Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

Nilitegemea hii mada uitoe pia kwa kiingereza!!
 
Kiibgereza ndio lugha gani mzee?

My best language ni arabic, kiarabu ni kitamu sana asikuambie mtu, anae nuna anune wala hanipunguzii kitu

Arabic and swahili languages 💪💪

Kiingereza ❌
Ajabu ni umetumia kiingereza na kiswahili baadala ya hicho kiarab 😂.

Ngeli kama maji tu usipoyanjwa, utayaoga tu
 
Anaongea kiingereza cha tabu sana. Akiongea kiingereza na mtu asijejua kiswahili itakuwa ngumu kuelewana, maana kiingereza chake kinaeleweka kwa mtu anayejua kiswahili. Mfano, kama umekaa badala ya kukumbia stand up ili usimame, atakwambia stop.
Ununuzi wa vyeeeeeeet! Kiingereza ni kiswahili cha Dunia! Lazima ukifahamu! Nyerere alituhujumu sana!
 
Kwanza kuongea Kiingereza ni tofauti na kutamka baadhi ya maneno ya Kiingereza!
 
Unajuaje kama kufanya hivyo ni mwiko kwake?Mbona hujasema hukuwahi kuona akitoa offer ya nyama bure kama futari?
 
Umewahi kumsikia Xi Jinping kuongea English, Starmer, Trump kuongea Kichina. Mental slavery inakusumbua
Sasa unataka kuwafananisha viongozi wa afrika na hao uliowataja mbona hiki ni kituko sasa

Unasema ana mental slave ilihali mpama tooth speak zimetushinda huoni kama hata sahivi tuko kwenye utumwa
 
Ngoja nitafute hotuba yake ya ung'eng'e ili nilambe hiyo zawadi
 
Una vigezo vyote vya kuitwa kilaza mzoefu.
Toa hoja... Acha makasiliko ewe mtumwa.....
Afu inaonesha wazi kwamba ninyi ndo vijana mmao jifanya Was*ng* mkifika ulaya ili mbakie nchi za watu... mwisho wa siku mnakuwa was*ng* kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…