Siasa ni mchezo mchafu sana, waachwe wanaoujua Waucheze

Uimara wake uko wapi? ,nahisi wewe ni mgeni kwenye siasa za nchi hii
 
Ni hapa Tanzania tu mkuu ila huko dunia ya kwanza watu wanakwenda na principles tu.

Watu wamejawa na uzalendo kila mtu anaipigania nchi yake.

Tofauti hapa wanasiasa wanapigania maslahi yao tu na familia zao.
Dunia ipi hiyo ?
 
Tuendelee kupiga makofi na kwa suala la kina Mdee liko patamu
 
haya siro kutolewa wizara ya Ndani kupelekwa ya nje na kingai kupanda cheo hawa watu tunashangilia yananifanya niamini hii ni mechezo .
 
Linafikirisha sana kwa kweli
 
Kwaiyo kama siasa mchezo mchafu tuwaachie wachezee maisha yetu?
 
Una msongo wa mawazo baada ya Jiwe kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…