Siasa ni mchezo mchafu sana, waachwe wanaoujua Waucheze

Sikatai kujihusisha
 
Zitto Kabwe anaonekana anaelewa kuwa nafasi yake yeye ni Mpinzani. Sio kukamata dola.

Siasa zetu zinafanana na zile za China. Ila akili zetu ndo hazifanani na China. Bunge la China lina vyama nane na wabunge wasio na vyama. Ila kila mtu anajua chama dola ni Chama cha Kikomunisti, hawakisumbui.
 
"Hivyo watanzania hakuna kiongozi anaeweza kuja kukuletea Unga au Mchele Nyumbani ,tufanye kazi kwa kujituma tuweze kujikwamua na Umaskini tulio nao"

Mkuu! Umechnganya maji na mafuta....... unahitaji Elimu ya uraia. Una hoja lakini, ni muhimu kufahamu nafasi ya maji na nafasi ya mafuta. Nani kasema tunatafuta kiongozi wa kuleta unga au mchele majumbani. Hii maanake unataka kusema hatuhitaji kuwa na viongozi na hata swala la uchaguzi na upigaji kura kuchagua viongozi halina tija na maana yoyote kwa Taifa.

Kufanya kazi ni msingi wa maisha ya binaadam tangu enzi na ni muhimu, na upande mwingine uongozi upo tangu enzi na una nafasi na umuhimu wake. Ninachokiona unahitaji kujielemisha kujua wajibu na majukumu ya uongozi ambao unaanzia kwako binafsi, familia, jamii, Taifa hadi dunia nzima.

Kama wewe ni mvivu na mzembe inabaki kuwa liability kwako na jamii. Natarajia kumuona mtu mwenye bidii ya kazi na mwenye kuhamasisha wengine kufanya kazi aweze kutambua umuhimu wa uongozi na msingi wake katika kuleta ufanisi kwa wenye bidii kazini kwao.

Una hoja lakini pengine uwasilishaji wa hoja yako labda unachnganya mambo.
 
Sawa mkuu
 
UTAFANYA KAZI WAKATI SIASA NI CHAFU?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mateso yote ya JELA kayakubali kalipwa nini? Kama ni wa kitengo vipi na Zitto kwanini Ateswi kama Mbowe?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mateso yote ya JELA kayakubali kalipwa nini?Kama ni wa kitengo vipi na Zitto kwanini Ateswi kama Mbowe?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Siku waliokushikia akili yako watapoirudisha, ndo utajua kwamba mchezo wa kufungwa au kunyang'anywa nyumba ili kuifubaza jamii ni la kawaida tu. Afu watu wa kitengo wana njia nyingi sio lazima njia wanazozitumia kwa Mrema ndo hizo hizo wazitumie kwa Mbatia. Wakifanya hivyo itakuwa rahisi kuwagundua, ndo maana wao wana njia tofauti ambazo mtu kama wewe hauwezi kuzing'amua kama unavyoonesha katika comment yako. Pole sana kwa kuchelewa kuelewa mambo ya mfumo kijana. Na hili ndio watu wa vitendo wanalolitaka asilani.
 
Reactions: RNA
Mambo mengi ni planned
 
MAWAZO FINYU HAYO NI KICHAA TU NDIO ANAWAZA UWAZAVYO MNADANGANYWA VIJIWENI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Naona MATAGA mnajitekenya wenyewe na kuchekaaa!
Saivi umma wa Watanzania hawadanganyiki tena!
 
Unamawazo ya kizamani ya enzi ya ujima na propaganda za kisoshalisti.
Soma alama Zama zimebadilika.
 
Mambo mengi ni planned
Ndio maana yake mkuu. Inashangaza mpaka karne hii ya 21 mtu na akili zake anashindwa kung'amua dalili na matendo ya mtu wa kitengo ni yapi. Mtu wa kitengo ni sawa sawa na mchawi ambae yuko radhi kuuwa mtoto wake mwenyew ili apate cheo. Hivyo hivyo mtu wa kitengo yuko radhi kufungwa na kuteswa "kimchongo" au kuharibiwa chochote kilicho chake "kimchongo" lakini mwisho wa siku cheo chake kinaongezeka, mshahara wake unaongezeka na heshima yake pia ndan ya kitengo hicho cha siri inaongezeka kwa kufanikisha mission yao kupitia yeye.
 
Reactions: RNA
This is the best thread on JF ever
 
Reactions: RNA
Uko sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…