Wewe ni mvuta Bangi tunaendelea kukupuuza maana hata mmeo cyprian Musiba anayekupakata hapo gheto atakuwa anajuuta kukulipa uitetee CCM mitandaoni kwani badala ya kuisaidia CCM umezidi kuitia Aibu kwa kuonekana kuwa na watetezi punguani mitandaoni.Minyoo ya nguruwe imepanda kichwani. Ngoja tusubiri mabeberu waje kuwasaidia ili mfanye faragha.
Jifunze zaidi kuhusu ubepari na ukoloni mambo leo/Neo-colonialism ndo utaelewa kwann tundu lisu anaambiwa ana element za kibaraka wa mabepariNajaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni.
Nautafuta Ubeberu wake siuoni.
Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa.
Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu ndio hatimaye zilimfikisha huko)
Eti oooh, anataka Migodi yetu na Madini yetu yachukuliwe na Mabeberu (Hivi Mnajua halakati za Lissu katika kupambania Madini yetu na Migodi yetu?)
Nasema tena Lissu ndio Mzalendo wa kweli namba moja Tanzania hii, sisi wengine ni Wanafiki tu tena Wanafiki Uchwara.
Tusikalilishwe kila kitu. Mengine Tuhoji.
Neo-colonialism Naijua hata kuliko wewe.Jifunze zaidi kuhusu ubepari na ukoloni mambo leo/Neo-colonialism ndo utaelewa kwann tundu lisu anaambiwa ana element za kibaraka wa mabepari
Ni vzur kam unajua ila usijiamixhe kupita kiasi pia kuwa unajua kuliko mm, any way iko ivi mfano tu mdogo nakupa "Magufuli alivoingia madarakani alivunja mikataba kibao ya makampuni ya nje yaliyoonekana kuinyonya nchi yetu, mfano mzur ilikuwa makampuni ya madini, alivunja mikataba na akasema kuwa makampuni haya kama hayatakubali kusain mikataba mipya yenye usawa bac yasepe, lakin tundu lisu iliilaumu sana serukali ya magufuli akisema kuwa magufuli amevunja mikataba bila kifuata sheria kwa hiyo wenye makampuni wataenda kwenya mahakama za kimataifa tutashitakiwa na mali zote za tanzania zilizoko nje zitazuiliwa tanzania itawekewa vikwazo na vya kibiashara itafilisika na itakuwa maskini mno, lakini haya leo hii mikataba ikavunjwa na mingine imesainiwa upya walau kuleta usawa tusinyonywe sana lakin mbona hatujashitakiwa kama tundu lisu alivyokuwa anatuogopesha, mbona leo hii mchanga wa dhahabu haupelekwi nje ya nchi nambie nani ametushtaki na tukafilisiwa, sijaona vzur uzalendo wa tundu lisu kwa nchi hii, pia na mnukuu tundu lisu aliwahi kusema " Raisi magufuli ameongoza nchi hovyo na ametutenganisha na marafiki zetu wa ulaya " mwisho wa kunukuu....kwa nnavyojua mm hakuna nchi Yeyote ya kizungu itakayokuja hapa eti ijenge urafki na sisi itusaidie kiuchumi tuendelee bila wao kuwa na masilahi, zaidi wanajenga urafki wa kiendelea kutuibia rasilimali zetu tu na kutukopesha madeni yasiyohimilika lakin hakuna cha maan wanachotusaidia n wizi mtupuNeo-colonialism Naijua hata kuliko wewe.
Weka wazi Ubeberu au Ukibaraka wa Lissu na Mimi nitakuonyesha Uzalendo wake Uliotukuka.
Ni wakati wa kutumia Akili zetu sasa.
Kuna tofauti kubwa sana hapo mkuu,CCM mkienda ulaya kuomba omba misaada kwa wazungu huwa mnawaita wafadhili wahisani, lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi ni mbuzi jike
Ni vzur kam unajua ila usijiamixhe kupita kiasi pia kuwa unajua kuliko mm, any way iko ivi mfano tu mdogo nakupa "Magufuli alivoingia madarakani alivunja mikataba kibao ya makampuni ya nje yaliyoonekana kuinyonya nchi yetu, mfano mzur ilikuwa makampuni ya madini, alivunja mikataba na akasema kuwa makampuni haya kama hayatakubali kusain mikataba mipya yenye usawa bac yasepe, lakin tundu lisu iliilaumu sana serukali ya magufuli akisema kuwa magufuli amevunja mikataba bila kifuata sheria kwa hiyo wenye makampuni wataenda kwenya mahakama za kimataifa tutashitakiwa na mali zote za tanzania zilizoko nje zitazuiliwa tanzania itawekewa vikwazo na vya kibiashara itafilisika na itakuwa maskini mno, lakini haya leo hii mikataba ikavunjwa na mingine imesainiwa upya walau kuleta usawa tusinyonywe sana lakin mbona hatujashitakiwa kama tundu lisu alivyokuwa anatuogopesha, mbona leo hii mchanga wa dhahabu haupelekwi nje ya nchi nambie nani ametushtaki na tukafilisiwa, sijaona vzur uzalendo wa tundu lisu kwa nchi hii, pia na mnukuu tundu lisu aliwahi kusema " Raisi magufuli ameongoza nchi hovyo na ametutenganisha na marafiki zetu wa ulaya " mwisho wa kunukuu....kwa nnavyojua mm hakuna nchi Yeyote ya kizungu itakayokuja hapa eti ijenge urafki na sisi itusaidie kiuchumi tuendelee bila wao kuwa na masilahi, zaidi wanajenga urafki wa kiendelea kutuibia rasilimali zetu tu na kutukopesha madeni yasiyohimilika lakin hakuna cha maan wanachotusaidia n wizi mtupu
Kiongozi wa wanafki ni magu au polepole ?Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni.
Nautafuta Ubeberu wake siuoni.
Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa.
Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu ndio hatimaye zilimfikisha huko)
Eti oooh, anataka Migodi yetu na Madini yetu yachukuliwe na Mabeberu (Hivi Mnajua halakati za Lissu katika kupambania Madini yetu na Migodi yetu?)
Nasema tena Lissu ndio Mzalendo wa kweli namba moja Tanzania hii, sisi wengine ni Wanafiki tu tena Wanafiki Uchwara.
Tusikalilishwe kila kitu. Mengine Tuhoji.
Uzalendo, kuwa tumepata nini ?!. 16% za daraja la pili ?!Mzee rabda unamzungumzia Lissu wa enzi ya Dr Slaa huyu Lissu wa sasa mzee wa Miga ni tofauti sana na Lissu wa Slaa leo ukizungumzia mzalendo wa Nchii hii kati ya Lissu na JPM hata mtoto mdogo anajua nani ni mzalendo mzalendo si maneno ni pamoja na vitendo leo Mwenye nyumba wako aje kutembea na mkeo na kuchukua chakula cha watoto wako ukaogopa kusema kisa utapewa notice huyo ndo Lissu aliyesema tutapelekwa mahakamani kwa kuwakataza wazungu wasiibe na kuchukua madini yetu but JPM alisimama kidete na kutetea hakujali kama kuna Drone zinaweza kutumwa au kupelekwa mahakamani leo hii tuna kampuni ya Twiga
Leo unafurahia Uhuru wako wa kutembea na unajitafutia mkate wa kila siku lakini chama chako kilisema tuwekwe ndani mpk wakatoka Bungeni , mwenyekiti wenu anahutubia nyumbani kwake peke yake lakini kavaa groves utadhani Michael Jackson. Leo hii mnasimama majukwaani na kutukana matusi (Kwa maana hamna sera yeyote ya kuwambia watanzania )je tungewekwa ndani leo mngesimama jukwaaa gani wkt tupo ndani??
Umepoteza sana uelekeo Leo . Ndiyo maana wengine wenye mawazo kama team yako mnaishia kutukanana [emoji40][emoji56]Mmezoea kufanya ushoga? Mnadhani hamtakamatwa?
Na Uraisi asinge gombea!Kweli mkuu,kama sio risasi walizompa Lisu asingefika huko ubelgiji..
Childish mind.Soma kwanza uelewe sijui chadema mnamatatizo gani ?Mm nazungumzia uhuru wa kutoka asubuhi kujitafutia mwenyekiti wenu alitaka mfungiwe kama kuku bandani, hakujali mtakula wapi au kodi za nyumba mtalipa vipi ,lakini leo Chama ninachoongoza kwa kutembeza bakuri ni hao hao waliotaka mfungiwe ndani wkt kila kitu wanawambia muwachangie kifupi Chadema ni matonya wa siasa
kama uhuru ulioletwa ndio huu wa kuburuzwa na jiwe namna hii basi hakukuwa na maana ya kutafuta uhuru tungemwacha mkoloni pengine tungekuwa na maendeleo ya Vitu kuliko yatakayofanywa na huyu kichaa hata kama akitawala mileleKuna tofauti kubwa sana hapo mkuu,
Kumbuka CCM ndio chama kilicholeta Uhuru nchi hii , na ni Muunganiko wa ASP na TANU vyama hivi viliingia madarakani bila msaada wa hao wazungu.
Ila wapinzani kwa sasa wanashirikia na hao wazungu kuingia madarakani,
Ikiwa na maana kwamba Ukoloni unarejea kwa mgongo wa Upinzani kupitia Koti la Demokrasia.
Angalia tu usijekuwa AGENT wa Ukoloni bila kujijua.
Mapendekezo yako ni mufilisi Kama unaona raha sana kuwa chini ya wazungu una Uhuru wa kuukana uraia wetu na kuhamia huko kwao.Ka
kama uhuru ulioletwa ndio huu wa kuburuzwa na jiwe namna hii basi hakukuwa na maana ya kutafuta uhuru tungemwacha mkoloni pengine tungekuwa na maendeleo ya Vitu kuliko yatakayofanywa na huyu kichaa hata kama akitawala milele
Out of point.Usikufuru mkuu!
Unamtukana mamba hujavuka mto!
Usije ukashanga mwanao amekuwa shoga na cha kumfanya huna!
Mkamilifu na Mjuzi ni Mwenyezi Mungu tu!
Na ndio sababu Ametuagiza [emoji116]View attachment 1553556
Ushoga ni kosa la jinai hapa Tanzania Chadema na mgombea wenu mnasema ni haki ya faragha. Hafai kuwa hata diwani.Ndio mlipofikia hapo, yaani huna cha kuongea sasa unaona ulete mambo ambayo yako nje kabisa ya equation.
Sasa hayo mambo ya ushoga yatawasaidiaje kwenye kampeni. Very hopeless.
Amesisitiza mgombea wa Chadema kuwa hiyo ni haki ya ya faragha. Anasahau kuwa ushoga ni kosa la jinai?Umepoteza sana uelekeo Leo . Ndiyo maana wengine wenye mawazo kama team yako mnaishia kutukanana [emoji40][emoji56]