Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Naona nchi imechamama kila MTU/watu Kwa nafasi yake anaamua kutoa WARAKA kwenye Nyanja ambayo anaona inamfaa kutolea WARAKA,,tumeupokea WARAKA wako na tutausoma madhabauni pia,,Shaka Ondoa!! Mdude Nyang'ali wa Maono ya mwanamke wa kwenye mithali!!
 
unatongozwa kanisani hovyo.punguza kwenda kanisani.

kwamwaka nenda hata mara mbili au tatú basi.kilakitu kikizidi kina mazara.
mrembo na nakushauri ukiachwa rasmi njoo pm tuyajenge mana wee una madhaifu kidogo sana.kulinganisha nawenzako humu.
Yaani Niachwe na anayeijua biblia niende kwa anayenishauri niache kwenda kanisani?
Hapana.
 
99.99% ✅️✅️✅️📌📌📌📌📌👏🏼👏🏼👏🏼

Japo wanakulana wao kwa wao lakini binti wa kilokole akitakwa na Baba Mchungaji anachukulia kama ni bahati imemwangukia na ataliwa tu! Hapo bado mwenyekiti wa kwaya mara sijui nani 🚮

Japo mwanamke anaweza kuliwa po pote lakini huko ulokoleni wanakuwa brainwashed/manipulated kiasi kwamba wako tayari hata kuvunja ndoa zao ili kumfurahisha Baba Mchungaji. Wakija kushtuka ni too late kila kitu kilishaharibika na Ba Mchungaji keshahamia kwa victims wengine.
Ni kweli ila sio kila mtu ni mzinzi aliwe hovyo hovyo mkuu.
 
Na huenda ukaribu na ma ex jamaa anahisi bidada anaendelea na mahusiano nao. Hivyo anafikia hitimisho kuwa Huyu ni wale wale. Piga hesabu Kama wapo 10 au 20 na wote anawasiliana nao utajiita una mchumba hapo kweli?
Kuna kitu hakiko sawa japo hataki kukisema maana hata maelezo yake hayajanyooka. Tena kimetokea huko huko kanisani kwao na mwamba kajua...na hawa ma ex wanaomjaza upepo hawa ndo kabisaa wanazidi kuharibu!
 
Kuna vita kali sana kati ya expectations na reality

Ila mda mwingine we unajijuaje kwamba una sifa za kwenye mithali 31? Sijajua changamoto yako kiundani na ningejua pia ningetamani kujua mwenza wako nae anasemaje 🤔🤔


Lkn kama member ultra pro max 😁wa kataaa ndoa hua naogopa sana mwanamke anaejaribu kutumia Imani/kujibanza katika mwamvuli wa maandiko ktk kujaribu kuamini ndo solution.
 
Umemtukana, tena tusi lile lile alilotukanwa na boyfriend wake. Ni kama umempigilia msumari wa moto kwenye kidonda chake. Hakika na wewe hatakusahau kwa kuendelea kumharibia siku yake.
Huyu Binti asaidiwe kwakweli, maisha ya changamoto hayamudu kabisaaaaaa.
 
Back
Top Bottom