Siasa pembeni, Polepole Vs Nape? Nani kichwa

Nimemsikiliza Polepole mara kadhaa,anazo hoja zenye mashiko.
Tunatakiwa kushambulia hoja na sio mtu.Hoja za Polepole ni wanasiasa wachache sana wanaweza kuzijibu.Polepole anajua kujenga hoja.Nape anaongea mipasho,vijembe,mijisifu na kuzomea, hakuna cha zaidi.Tofauti ya Polepole na Nape kisiasa,ni sawa kuifananisha mbingu na ardhi! Polepole (mbingu),Nape(Ardhi).
 
Daah! Dalali na mchuuzi wa wabunge na madiwani wa upinzani vs goli la mkono. KWELI CCM NI WAHUNI
 
Hujalazimishwa kuyasoma

Kama hayakupendezi pita kimyakimya[emoji188][emoji188][emoji188] na uache kunitag na kuniquote[emoji114]

Sawa eeeh!?
Anzisha mtandao wako kama hautaki Tag
 
Kuweka neno IQ kubwa na kumuweka Nape, ni kulikosea heshima neno IQ,
Usilinganishe shabiki na 'think tank', hata kama unamchukia polepole.
Kwa hiyo Polepole Ndio think tank ya Lumumba? No wonder Magufuli alivyovurunda nchi.
 
Wote ni walinda tumbo tu
 
Mmoja kiroboto na mwingine Chawa.
Wote wawili ni vidudu vinyonya damu na vinapenda Kagandia madaraka ili vitavune KODI zetu. Hawana faida wala maana yeyote kwa Tanzania.
Wote ni MaCCM na yanastahili kufukiwa yakiwa hai.
 
Wote viroboto tu! Sema kiroboto mwendapole ndo anaye uwawa kwa sasa!
 
Polepole yupo na wananchi ndiyo maana viewers ni wengi sana kwake .

Nape na Makamba wanajulikana ni timu msoga ( wapigaji)
Wananchi gani yupo nao kenge huyo aliua demokrasia? Wacha ajifie kifo cha mende
 
Polepole yupo na wananchi ndiyo maana viewers ni wengi sana kwake .

Nape na Makamba wanajulikana ni timu msoga ( wapigaji)

Wasukuma mna shida sana haki,, yule jamaa yenu alikwisha sepa, hamna chenu tena!!!
 
kama manara
 
Hivi Nape ashawahi toa mchango gani wa kizalendo katika nchi hii zaidi ya kuchumia tumbo lake ? Bora HP mara Mia zaidi ...
Wanawake 20 walilala kifudifudi na Nape akapita juu ya migongo yao! Sijuhi lilikuwa tambiko ama nini...ndio mchango wa Nape kwa Taifa ninaokumbuka!
 
Wote ni walewale wapuuzi kama magodfather wao tu.
 
Kama ungeuliza ni nani kati yao ni opportunist zaidi ya mwenzie ? Hapo swali lako linge make sense zaidi !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…