Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Usiyeweza kufikiri ni wewe na hao viazi wenzio, juzi katangaza kwamba atafuta kodi zote na bidhaa kutoka nje zitaingia nchini bila kodi, hivyo ataifanya nchi dampo la bidhaa za mabeberu, kweli tunachagua afisa masoko wa mabeberu? katumwa kuja kutafuta soko la bidhaa za viwanda vya mabwana zake? sio ukibaraka huo? tunajenga uchumi shindani ye anataka turudi kwenye ukoloni tulikotoka!!!?? hayo mambo mengi sana anayoahidi atayafanya atapata wapi pesa bila kukusanya kodi? ATATUUZA.Wanachokifanya ni propaganda zakizamani nakitoto zakupumbaza wasioweza kufikiri sawasawa.
Sawa mkuu!Out of point.
Ulitumwa na nani?Sawa mkuu!
nakuomba msamaha!
Mimi ni mjumbe tu¡!
Maswali ya kipuuzi kama haya kawaulize wavuta bangi na wanywa konyagi wa mtaa wa ufipa.Kikwete Rais mstaafu wa ccm, uliwahi hata siku moja ulimsikia akikemea ushoga? Jiulize Kwanini?
HEKIMA!Ulitumwa na nani?
Hiyo phd feki ilimpoteza Saa8,taratibu ndugu!Hao ni Mazezeta yanayomuabudu yule fisadi wa elimu asiyejua kuongea kizungu japo ana Phd fake
WENGINE WANAJIFANYISHA TUNajaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni.
Nautafuta Ubeberu wake siuoni.
Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa.
Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu ndio hatimaye zilimfikisha huko)
Eti oooh, anataka Migodi yetu na Madini yetu yachukuliwe na Mabeberu (Hivi Mnajua halakati za Lissu katika kupambania Madini yetu na Migodi yetu?)
Nasema tena Lissu ndio Mzalendo wa kweli namba moja Tanzania hii, sisi wengine ni Wanafiki tu tena Wanafiki Uchwara.
Tusikalilishwe kila kitu. Mengine Tuhoji.
Mti wenye matunda mazuri ndio unapigwa,mawe hakuna mzalendo na mwenye uchungu na raslimali za nchi kama Lisu narudia tena hakunaNajaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni.
Nautafuta Ubeberu wake siuoni.
Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa.
Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu ndio hatimaye zilimfikisha huko)
Eti oooh, anataka Migodi yetu na Madini yetu yachukuliwe na Mabeberu (Hivi Mnajua halakati za Lissu katika kupambania Madini yetu na Migodi yetu?)
Nasema tena Lissu ndio Mzalendo wa kweli namba moja Tanzania hii, sisi wengine ni Wanafiki tu tena Wanafiki Uchwara.
Tusikalilishwe kila kitu. Mengine Tuhoji.
Hao wanaomuita hivyo ni vijana hayawani barobaro wasio na mbele wala nyuma...Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni.
Nautafuta Ubeberu wake siuoni.
Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa.
Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu ndio hatimaye zilimfikisha huko)
Eti oooh, anataka Migodi yetu na Madini yetu yachukuliwe na Mabeberu (Hivi Mnajua halakati za Lissu katika kupambania Madini yetu na Migodi yetu?)
Nasema tena Lissu ndio Mzalendo wa kweli namba moja Tanzania hii, sisi wengine ni Wanafiki tu tena Wanafiki Uchwara.
Tusikalilishwe kila kitu. Mengine Tuhoji.
Kwani yeye ataishi milele?Hiyo phd feki ilimpoteza Saa8,taratibu ndugu!
Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni.
Nautafuta Ubeberu wake siuoni.
Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa.
Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu ndio hatimaye zilimfikisha huko)
Eti oooh, anataka Migodi yetu na Madini yetu yachukuliwe na Mabeberu (Hivi Mnajua halakati za Lissu katika kupambania Madini yetu na Migodi yetu?)
Nasema tena Lissu ndio Mzalendo wa kweli namba moja Tanzania hii, sisi wengine ni Wanafiki tu tena Wanafiki Uchwara.
Tusikalilishwe kila kitu. Mengine Tuhoji.
Kuhusu mikataba ya madini Lisu alisimamisha mishipa ya shingo mpaka mate yaliruka akisema haiwezekani, mara nchi tutaiweka pabaya.Unakalilishwa vibaya sana.
Your silliness won't distract our attention from fighting this despotic and inept regime.Ushoga ni kosa la jinai hapa Tanzania Chadema na mgombea wenu mnasema ni haki ya faragha. Hafai kuwa hata diwani.
Serikali yenyewe kutembeza bakuli ni sera yake kuu na wala hilo hulioni unaona tu chama ambacho viongozi wake wanasulubiwa kila siku na utawala wa kiimla. Bogus.Soma kwanza uelewe sijui chadema mnamatatizo gani ?Mm nazungumzia uhuru wa kutoka asubuhi kujitafutia mwenyekiti wenu alitaka mfungiwe kama kuku bandani, hakujali mtakula wapi au kodi za nyumba mtalipa vipi ,lakini leo Chama ninachoongoza kwa kutembeza bakuri ni hao hao waliotaka mfungiwe ndani wkt kila kitu wanawambia muwachangie kifupi Chadema ni matonya wa siasa