Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

Oa mwanamke anayetoka familia tajiri na sio familia ya kukumbatia kumbatia umasikini...famila ambayo itakuwa ni mzigo na lawama kwako!

Hakuna sehemu niliyosema watu waoe matajiri ili wapate mchongo wa kutoboa kimaisha ..!

Relax mkuu!
Dhihirisha uanaume wako kwa kufaitia familia yako. Achana na habari ya urithi au bahati. Faitia majukumu yako ili utunze familia yako au upambame kiume wachana na hanari ya kitonga. Hivi nyie madogo wa kizazi hiki mna shida gani?
 
Bwege wewe. Dhihirisha uanaume wako kwa kufaitia familia yako. Achana na habari ya urithi au bahati. Faitia majukumu yako ili utunze familia yako au upambame kiume wachana na hanari ya kitonga. Hivj nyie madogo wa kizazi hiki mna shida gani?
Tatizo mkuu una jazba sana !
Hakuna sehemu nimeandika habari ya urithi wala bahati,

Yes fight kwa familia yako (wewe na mke wako)
.. lakini sio kufight kwa ajili ya familia ya mke wako--> hii ni mizigo isyokuhusu na mwisho wa siku utaambulia lawama na wewe kutumbukia au kubakia kwenye circle ya umasikini tu!!
 
Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra ,atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs!

Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.!

Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi , bikra!

Kuwa kwenye mahuasiano ya kimapenzi na mwanamke anyetoka familia ya masikini wa mali na masikini wa akili na fikra ni mbaya sana !

Kwanza familia itataka wakuuzie huyo mke wako kwa mahali kubwa wakiamnini ,hizo pesa za mahali zitatua shida zao?

Pili kutoka ukoo wao ukiwa kama mtu wenye uwezo basi baada a nfoa jukumu la wakwe ndugu shnagazi na wajomba matatizo yao utayabeba wewe, na ukigoma kuwasaidia tayari unahatarisha ndoa yako na mahusiano ya familia yako..

Hivyo basi hakikisha unaona mwanamke anetoka familia tajiri(familia ya watu wenye roho za kitajiri, isiyo tegemezi, isyokumbatia umasikini) usije ukabebeshwa lawama za kijinga jinga.

Atlist vigezo hivuo hapo vitakufanya uwe safe katika ndoa za sasa hivi na mahusiano
Screenshot_20211118-030604.jpg
 
Unayosema ni kweli ila utaoa ukiwa umechoka sana, unampata bikra familia yake imekumbatia umaskini, unampata wa familia isiyokumbatia umaskini bikra hana na umri umeenda maana umri umepotelea kwenye masuala ya shule na huko wazee waashatingisha sana, ni wewe tu kuamua sasa kusuka ama kunyoa, ila ma ex wanatesa sana ndoa zetu kama ukioa asiejitambua na ujinga ujinga mwingi!
 
Nia thabiti ya kuanzisha familia yenye upendo furaha na amani. Na kuendeleza ukoo

Sasa kwa kumiliki nia thabiti, upendo furaha na amani ndio umeweka mzigo wote huo wa vigezo kwa binti wa watu?

Wewe mwenyewe hapo mileage inasoma ngapi kwanza, na Je, unatoka familia bora?

Nnachomaanisha lazima wewe uwe kwanza na hivyo vigezo unavyovihitaji kutoka kwa mwenza unaemtarajia.
 
  • Ukasomeshe watoto wa shemeji zako kuanzia primary hadi varsity.
  • Ukamjengee Baba mkwe nyumba inayoeleweka maana ya sasa haifai kabisa kufikia.
  • Usipompà bwashe 50k utatangazwa kuwa bwashe hana kitu yule na ukienda ukweni hutaheshimika.
  • Hakikisha unajenga nyumba ya rooms 4+ coz mabwashe watahamia hapo ili kupunguza machungu ya bush(wanakuja kupumzika).

Mkuu, wengine tunakuelewa. Swala la bikra siwezi elezea sana. Ila kama umeamua kuoa asiye bikra, basi mambo ya kutoa mahari kubwa hayapo, utalipaje mahari kubwa kwa unsealed pussy? Yani unaambiwa 4m wakati wakulungwa walishajichapia wakachoka huko?
 
"atoke familia tajiri" wewe hapo ulipo ni tajiri??

Au ndio atoke familia tajiri ili na wewe upate mserereko.
 
Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra ,atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs!

Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.!

Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi , bikra!

Kuwa kwenye mahuasiano ya kimapenzi na mwanamke anyetoka familia ya masikini wa mali na masikini wa akili na fikra ni mbaya sana !

Kwanza familia itataka wakuuzie huyo mke wako kwa mahali kubwa wakiamnini ,hizo pesa za mahali zitatua shida zao?

Pili kutoka ukoo wao ukiwa kama mtu wenye uwezo basi baada a nfoa jukumu la wakwe ndugu shnagazi na wajomba matatizo yao utayabeba wewe, na ukigoma kuwasaidia tayari unahatarisha ndoa yako na mahusiano ya familia yako..

Hivyo basi hakikisha unaona mwanamke anetoka familia tajiri(familia ya watu wenye roho za kitajiri, isiyo tegemezi, isyokumbatia umasikini) usije ukabebeshwa lawama za kijinga jinga.

Atlist vigezo hivuo hapo vitakufanya uwe safe katika ndoa za sasa hivi na mahusiano
Akili za kidangaji hizi siku hizi zime hamia mpaka kwa wanaume.

Wasiokuwa na mawe sijui waende wapi,kweli haki sawa imeharibu baadhi ya waunaume. Ila kijana mwanaume kaumbiwa kubeba majukumu na kukabiliana na changamoto.

Mtafute mwanamke mwenye hofu ya Mungu na atakaye kupenda kwenye kila hali na kumbuka hamna kitu KICHUNGU duniani kama hela ya mwanamke, hela yamwanamke si yako, japokuwa wanalilia 50/50 ila sio kwenye hela yao
 
Nimetaja suala la
Ubikra,
Umri,
Na familia anayotoka huyo mke wako ni vitu vya msingi sana..!

Hakuna sehemu ambayo nimesema watafute "wanawake wenye pesa" ila nimweaonya kwa karne ya sasa hivi wasioe wanawake wanotoka familia zinazokumbatia na kuusujudu umasikini!


Kama untaka ndoa yako idumu na uwe na familia imara... !
Tumetofautiana vigezo na mitazamo mkuu, usitake dunia yote iamini katika jambo unaloliamini wewe. Wengi sana wamekua na bikra na tumezitoa wakiwa na umri wa zaidi ya 26 na bado hatujawaoa, na mengine mengi.
 
Huo upendo wewe ndio utamfundisha at 45yrs?
Maumivu aliyoyapata huko nyuma na mambo aliyopitia .. nikushauti tafuta mwanasaikolojia labda ataweza wasaidia
Hakuna shule iliyowahi kufanikiwa kufundisha mapenzi haipo, kila mtu aliumbwa na perfect match yake umri hauwezi kuwa limiting factor kama mmeunganishwa na upendo, kiufupi watu wanapitia mambo mengi katika maisha na hubarika for good.
 
Kwa mtazamo wangu naona, kila kitu kinaanzia kwa mwanaume, au kama ni mwanamke ndio anatafuta wa kuolewa nae basi, itaanzia kwake,

1. Tuanze swala la bikra, Naamini mwanamke kutokuwa na bikra sio sababu ya msingi mkashindwa kuishi maish ya amani, maana maisha ya amani katika ndoa hayaletwi na ngono pekee yake, kuna tabia ya mtu, dini, malezi, tv anazoangalia, na mambo mengi tuu, pia hapo ikumbukwe bikra hutoka kwa njia tofauti tofaut sio ngono pekee yake, na mtu kuwa bikra haimaanishi hajawai kuwa kwenye mahusiano na wanaume pia

Basi tuje kwenye swala la msingi kuhusu bikra, kwanin nasema inaanzia kwako wewe mwanaume, ni kuwa wakati wewe unataka mwanamke mwenye bikra wewe unayo hiyo bikra? kwanin nasema hivyo, wakati wewe ukioa bikra na wewe sio bikra, pia itakua ni matatizo vile vile ndani ya nyumba, kwani tunajua mwanamke bikra hajazoea kufanya ngono muda mrefu na mara kwa mara, vipi wewe sasa na experience yako ya miaka 10 ya kufanya ngono Gia ishatumika mpaka inahitaji busta kuzunguka, ukiwa unahitaji mara kwa mara na akasema akasema hajazoea, utaenda nje ya ndoa kutafuta bikra mwingine ama utarudi kwa hao mnaowaita malaya, (kwanini usioe haohao mnaotoshelezana sasa ili upewe unavotaka) na ukitoka nje ya ndoa hujatatua tatizo pia kumbuka.

2. Tukija kwa upande wa umasikini ni vile vile wakati unataka kuoa kwenye familia za kitajiri au mwanamke tajiri, unasemaje wew kwa upande wako, ni tajiri? familia yako ni ya kitajiri (hawakumbatii umasikini?) mimi na nyinyi wote tumeshashuhudia mwanaume akiteswa na kunyanyaswa kisa mwanamke ana kipato kuzidi huyo mwanaume, humajawai kusikia msemo unaosema mwanaume anaweza kuishi na mwanamke asie na kazi kwa miaka 5 ila mwanamke awezi kuishi na mwanaume asie na kazi kwa siku 5? kama unatak kuishi na familia ya kitajiri basi hakikisha na wew ni tajiri wa kuzidi, na ukiwazidi tunarudi pale pale, kuwa lazima majukumu yatakuepo kwa upande wa wakwe, sasa usitake nikuelezee majukumu yana ghalama kiasi gani kwa hao matajiri, pia nakubaliana na kuoa familia za kimasikini unaweza ukaonekana kama ndio mkombozi wao wa kuwatoa kwenye janga lao la umasikini, lakini sio wote, sio familia zote zipo hivyo, na hata kama kuna hela unatakiwa kuwapa hiyo familia usichukulie kama wanakumola ila chukulia kama ni moja ya familia na unawasaidia kama mmoja wa wana familia, em jichukulie wew ndio mkwe sasa na binti yako kaolewa usingependa usaidiwe kwa namna moja au nyingine? kwani wew pamoja na hela zako zilizo wazidi unahisi hamna siku utataka msaada kutoka kwao? maisha ni kusaidiana jamani, pia wanaume msichulie kila siku kuwa mnatumika kwenye hela zenu, maisha ya sasa yamebadilika, mahitaji ni mengi sana, kwa kila mtu, hivyo ni vyema kusaidiana kwa hapa na pale inapobidi, ila msaada usizidi uwezo wako, hivyo basi weka bayana kwa mwenza wako kiasi unachopata ili kusiwe na chuki pale unashindwa kumpa mtu hela

MWISHO.
Ndoa bora na imara huja kwa kupitia wanandoa wanaohusika na sio Baba mkwe, mama mkwe, shemeji wala wifi, Biblia inasema atatoka mtu mmoja kwenda kuungana na mwenzake nao watakua mwili mmoja, aisemi atatoka na shemeji wala wifi wala mkwe, na ndoa hudumishwa Upendo, uvumilivu, kutokua na husuda, pasipo masengenyo, furaha ya wawili. Ndoa haidumishwi na Mali (mnahitaji Mali ila sio mali pekee itafanya mdumu), uchoyo haufai katika ndoa, Ndoa haidumishwi na bikra, kama mkeo ni malaya ni malaya tuu haijarishi ulimvunja bikra ama la. (maana hata malaya alizaliwa na bikra), kama mkeo ni malaya hata ukimvunja hiyo bikra ataendelea kuwa malaya, kwani nyinyi hamjasikia malaya wenye bikra?

Hapa muhimu Tunatakiwa tumuombe sana Mungu ili tunapochagua mwenza wetu awe ni yule ambae tumepewa na Bwana na sio hawa tunawaangalia kwa macho tuu na kuwatani kwa shepu walizonazo, sura au wanavojipamba, vifua, pesa, magari na mengine mengi.
Bikra au pesa havitakupa ndoa bora, bali inaanzia kwako kama utaendana na hiyo bikra au huo utajiri
 
Unayosema ni kweli ila utaoa ukiwa umechoka sana, unampata bikra familia yake imekumbatia umaskini, unampata wa familia isiyokumbatia umaskini bikra hana na umri umeenda maana umri umepotelea kwenye masuala ya shule na huko wazee waashatingisha sana, ni wewe tu kuamua sasa kusuka ama kunyoa, ila ma ex wanatesa sana ndoa zetu kama ukioa asiejitambua na ujinga ujinga mwingi!
Sawa sawa... lakini uioe kwa kukimbzana na umri kama mipango yako na malengo hayakufanikiwa sio lazima kuoa !
Kufanya maamuzi ambayo yapo nyuma ya malengo mipango na matarajio yako ni kuoshi maisha yaliokosa furaha.
 
Back
Top Bottom