Siasa ni mchezo mchafu sana, waachwe wanaoujua Waucheze

Siasa ni mchezo mchafu sana, waachwe wanaoujua Waucheze

Umeandika vyema sana, ila naomba kuuliza, unawaongeleaje watu kama kina Zitto kabwe ambao wako nje ya chama, Je wako ndani ya chama tawala ila wanaficha ficha ama ni nini?! Zitto kabwe ni mtu imara tu kwa maoni yangu, au kuna sehemu nachanganya sielewi?!
Uimara wake uko wapi? ,nahisi wewe ni mgeni kwenye siasa za nchi hii
 
Ni hapa Tanzania tu mkuu ila huko dunia ya kwanza watu wanakwenda na principles tu.

Watu wamejawa na uzalendo kila mtu anaipigania nchi yake.

Tofauti hapa wanasiasa wanapigania maslahi yao tu na familia zao.
Dunia ipi hiyo ?
 
Tuendelee kupiga makofi na kwa suala la kina Mdee liko patamu
 
haya siro kutolewa wizara ya Ndani kupelekwa ya nje na kingai kupanda cheo hawa watu tunashangilia yananifanya niamini hii ni mechezo .
 
Mkuu kwa sasa hivi hakuna mtu mwenye akili asiejua kuwa Mbowe ni mwanakitengo maalum. Kabla ya kuanza ziara za ikulu enzi za Kikwete na sasa hivi mama, watu wengi walikuwa wanajua kuwa jamaa ni mpinzani madhubuti, lkn Mungu si Athumani taraatibu akaanza kumuonesha rangi yake halisi kupitia wakati ule wa JK, tukasogea na kukutana na tukio lingine la kihistoria 2015, la kuuwa ndoto za upinzani kuingia ikulu kwa kumkaribisha mwana kitengo mwenzie aje aharibu mipango ya wale waliokuwa wapinzani wa kweli.

Baada ya hapo watu wakaanza kushtuka likatengenezwa zogo sijui la kuharibiwa shamba, mara ugaidi huku, dakika za mwisho eti kesi ya ugaidi inafutwa ghafla anaenda kuonana na mkuu wa nyumba. So mpaka hapo wenye akili wanafahamu kinachoendelea.

Hivyo hivyo kwa Zito, Lipumba nk.
Linafikirisha sana kwa kweli
 
Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :-

1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi,Lissu ,Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na Chadema wenyewe )hapa kuna ,kuteka au kutumia propaganda kumchafua mtu kwa faida ya Mtu mwingine na nk...

2. Madaraka Hayaombwi
na Madaraka huchukuliwa
Hapa ndipo kuna kuiba kura ,kuteka mawala na nk..

3. Hakuna Rafiki na Adui wa kudumu ,Hapa tunacheza na fursa tu ndio unaona Lowassa alie imbwa fisadi na CHADEMA anapeperusha bendera ya CHADEMA na kurudi CCM.

Hivyo watanzania hakuna kiongozi anaeweza kuja kukuletea Unga au Mchele Nyumbani ,tufanye kazi kwa kujituma tuweze kujikwamua na Umaskini tulio nao

Na kwa kifupi Matukio mengi tunayofuatilia ni planned na ndio maana mwisho wake unakatisha Tamaa sana .
Kwaiyo kama siasa mchezo mchafu tuwaachie wachezee maisha yetu?
 
Mkuu kwa sasa hivi hakuna mtu mwenye akili asiejua kuwa Mbowe ni mwanakitengo maalum. Kabla ya kuanza ziara za ikulu enzi za Kikwete na sasa hivi mama, watu wengi walikuwa wanajua kuwa jamaa ni mpinzani madhubuti, lkn Mungu si Athumani taraatibu akaanza kumuonesha rangi yake halisi kupitia wakati ule wa JK, tukasogea na kukutana na tukio lingine la kihistoria 2015, la kuuwa ndoto za upinzani kuingia ikulu kwa kumkaribisha mwana kitengo mwenzie aje aharibu mipango ya wale waliokuwa wapinzani wa kweli.

Baada ya hapo watu wakaanza kushtuka likatengenezwa zogo sijui la kuharibiwa shamba, mara ugaidi huku, dakika za mwisho eti kesi ya ugaidi inafutwa ghafla anaenda kuonana na mkuu wa nyumba. So mpaka hapo wenye akili wanafahamu kinachoendelea.

Hivyo hivyo kwa Zito, Lipumba nk.
Una msongo wa mawazo baada ya Jiwe kufa
 
Back
Top Bottom