Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Amina Dada.
Ila huu uzi sijauelewa kabisa
Ila huu uzi sijauelewa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usijulikane kwa kipi wewe unae fanyia uzinzi kanisani?Ni kweli hanijui.
😍😍😍
Yaani Niachwe na anayeijua biblia niende kwa anayenishauri niache kwenda kanisani?unatongozwa kanisani hovyo.punguza kwenda kanisani.
kwamwaka nenda hata mara mbili au tatú basi.kilakitu kikizidi kina mazara.
mrembo na nakushauri ukiachwa rasmi njoo pm tuyajenge mana wee una madhaifu kidogo sana.kulinganisha nawenzako humu.
Kama yanayosemwa yapo uaminifu wako utapimwaje na mchumba wako?Anayoyasema yapo ila mimi ni muaminifu
Ni kweli ila sio kila mtu ni mzinzi aliwe hovyo hovyo mkuu.99.99% ✅️✅️✅️📌📌📌📌📌👏🏼👏🏼👏🏼
Japo wanakulana wao kwa wao lakini binti wa kilokole akitakwa na Baba Mchungaji anachukulia kama ni bahati imemwangukia na ataliwa tu! Hapo bado mwenyekiti wa kwaya mara sijui nani 🚮
Japo mwanamke anaweza kuliwa po pote lakini huko ulokoleni wanakuwa brainwashed/manipulated kiasi kwamba wako tayari hata kuvunja ndoa zao ili kumfurahisha Baba Mchungaji. Wakija kushtuka ni too late kila kitu kilishaharibika na Ba Mchungaji keshahamia kwa victims wengine.
Kuna kitu hakiko sawa japo hataki kukisema maana hata maelezo yake hayajanyooka. Tena kimetokea huko huko kanisani kwao na mwamba kajua...na hawa ma ex wanaomjaza upepo hawa ndo kabisaa wanazidi kuharibu!Na huenda ukaribu na ma ex jamaa anahisi bidada anaendelea na mahusiano nao. Hivyo anafikia hitimisho kuwa Huyu ni wale wale. Piga hesabu Kama wapo 10 au 20 na wote anawasiliana nao utajiita una mchumba hapo kweli?
Max walikua wanaijua bibilia?Yaani Niachwe na anayeijua biblia niende kwa anayenishauri niache kwenda kanisani?
Hapana.
Umemtukana, tena tusi lile lile alilotukanwa na boyfriend wake. Ni kama umempigilia msumari wa moto kwenye kidonda chake. Hakika na wewe hatakusahau kwa kuendelea kumharibia siku yake.Hili nalo umeliingiza Kwenye faili la manung'uniko. Ngoja nirekebishe usije ukajinyonga.
Huyu Binti asaidiwe kwakweli, maisha ya changamoto hayamudu kabisaaaaaa.Umemtukana, tena tusi lile lile alilotukanwa na boyfriend wake. Ni kama umempigilia msumari wa moto kwenye kidonda chake. Hakika na wewe hatakusahau kwa kuendelea kumharibia siku yake.
Ila umeonesha dalili za usalitiSijamsaliti
Anajikosha tu, ndio Hawa wanaookoka ukubwaniMax walikua wanaijua bibilia?
baada ya kugongwa sana.Anajikosha tu, ndio Hawa wanaookoka ukubwani
Sema jamaa unatumia kauli ngumu Sana Kwa mleta mada.baada ya kugongwa sana.