Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

Yeh, nzala ime kuja ghafla. Ugali msoga sana
 
Wanaotudharau wasukuma ndio mijinga ya mwisho๐Ÿคจ๐Ÿคจ๐Ÿคจ
 
Mti wenye matunda, pia nimeona huwa ni chuki tu na kuna muda naona ni kama utani, pia labda kwasababu sisi wasukuma hatuna makuu, vitendo vinaongea kuliko maneno.
 
Shambani kwetu alipita mmasai anauza viatu sasa mfanyakazi wetu wa kisukuma akamuita ili anunue viatu mmasai alivomsikia jamaa anazungumza lafudhi ya kisukuma tu mmasai akasema mmmmhhh kumbe msukuma akasepa zake bila ya hata kujadiliana viatu anauzaje
Nilicheka sanaaa ety mmasai anamdharau msukuma๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Naunga mkonoo Ngooshaa.
 
Acha uongo ni kabila la wachaga tu ndio unaweza kuwakuta sehemu yeyote hapa Tanzania
Wasukuma populationwise ni wengi ila wengi wao hawajitambui.
Sasa majitu yanakubali kusombwa kama mang'ombe ili kwenda kumsikiliza mwanasiasa huyo si mpumbavu wa mwisho kabisa
 

Attachments

  • downloadfile-1.jpg
    43.7 KB · Views: 25
  • Screenshot_20250620_001546_Instagram.jpg
    106 KB · Views: 22
Mtu hujilinganisha na kinachomzidi. Hao wanaokejeli wasukuma kuna jambo wasukuma wapo juu yao.
 
Pengine watafanya kitu ndani ya siku chache, ukikosa mrejesho fungua na uzi kabisa uwaite mods wote Pengine watashughulikia kwa uzito unaostahili.
Kwanini huwa anabadili badili kila mara? maana sio mara ya kwanza mara ikitokea diwani wake ameshinda huko kwenye uchaguzi anabadili ID diwani wangu akitokea mjanja akachukua ile ya mwanzo kelele bara zima la afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ