kurudi CCM.
Hivyo watanzania hakuna kiongozi anaeweza kuja kukuletea Unga au Mchele Nyumbani ,tufanye kazi kwa kujituma tuweze kujikwamua na Umaskini tulio nao
Na kwa kifupi Matukio mengi tunayofuatilia ni planned na ndio maana mwisho wake unakatisha Tamaa sana .
uko sahihi mkuuUngesema tu Siasa za Afrika ila nchi za wenzetu hawana hii tabia. Haya unayosema Mbona south Africa tu hapo hamna?
1. Siasa chafu sio kweli ila Kuna kuchukua point za kisiasa kupitia matukio yaani propaganda. Mfano watu wameandamana akauawa mtu basi mnabeba Bango kuwa Rais ni dikteta na muuaji mkishirikiana na media mwisho wa siku point za kisiasa zinaondoka kutoka kwa Rais. Yaani it's a game of political ratings so kosa Moja litumike ipasavyo lakini sio eti mtu ajiue kisa serikali ichafuke utadakwa tu na mifano ipo mingi.
2. Kuiba na kupora kura ni Afrika Tena sio Afrika kusini Wala kaskazini. Kuiba kura sio principal ni ubovu wa katiba tu mbona sauzi au Kenya kura haziibiwi? Madaraka kuchukuliwa maybe ni agressiveness inayotumika mfano bajeti kubwa ya kampeni, lobbying, kuitengeneza allies, ku cluster wapiga kura along udini na ukabila n.k
3. Hakuna adui wa kuduma ila MASLAHI ya kudumu. Mfano kama ACT inataka muungano uvunjike haiweze pekee itabidi hata ishawishi wabunge wa CCM licha ya kwamba ni mahasimu wao Ili tu ifikie maslahi ya Zanzibar huru. Ila sio kwamba hiyo definition Ilimaanisha kuwa fursa ni za wizi hivi n.k. kwa nchi kama Kenya mfano Governor wa Nairobi ni chama tawala ila JIJI lipo chini ya chama Cha Odinga so alichofanya aliingia makubaliano nao ikiwemo kuwapa nafasi za "uwaziri" licha ya kusema kwenye kampeni kuwa hawafai kuongoza JIJI.
Kabla ya Mrema kufa na wasifu wake kuanikwa ni nani ambae angejua kama jamaa alikuwa mtu wa kitengo. Japo kulikuwa na tetesi kama hizi za Mbowe lakini watu wengine walibisha kama mmbishavyo nyie chawa wa Mbowe.Mbowe sio kitengo kwanini mnaikuza sana nguvu ya CCM hawana akili kiasi hiko. Napinga sababu sioni haja ya Mbowe kuwa CCM ilihali CCM Wana uhakika wa kushinda uchaguzi Kwa katiba yetu hii so hawahitaji political solution. Yaani Mbowe wa Nini ilihali whether Mbowe yupo au lah wataiba kura tu?
Tanzania Haina Wana kitengo intelligent kiasi hiko kupanda watu maeneo muhimu ingekua hivyo tusingewahi kuibiwa hata tembo mmoja Wala Makinikia.
Acha kukubali kuWe ndio hujui kabisa.... Mtu wa kitengo anapaswa asifahamike kabisa mfano Chadema wako radical ila Mbowe ni mstaarabu/moderate Sasa unadhani sio rahisi kugundua kuwa Mbowe ni TISS. Ni rahisi zaidi kwa Mnyika au Lissu kuwa TISS au Informant kuliko Mbowe maana Mbowe yupo tofauti na wenzake ana siasa za kuchukuliana kuliko wenzake ambao ni "wakali". Mpaka hapo tu inakua rahisi kuwa spotted.
Huna unalojua kuhusu mambo ya ujasusi kajipange upya.
Ama kweli kuna watu wana macho Lakin hawaoni, wana masikio lakin hawasikii na wana akili lakn hawafikiri.We ndio hujui kabisa.... Mtu wa kitengo anapaswa asifahamike kabisa mfano Chadema wako radical ila Mbowe ni mstaarabu/moderate Sasa unadhani sio rahisi kugundua kuwa Mbowe ni TISS. Ni rahisi zaidi kwa Mnyika au Lissu kuwa TISS au Informant kuliko Mbowe maana Mbowe yupo tofauti na wenzake ana siasa za kuchukuliana kuliko wenzake ambao ni "wakali". Mpaka hapo tu inakua rahisi kuwa spotted.
Huna unalojua kuhusu mambo ya ujasusi kajipange upya.
Huna unalojua, Mrema kuwa TISS ilifahamika tokea akiwa wizara ya mambo ya ndani obviously nafasi nyeti kama Ile utakua kitengo tu Wala hakuna aliyebisha. Mbona Membe ni kitengo na ipo wazi kwenye CV yake same to Marando yupo Chadema lakini Iko wazi ni TISS so sio kosa kuwa TISS maana ni kitengo kama kitengo kingine ila kulazimisha kuwa Mbowe ni undercover ni ujinga.Kabla ya Mrema kufa na wasifu wake kuanikwa ni nani ambae angejua kama jamaa alikuwa mtu wa kitengo. Japo kulikuwa na tetesi kama hizi za Mbowe lakini watu wengine walibisha kama mmbishavyo nyie chawa wa Mbowe.
Ila baada ya kifo chake ndo wasifu wake ukaanikwa hadharan maana uhai wake umekwisha hana tena faida na kitengo chao.
Sasa jiulize je kwanini Mrema alihitajika kuwa mwana kitengo na wakati CCM ina uwezo wa kushinda chaguzi zote.
Subiri siku jamaa yako akiitwa na Mungu, usome wasifu wake kama haujashangaa. Kwa sasa acha aendelee kuwahadaa wahadaiwa.
Sisi wajanja haturubuniwi hovyo na wanavitengo.
Hujui kitu mkuu Ile siku ya Akwilina anauawa watu wa kitengo ndani ya Chadema wote walijua kuhusu msala ule na walipotea ghafla kutoka maeneo ya maandamano Yale. Na mmoja alikua ni Katibu wa Jimbo husika..... so sio kama hawafahamiki maana wengine ni field officers tu wa kawaida na kwenye chama lazima wawepo kulinda maslahi ya taifa na Mbowe yupo comfortable nao sababu anajua hawana issue nyeusi yoyote.Ama kweli kuna watu wana macho Lakin hawaoni, wana masikio lakin hawasikii na wana akili lakn hawafikiri.
Pole sana kwa kutokuwajua watu wa vitengo wanavyofanya kazi. Ndiomaana imekuwa ngumu jamaa kugundulika kama ni wakitengo hii ni kwasababu anaongoza kundi la chawa wenye fikra na akili zilizochoka.
Kama haujui tabia za watu wa kitengo ngoja nikupe mfano mdogo tu ili kukifungua kichwa chako kilichofungwa kwa propaganda uchwara. Watu wa kitengo ndugu yangu wanasifa zifuatazo.
1) wapole usoni - Mbowe ni mpole ukimlinganisha na Lisu, Lema nk
2) Sio waropokaji ropokaji sana - Mbowe sio mropojaki ropokaji kama Lisu, Lema nk
3) Wanapenda kubaki katika nafasi za juu ili waweze kuendesha mambo yao vizuri mfn hakuna jambo linaloweza kufanyika la chama au serikali bila yeye kuwa na taarifa na anapopata taarifa huzituma moja kwa moja sehemu husika (kitengoni) hii sifa kweli Mbowe anayo ndomaana mpaka leo mwenyekiti ni Mbowe na sio Lisu.
Hizi sifa ambazo nimekwambia Mbowe anazo ndio hizo hizo walizonazo kina Kagame, Putin na wengineo.
Ukitaka kujua kama wanakitengo hawana sifa kama za Lisu angalia yaliompata Lisu. Ni lini umeona Putin au Kagame wanapayuka payuka hovyo mitandaoni na redioni.