Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,842
- 3,618
Mimi pia ni mdau wa elimu kwenye ngazi tofauti. Hilo la GPA linaweza kuwa na hoja kama fani anayosoma mtu ni mono-specialty ambayo job title yake italandana kabisa na skills set kama zilivyo kwenye kozi husika, mfano ukisema 'BSc in Business ICT' mwenye GPA kubwa kwenye degree hii ni mahiri kwenye business ICT.Unataka GPA kwa daktari ili iweje
GPA ndo inafanya operesheni, ndo inagawa dawa, ndo inapima mgonjwa?
Acheni ulimbukeni wa GPA
Hivi vyuo vya akina St nani huko umeshaona wanavyomwaga GPA kama njugu? Nilishakutana na dogo mwenye transcript inayosomeka GPA 4.6. Ngoja aongelee hiyo fani utashangaa! Urojo mtupu! Kazini anafundishwa kazi na wenzake ambao kimsingi angeweza kuwaita vilaza!Kwa kweli elimu ya Tanzania inakatisha tamaa sana. GPA haiwezi saidia mtu kuwa competent & Innovative maana mwanafunzi wanaweza kuwa na GPA kubwa lakini akawa na uwezo mdogo kwa mfano Mwanafunzi aliyepewa mtihani akapa GPA ya juu lakini hana hiyo competence!
Sasa wewe mbona kama unapingana na mleta mada, yeye anasema hivyo vyuo vya nje vinagawa tu A na wanaosoma huko wanauwezo mdogo sana kuliko wanaosoma muhas. Sasa wewe unasema tena kwamba wanaohitimu MUHAS hawako katika standards za kimataifa, how?As much as tunapenda kujisifia kuwa baadhi ya vyuo vyetu ni moja ya vyuo bora Africa(which is a lie, sema that's not the point of mada hii), vyuo vyote bongo ukiachana kuwa accredited na NACTE, TCU na other local professional boards, hakuna chuo bongo ambacho kina international accreditation hata kwa baadhi ya course.
Ndo maana tukija kwenye highly regulated profession kama MD inakuwa ngumu mno kwa mtu aliesomea MD bongo kwenda kupractice in western countries especially North America. Kwasababu mitaala, course and even some labs haziko accredited to international standards.
Wyatt Mathewson, Sijawahi ona... Kama nchi hii tunao wajinga kama ww, ndio maana hatuendelei.... By the way mm ni medical student hapa UDSM MCHAS... Mbeya... Naelewa tunavyoteseka hapa.. Sasa huyu mjinga sijui kutoka wapi. Hadi nimelia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndo advantage ya a liberal arts education.unajua ndio maana waafrica bado tupo nyuma sana, na tunaweza baki nyuma kwa miaka mingi ijayo tusipojitathmini na kuchua hatua. Huko majuu, wenzetu walioendelea mwanafunzi hahangaiki kulundikiwa mzigo wa masomo. Anaweza yeye kujichukulia vijisoma vyake vichache tu anakwendanavyo na kupata Ba, honor, MSc na PhD zinazong'wara. lakini sisi huku tunamlundikia mwanafunzi masomo lukuki tukimtaka afaulu yote, na mwishowe tunaweka cut-off GPA ya masomo yote hayo. Hii haiko sana. Ndio maana wabobezi wa kuingia 'deep' ktk fani zetu huku ni nadra sana. Unamkuta mtu anajua mambo mengi juu juu tu! Ndio maana tunakuwa wasindikizaji wa fumbuzi zinazotokea duniani!
Sijapingana na mtoa mada. Nilikuwa na elaborate kwa huyo niliemquote, kwanini ndugu yake aliesoma katika moja ya vyuo vinavyosifika kwa MD Tz alipata shida kuruhusiwa kupractice medicine katika a North American country, in this case Canada.Sasa wewe mbona kama unapingana na mleta mada, yeye anasema hivyo vyuo vya nje vinagawa tu A na wanaosoma huko wanauwezo mdogo sana kuliko wanaosoma muhas. Sasa wewe unasema tena kwamba wanaohitimu MUHAS hawako katika standards za kimataifa, how?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kuwa vizuri practically si ndo inaonyesha ni jinsi gani yupo deep kwenye hiyo fani..sasa GPA kubwa ya nini tena??
Let's say daktari amefanya 10 successfull major sugery..wewe GPA kubwa unaitaka ili ikusaidie nini??
Vyuo vyetu ndugu yangu vipo kutatua matatizo yaliyopo ktk jamii yetu! Hizo high tech state-of-art lab facilities bado hatujafikia, lakini haitukatazi kufanya tunayoweza kufanya ili kutatua changamoto zetu. Ki-uhalisia, hata daktari aliyesoma USA hawezi kuja Tanzania na kuanza ku'practise kiholela holela tu, kuna taratibu na vigezo atakavyopaswa kuvitimiza. Na kwa kweli hawa jamaa kutoka mataifa hayo yaliendelea kama USA wakija kutaka kufanya kazi huku huwa na wakati mgumu sana.As much as tunapenda kujisifia kuwa baadhi ya vyuo vyetu ni moja ya vyuo bora Africa(which is a lie, sema that's not the point of mada hii), vyuo vyote bongo ukiachana kuwa accredited na NACTE, TCU na other local professional boards, hakuna chuo bongo ambacho kina international accreditation hata kwa baadhi ya course.
Ndo maana tukija kwenye highly regulated profession kama MD inakuwa ngumu mno kwa mtu aliesomea MD bongo kwenda kupractice in western countries especially North America. Kwasababu mitaala, course and even some labs haziko accredited to international standards.
nachelea kuamini kuwa hujanielewa! Ninaposema umahili/ri namaanisha huyo mhitimu yupo vizuri katika kila eneo linalohusu kazi aliyoomba, theoretically and practically!FOCAL,
Mimi naunga mkono na nina washauri nyie mliopo huko vyuoni mshikilie hapo hapo, tena ikiwezekana ipandishwe kidogo.
Na mimi nikifungua kampuni yangu pamoja na mengine nitaangalia GPA kwanza then itafwata practical, kama huna GPA nzuri hata ukiwa vizuri kwenye practcal kwangu huna nafasi! Nataka mtu aliye vizuri kote sio useme unaweza practical tu.
nachelea kuamini kuwa hujanielewa! Ninaposema umahili/ri namaanisha huyo mhitimu yupo vizuri katika kila eneo linalohusu kazi aliyoomba, theoretically and practically!
Ukifungua kampuni yako fanya utakavyo maana ni kampuni yako, hapa naongelea maslahi mapana ya taasisi za elimu za umma!
Kama kweli ni mwanazuoni, na unajiita hivyo with pride,nikupe pole kwa mtazamo wako ambao ni 'rigid'! soma tena maada vizuri kwa utulivu uelewe ndio uanze tiririka. Hata ukiongea na hao walioanzisha utaratibu wa GPA hawasemi hayo unayo taka watu waamini! Eti 'trainable'…too bad!Mimi ni mwanazuoni na ninaongea ninachokijua vizuri sana. Assume umetangaza nafasi za assistant lecturers katika chuo X, utatumia vigezo vipi kuwapata wawili tu unaowahitaji kati ya mamia ya wahitimu walioko mtaani. Mosi ni ufaulu (GPA) na hili ni kwa dunia nzima, pili ni interview ya short listed candidates. Kuna wakati wote wanafail interview na inatangazwa tena ingawa wana GPA za above 4.0. Kazi nyingi zingine hazihitaji GPA kubwa vijana watiririke huko, lakini kuwa faculty member lazima tuone ufaulu wako kwanza. Haiwezekani umekaa chuoni miaka mitatu au minne au mitano ukatoka na GPA ya 3.0 wakuchukue wamuache mwenye 4.4, hilo halipo dunia nzima mkuu. Kuna wakati CRDB bank PLC walikuwa wakitangaza nafasi za bank officers GPA ilikuwa ni 3.5 na above, jiulize kwa nini? Sababu ni kuwa wako trainable.
Mkuu nimetoa mchango wangu na kama unaona bado uko sahihi ni sawa pia.Kama kweli ni mwanazuoni, na unajiita hivyo with pride,nikupe pole kwa mtazamo wako ambao ni 'rigid'! soma tena maada vizuri kwa utulivu uelewe ndio uanze tiririka. Hata ukiongea na hao walioanzisha utaratibu wa GPA hawasemi hayo unayo taka watu waamini! Eti 'trainable'…too bad!
It may be applied to social sciences and other cadres but not in medicine! Ukiwa makini, kuwa wachangiaji makini wameshatoa feasible and practical alternatives such as 'vetting'!