Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

Long time enzi hizo wadogo ila tuna hustle kimtindo...kuna msomali mmoja alikuwa anakaa kupitia kino mvungi hospital alikuwa na bakery pale..tulikuwa tunapiga videiwaka tunapata pocket money
Nakumbuka yule mzee wao pale alikuwaga kwenye serikali hko Somalia ila alihamia tz.
Hela zetu tulikuwa tunawachiaga watuweke,kuna bibi mmja wa kisomali alikuwa anatuwekea kama anatusevia
Ilikuwa siku akitupa ilikuwa sherehee kwetu
Asili ya dhuluma hawana,ila sisi sasa
Utanfanyisha kazi hela humpi, mikwala mingi yaani matatizo tu juu ya matatizo
Nlijifunza mambo mengi sana kwao

Uaminifu kwa sisi sifuri kabisa

Ova

Naona uaminifu ni mafundisho tangu utoto
Mtoto wangu hathubutu kuja na hata kifutio toka shule ambacho sio chake

Hilo wanajua kabisa chake ni chake tu na akiibiwa marufuku kuiba
Uongo mwiko hata mimi siwapi promise za uongo
Wanakuwa kwa kujifunza Mkuu

Hiyo ndio mila yetu na tabia za home
 
Mkuu Tunduma bora upewe chenji na mzambia, ila akikupa mbongo kama haujui thamani na hauko makini lazima atakupiga tu.
Ku change hela kwa mkononi huko risky wabongo hawafai,wachache sana waaminifu
Ila kwenye hotel hapo ya Silverstone kna mbongo mmja huwa anabadili hela na yuko smart sana

Ova
 
Naona uaminifu ni mafundisho tangu utoto
Mtoto wangu hathubutu kuja na hata kifutio toka shule ambacho sio chake

Hilo wanajua kabisa chake ni chake tu na akiibiwa marufuku kuiba
Uongo mwiko hata mimi siwapi promise za uongo
Wanakuwa kwa kujifunza Mkuu

Hiyo ndio mila yetu na tabia za home
Safi sana

Ova
 
Mimi naamini sana kwenye uaminifu kwa sababu nimeendelea kwa uaminifu wa hali ya juu
Siwezi kutapeli wala kudanganya hata siku moja
Na mambo yanaenda vizuri tu
Uaminifu unaamini wa kwa mengi sana iwe serikalini au mitaani au kwenye familia

Kuna watu wametajirika kwa uaminifu tena wengi sana nawajua
Halafu masikini wa akili na mali anakuambia eti huo ni utajiri wa ndagu

Sasa yeye Kwanini asitafute hiyo ndagu?
Mimi pia naamini kwenye uaminifu
Sema mara nyingi muonekano wetu
Speed zetu,cv zetu utasikia Ahh yule atakupiga .....janjajanja dah kmbe maskini ya mungu wala [emoji1]
Ujanja wangu wote lkn pesa ya mtu naiogopa na kuhiheshim

Bora kuwa hivyo Mkuu kuliko kutamani vya mtu
 
Japo mi mkristo ila unachosema nu kweli

Jamii za kiislamu zina ustaarabu sana kwenye biashara na mambo ya wizi wizi sio mkubwa kuliko jamii za kikristo.

Huo ni ukweli kabisa
Ustaarabu na uaminifu ktk biashara au kitu chochote kinachohusiana na majority ni nature ya mtu/watu haihusiani na hizo dini zenu,wapo wasioamini dini waaminifu wapo wanaoamini dini bila kujali dini gani waaminifu au siyo waaminifu.

Mimi ni mfanyabiashara kuna siku nilijichanganya kwa Mchina nikamzidishia 500,000/= cash Tsh nimekaa sina habari siku nikaagiza mzigo mwengine kunitumia bill yangu naona haiko sawa malipo yanaonyesha madogo nikamuelewesha thamani ya mzigo niliochukua akanitumia screenshot kuonyesha malipo niliyofanya mara ya mwisho nilimzidishia hela but wapo watu wa hizi dini nawakopesha sana vitu hata havizidi 120K Ila wanakimbia maisha siwaoni nikiwaona maneno meengi.
 
Ku change hela kwa mkononi huko risky wabongo hawafai,wachache sana waaminifu
Ila kwenye hotel hapo ya Silverstone kna mbongo mmja huwa anabadili hela na yuko smart sana

Ova
Ok mkuu, nimekusoma vizuri.
 
Mimi pia naamini kwenye uaminifu
Sema mara nyingi muonekano wetu
Speed zetu,cv zetu utasikia Ahh yule atakupiga .....janjajanja dah kmbe maskini ya mungu wala [emoji1]
Ujanja wangu wote lkn pesa ya mtu naiogopa na kuhiheshim

Ova
Mkuu shukuru Mungu kwa kuumbwa hivyo. Maana kati ya watanzania mia mbili, waaminifu utawapata wawili tu, tena wa vijijini.
 
Naona uaminifu ni mafundisho tangu utoto
Mtoto wangu hathubutu kuja na hata kifutio toka shule ambacho sio chake

Hilo wanajua kabisa chake ni chake tu na akiibiwa marufuku kuiba
Uongo mwiko hata mimi siwapi promise za uongo
Wanakuwa kwa kujifunza Mkuu

Hiyo ndio mila yetu na tabia za home
Nakupongeza kwa malezi mazuri mkuu. Hiyo ni kwa faida yake mwenyw hapo baadae.
 
Wakora wa Nairobi ni hatari sana wakora wa Bongo wanasubiri
DRC bahari wanayo japokuwa sio wengi wanaofika huko kutokana na Kinshasa kuwa ndani.

Ila DRC ni kama Zambia tu, pale Kinshasa unakuta maburungutu ya dolari na makuta yamepangwa juu ya meza kama nyanya gengeni.

View attachment 2292732

View attachment 2292733

View attachment 2292734

Na almasi pia hivyohivyo unakuta ziko juu ya meza kama nyanya.

View attachment 2292742
View attachment 2292743
View attachment 2292745

Uganda sijafika, ila kwa stori za waliofika sidhani kama wamejanjaruka. Wakora wako Nairobi, Dar es Salaam, Somalia.
 
Back
Top Bottom