Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

Kama sisi wengine lugha3,Ya kijijini,kiswahili na hiyo ya malkia(English)!Mtihani!
 
aongee na nani kiingereza sasa?
Na wageni maaana Arusha ni mji wa Wageni. Nasikia aliwahi kuwa introduce watu kwamba
  • This is President Hundredwatches (Raisi Samia)
  • This is Littlephone Manyblessings (Kassim Majaliwa)
  • This is Fourweeks Gembes (Jumanne Magembe)
  • This is January Manyropes

Kazi ilikuja kum-intrduce Mwigulu Nchemba! Akasema I lost his name, sorry!
 
Siku akiongea muwe na dekio karibu..
 
Kama ni wa kolomije ata vyeti aliiba mzee baba Bashite ina maana ali skip classes you know
 
Kwani Kuongea kingeleza ni usomi?
 
Jirekodi wew eukionhea kwanza tukuone na nyuso yako.. Ukiona na I'd yako ukiwa umelogi humu
 
Mzalendo zaidi ya Nyerere?! Mbona Nyerere enzi zake alikuwa anacharaza hiyo ngeli?
Alisoma shule za wakoloni waingereza hivyo ukoloni wa kiingereza ulikuwa kichwani na mdomoni
 
Alikuwa mzito sana kujifunza masomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…