Unapokuwa unamueleza mtu hali halisi iliyopo kwa kurudia na hataki kuelewa unaachana naye! Kitanda usichokilalia huwezi jua kunguni wake! Wahusika wanajua kilichopo kwenye hoja ya msingi, nyie wengene mnaotaka kupoteza muda hebu nendeni kwenye mada zinazo wahusu!Huyu jamaa kama ni mwalimu kweli basi kuna shida kwenye vyuo vyetu
Unaongea mambo mepesimepesi sana Noel kwa mambo yaliyo mazito, sijui ndio kukariri kwenyewe!? Unabisha kinadharia zaidi!Mkuu Hero una hoja nzuri sana, lakini uwasilishaji wa hoja yako una ukakasi. Mimi nimekuuliza kwa nini performance ya wanafunzi ni mbovu kwa Muhimbili na sio vyuo vingine Tanzania? Pili, umezungumzia swala la vitendea kazi, ila kwa uelewa wangu Muhimbili ndio chuo chenye resources nyingi kuliko vyuo vingine vya medicine. Muhimbili kuna hospitali za mazoezi zaidi ya mbili, Hospitali ya taifa na Mloganzila. Kwa hiyo swala la vitendea kazi tuliondoe kwenye sababu za poor performance ya wanafunzi. Umezungumzia swala la walimu wachache, nimekuuliza kuhusu ratio ya walimu kwa wanafunzi kwa hapo kwenu Muhimbili hujajibu.
Mwisho wa siku kama wewe umekosa gpa ya 4 tuliza boli wapo wengine wataipata, na wataajiriwa kufundisha.
Unaongea mambo mepesimepesi sana Noel kwa mambo yaliyo mazito, sijui ndio kukariri kwenyewe!? Unabisha kinadharia zaidi!
Nianze na ya mwisho, mie tayari nipo kwenye ajira, ni mkufunzi tayari, kwa hiyo GPA kwangu mimi hainihusu!
Kwa mawazo yako ya harakaharaka, mazingira ya kujifunzia ya MUHAS ni sawa na Havard si ndio eeh? Unataka kuchukua mambo kijumla jumla eh? Kwa taarifa yako, kila idara ni chuo, mazingira ya kila idara ndio hutengeneza GPA!
Hivi unajua idadi ya wanafunzi waliopo MUHAS na vyuo jilani wanaoitumia MHN na Mloganzila? Nakualika, nenda pale MPL ukacheki yanayoendelea uone mihadhara inavyoendelea kwa madaktari wetu watarajiwa. Nenda mawodini. Bado hatujafikia huko lakini tunapambana tufikie, na sasa hata ktk hii hoja nataka wahusika wapungeze mizengwe inayotuchelewesha.
Eti ratio ya walimu kwa wanafunzi ipoje? Ebo, hivi kama idara flani ina waalimu 20 na nyingine haina hata mwalimu mmoja, huo uwiano wa jumla ya walimu kwa wanafunzi unamaana gani kwa idara zisizokuwa na walimu kabisa au zilizo na mwalimu mmoja? Mwisho wa siku baadhi ya masomo hayatafundishwi ktk ubora unaotakiwa.
Umenikosea saana ndugu yangu (red) ila nikusamehe tu bure! Uwe na Christmas njema!Mimi naona unarukaruka kama maharage. Nimekuuliza utofauti wa idadi ya walimu kwa Muhimbili na vyuo vingine TANZANIA hujajibu. Nimekuuliza kuhusu utofauti wa resources kwa Muhimbili na vyuo vingine TANZANIA hujajibu.
Tafuteni solution ya matatizo yenu hapo na sio kulialia huku kwenye mitandao.Wewe unakuta zaidi ya kusahihisha mitihani hauna hata mchango wowote kwenye chuo.
Sent using Jamii Forums mobile app
MUHAS ya sasa imebadirika saana, kukomoana kumepungua saaana sasa hivi, miaka ya 2000 kurudi nyuma ndio ilikuwa balaa, nakumbuka ukipata 'A' walimu waliitana ili kudhibiti, mwalimu anakosa raha kabisa kuwa ametunga mtihani rahisi sana au umevuja! Siku hizi 'A' mbona zinapatikana tu. Shida imekua ku'maintain' ktk idara zote, zaidi ya 16 anazopitia mwanafunzi!
Umenikosea saana ndugu yangu (red) ila nikusamehe tu bure! Uwe na Christmas njema!
Mkuu Hero una hoja nzuri sana, lakini uwasilishaji wa hoja yako una ukakasi. Mimi nimekuuliza kwa nini performance ya wanafunzi ni mbovu kwa Muhimbili na sio vyuo vingine Tanzania? Pili, umezungumzia swala la vitendea kazi, ila kwa uelewa wangu Muhimbili ndio chuo chenye resources nyingi kuliko vyuo vingine vya medicine. Muhimbili kuna hospitali za mazoezi zaidi ya mbili, Hospitali ya taifa na Mloganzila. Kwa hiyo swala la vitendea kazi tuliondoe kwenye sababu za poor performance ya wanafunzi. Umezungumzia swala la walimu wachache, nimekuuliza kuhusu ratio ya walimu kwa wanafunzi kwa hapo kwenu Muhimbili hujajibu.
Mwisho wa siku kama wewe umekosa gpa ya 4 tuliza boli wapo wengine wataipata, na wataajiriwa kufundisha.
Siongelei chuo, naongelea kozi ya udaktari! Tulia na utumie akili ya kawaida, ili kupata B.A. in Kiswahili, unafikiri kuna idara ngapi huyu anapitia mpaka kufuzu? Ili kufuzu udaktari, ndio nakuambia, huyu mwanafunzi atatakiwa asome na kufaulu masomo kama 20 na zaidi yaliyomo ktk zaidi ya idara 16! Tembelea basi hata kwenye websites za vyuo husika uangalie school of medicine/depatrtments, ndio utaelewa nachomaanisha!Unapozungumzia idara 16, ina maana vyuo vingine havina hizo idara 16?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unajibu kwa haraka haraka hivyo, hebu umalize kunywa bia kwanza na ukiwa soba, ndio ukae kwa utulivu ndio uje kutoa ya moyoni!Okay, I am genuinely sorry, I have overstepped.
Lakini ukweli lazima usemwe, hilo tatizo unalolizungumzia lilikuwepo ( au bado lipo), na halijasabibishwa na vitendea kazi au mazingira duni ya ufundishaji.
Limesababishwa na walimu wa hapo kwenu.
Muhimbili ina wa walimu wengi, ina resources nyingi kuliko vyuo vingine ambavyo wanafunzi wanapata marks nzuri tu.
Hapo shida ni nyie walimu mbadilike, mfanye mentorship, aandaeni kizazi kinachokuja. Ndio kazi yenu, mnalipwa kwa kazi hiyo.
Ningeandika zaidi wala wacha nianze Christmas kwa kunywa beers kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka sema nchi nzima hakuna mwanafunzi hata mmoja mwenye 3.8 GPA?Awaachie wengine kina nani sasa kama hawapo!?
There goes my brother Wyatt [emoji28][emoji28]Najiongelea mwenyewe
Collectively nchi ina vyombo maalumu vya kutoa hayo maamuzi na wala sio wewe
Wewe ni kiazi binafsi kama mimi,huna powers za kupitisha chochote cha maslahi ya nchi hii
Vyombo hivyo hivyo vya nchi hii ndio vimepitisha 3.8,wewe kiazi mmoja unakataa,tupe hoja basi utushawishi,hutoi!
Siongelei chuo, naongelea kozi ya udaktari! Tulia na utumie akili ya kawaida, ili kupata B.A. in Kiswahili, unafikiri kuna idara ngapi huyu anapitia mpaka kufuzu? Ili kufuzu udaktari, ndio nakuambia, huyu mwanafunzi atatakiwa asome na kufaulu masomo kama 20 na zaidi yaliyomo ktk zaidi ya idara 16! Tembelea basi hata kwenye websites za vyuo husika uangalie school of medicine/depatrtments, ndio utaelewa nachomaanisha!
Hii ni kweli mkuu. Hata leo hii ukifanya uhakiki wa GPA hata pale UDSM wanaojifanya ni chuo standard maana vurugu zote hizi za sijui 3.8 undergrad au 4 masters zinaazia pale, utagundua wapo waadhiri kibao walioajiriwa bila kuwa na hiyo GPA ya 3.8 undergrad au 4 ya masters.Kuna msemo ulikua una vuma sana vyuoni...."GPA does not matter" au "GPA sio issue, issue ni connection"!
Na misemo hii ilitumiwa sana na wale wasio penda kusoma japo walipenda sana kwenda clabu na kuangalia series!
GPA haipimi mgonjwa ila GPA ni indication kwamba ulikua serious na masomo na kama ulikua serious na masomo basi utakua serious kwenye kupima/kutibu wagonjwa.
Tulidanganywa na waingereza mkuu. Vyeti vyeti hadi watu wakahamua ku-forge wakajipatia ajira bila hata kuwa na ujuzi wowote.Tanzania tuna watu wanaobabaikia mavyeti kuliko ujuzi!
Ubaya ni kwamba, hata wenye vyeti hawaakisi umahiri unaostahili.
Tunababaika sana na makaratasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
The Priest,
Kuongoza sekondari haimaanishi wewe una weza kuwa Mkufunzi wa chuo kikuu.