Ni kweli ccm ndio mna uhuru wa kufanya kila kitu ndani ya nchi hii baada ya kutupoka uhuru wetu wananchi ila mwaka huu tumesema SASA BASIMapendekezo yako ni mufilisi Kama unaona raha sana kuwa chini ya wazungu una Uhuru wa kuukana uraia wetu na kuhamia huko kwao.
Ila kwa sasa tunayo haki ya kujiamulia mambo yetu, hatuhitaji kuelekezwa namna ya kufanya,
Wakati wao wakifanya yao hatujawahi kuwaingilia wala hawakuja kutuomba ushauri.
They should mind their own business.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tunatoa mafunzo ya kuzomea kwa bei nafuu. Walimu wetu ni wabobezi toka Kagera na utazomea mpaka TBC wakate matangazo. Wahi sasa nafasi ni chache.
CCM wakienda ulaya kutembeza bakuri kuomba omba hovyo misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani, lakini hao hao wazungu wakikataa Upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike?Akiwa Tunduma amemtishia Magufuli kushtakiwa katika mahakama ya kimataifa ya jinai, ICC. Nachojaribu kujiuliza ni kwa nini Kesi za viongozi wa Afrika zipelekwe ICC ile hali juzi hapa tumeshuhudia Marekani ikiwekea vikwazo baadhi ya watu kwa kilichodaiwa walikuwa wanashinikiza kuchunguzwa kwa tuhuma za uhalifu wa kivita uliofanywa na wanajeshi wa jeshi la Marekani.
Hii inaleta picha mbaya kwa mtu anaetaka Urais akihutubia juu ya haki na usawa lakini bado anaamini kupata suluhu kwa kutumia mifumo kandamizi. Inashangaza kuona kiongozi anapiga kelele kuhamasisha kuirudisha nchi chini ili hali ndio inaanza kusimama. Hizo nchi mnazoona mfano wa uchumi ukiangalia kwa makini utagundua mambo yote yanayofanywa na Magufuli ndio sehemu ya maisha yao, na kinachofanya wamchukie Magufuli ni kwa kuwa wanaona njia anazotumia ndio zimafikisha wao walipo hivyo wana hofu ipo siku Tanzania itaacha kunyonyesha.
Nakumbuka vizuri katika Amplifaya ya Millard Ayo aliwahi kumuuliza Flaviana Matata kwa nini asichukue uraia wa Marekani ili iwe rahisi kwake kupewa tenda za mitindo kwani ilionekana raia ndio wanapewa kipaumbele, alichojibu Flaviana alisema kwa Marekani ukishakuwa raia karibia 50% ya kipato inaenda kwenye kodi za serikali. Ulaya huwezi sikia wakilalamikia kodi kwa sababu kizazi kilichopo kimezikuta hizo kodi hivyo wanaona ni sehemu ya maisha yao ya kawaida, huku kwetu tunabwabwaja kwa kuwa tulizoea madili na kukwepa kulipa kodi.
CCM huenda ulaya kuomba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa Upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jikehakuna ubishi tena beberu wa Magufuli ni Lissu.
Lissu ana skills za defense lawyer; haitaji kuonyesha kuwa yeye ni raia mzuri au ana niqa nzuri na nchi, anachojaribu kufanya ni kuweka reasonable doudt kwenye record ya Magufuli tu. Anajitahidi kuweka matundu kwenye record ya Magufuli kwa njia zozote nzuri au mbaya mradi zote ni halali; sasa sijui kama kuna mafanikio au vipi. Filimbi ya mwisho ni October 28Akiwa Tunduma amemtishia Magufuli kushtakiwa katika mahakama ya kimataifa ya jinai, ICC. Nachojaribu kujiuliza ni kwa nini Kesi za viongozi wa Afrika zipelekwe ICC ile hali juzi hapa tumeshuhudia Marekani ikiwekea vikwazo baadhi ya watu kwa kilichodaiwa walikuwa wanashinikiza kuchunguzwa kwa tuhuma za uhalifu wa kivita uliofanywa na wanajeshi wa jeshi la Marekani.
Hii inaleta picha mbaya kwa mtu anaetaka Urais akihutubia juu ya haki na usawa lakini bado anaamini kupata suluhu kwa kutumia mifumo kandamizi. Inashangaza kuona kiongozi anapiga kelele kuhamasisha kuirudisha nchi chini ili hali ndio inaanza kusimama. Hizo nchi mnazoona mfano wa uchumi ukiangalia kwa makini utagundua mambo yote yanayofanywa na Magufuli ndio sehemu ya maisha yao, na kinachofanya wamchukie Magufuli ni kwa kuwa wanaona njia anazotumia ndio zimafikisha wao walipo hivyo wana hofu ipo siku Tanzania itaacha kunyonyesha.
Nakumbuka vizuri katika Amplifaya ya Millard Ayo aliwahi kumuuliza Flaviana Matata kwa nini asichukue uraia wa Marekani ili iwe rahisi kwake kupewa tenda za mitindo kwani ilionekana raia ndio wanapewa kipaumbele, alichojibu Flaviana alisema kwa Marekani ukishakuwa raia karibia 50% ya kipato inaenda kwenye kodi za serikali. Ulaya huwezi sikia wakilalamikia kodi kwa sababu kizazi kilichopo kimezikuta hizo kodi hivyo wanaona ni sehemu ya maisha yao ya kawaida, huku kwetu tunabwabwaja kwa kuwa tulizoea madili na kukwepa kulipa kodi.
Wakati mwingine ni vizuri kujua nafasi yako, Yuko wapi Kashogi? Vipi kuhusu Julian Assenga wa WeakLeaks? Wewe unapiga kelele na hakuna unachofaidika nacho zaidi ya kutafuta umaarufu wa kijinga.Bora Lisu kuliko huyu anayepoteza watu.
Yaani mtu yeyote anaye side na magufuli una conclude kuwa huyu tabia yake ni ile ile roho mbaya, wivu wa maedndeleoo. Choyo, roho ya korosho. Yaani watu hawa wanaamini wao ni maskini kwa sababu ya matajri.Inabidi kuwa na roho mbaya kama ya jiwe, bashiri au kondakta.
Tambua kuwa hata mataga unaowaona ni njaa za matumbo yao tu. Hata wao wanajua huyu jamaa ni jembe!
Kwanza sio vizuri kumlinganisha Lissu na vitu vya kijinga.Bora Lisu kuliko huyu anayepoteza watu.
Kwanza hachafuliki. Yeye mwenyeeChuki tu za kumchafua kwa wananchi ila lisu ni super
Kazi tukufu ya Lissu imeandikwa hadi kwenye kitabu cha mbinguni cha watalatifu...TL ameanza kutetea wananchi tangu awamu ya Mkapa walipotaka kufukuza wavuvi wadogo-wadogo na kukodisha eneo la delta ya mto Rufiji kwa muwekezaji. Na hajapumzika harakati hizo hata alipoingia ktk siasa na kugombea ubunge.
..Na ccm wanavyozidisha hila zao dhidi ya TL ndivyo wananchi wanavyozidi kumuunga mkono. Haiwezekani wajaribu kumchafua rekodi ya mtu, na kumtoa roho, kwasababu tu amewazidi kimaadili, kimsimamo, na kwa hoja.
Kazi ya Lissu ni tukufuTundu Lissu kwa miaka Mingi tu alipigania Mikataba ya Nchi hususani ya Madini iwe inapelekwa Bungeni kuthibitishwa ili kuondoa uwezekano wa Mikataba kama hiyo.
Tundu Lissu alichokua anasisitiza ni kufuata utaratibu wa Kisheria katika kudeal na hiyo Mikataba ambayo CCM na Serikali yake ilikua ikiishadadia. Unajua ni Mikataba mingapi imetuingiza kwenye kulipa Fidia kwa sababu ya kuivunja bila kufuata utaratibu wa sheria?
Tunaposhughulika na hawa jamaa tunaowaita mabeberu inatakiwa tuwe wajanja hasa kwa mara ya kwanza tunapoingia nao kwenye mikataba.
Je unajua kuna baadhi ya Mikataba ya Madini Mawaziri wetu walienda kuifungia nje ya Nchi?
Ni muda sasa wa kufumua kabisa mfumo wa kiutawala na kulifanya Bunge liwe na Uwezo Mkubwa kuisimamia Serikali na hili litawezekana tu CCM itakapoondoka madalakani.
Lissu kapigania sana Nchi hii inaumiza sana kuona leo hii hapewi credit/recognition zinazomstahili na badala yake zinakwenda kwa Mtu mwingine ambaye sio Mpigania Nchi halisi.
Tusaidiane kwenye hili tuitengeneze Nchi yetu. Tundu Lissu anaweza hii kazi.
Magufuli kafanya kwa sehemu yake tutampongeza kwa sehemu yake lakini kwa sasa atupishe kwanza.