Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

Chingola kumetulia,mji uko kama vimji vya waingereza bado...kamji hkana kokoro
Hata kitwe pia nimepapenda,nmekaa sana nkana East hapo na Riverside
Ukitokea chilalabombwe kama unaelekea chingola kuna sehemu inaitwa musenga ndani kule kuna mashamba ya wazungu na wanafuga pia,nilikaa pia....huko sasa ndy tuliwasanua wazambia biashara ya skrepa miaka hiyo
Vitabiatabia fulani wanavyo,sema kdg wazambia wana ustarabu,ila ni watu wa kuhoji mambo na kuwaburuza wagumu

Ova
Hakuna mzambia pisi kali[emoji848][emoji848][emoji848]..

Hii kitu ilinishangaza sana kuanzia Mpika, Kapiri, ndola, kabwe hadi Lusaka ...mademu wanapenda kuvaa mawigi na sio wasafi!...kingine wana matumbo makubwaa
 
DRC bahari wanayo japokuwa sio wengi wanaofika huko kutokana na Kinshasa kuwa ndani.

Ila DRC ni kama Zambia tu, pale Kinshasa unakuta maburungutu ya dolari na makuta yamepangwa juu ya meza kama nyanya gengeni.

View attachment 2292732

View attachment 2292733

View attachment 2292734

Na almasi pia hivyohivyo unakuta ziko juu ya meza kama nyanya.

View attachment 2292742
View attachment 2292743
View attachment 2292745

Uganda sijafika, ila kwa stori za waliofika sidhani kama wamejanjaruka. Wakora wako Nairobi, Dar es Salaam, Somalia.
Hakuna mtu tapeli kama mganda ,mnigeria anasubiri
 
kipindi naishi mpanda katavi niliwahi kukutana na wazambia walionekana kuwa ni watu wenye roho ngumu na mbaya...niliamini kuwa wazambia ni watu wenye roho mbaya........
Hii ni kweli mkuu ....wazambia Wana roho mbaya sana

Nafanya nao kazi hapa Tz na huko Kwao

Hawapendi mtz apate hela, utasengenywa kibemba au kitonga, na kukuloga pia ukizubaa zubaa

Afu njaa kali, wakifika bongo wanakula kila kitu kitamaa tamaa, mademu wanachukua buguruni na kkoo, wakipata demu mtz, demu/ mke mzambia anapigwa chini fastaa....wengi wameoa/wameolewa huku, hasa wachaga
 
Kwa mlioishi Lusaka hotel za bei rahisi ziko maeneo gani?na bei ikoje
Pale pale kaunda terminal but Bei za vyumba ni ghali ....Kuna vyumba kwacha 200000 hadi 300000 ambazo ni TSH 40 to 50 thousand, na hapo ni chumba kibaya sana....bongo chumba 30000 elfu unapagawa
 
Mademu wa kizambia wana tabia gani? Je ni kama wale wa kule kwetu????
Wanapenda kuja Dar...ukimwambia unaishi Dar anakula mbunye buure bila hata senti

NB

Ila sio wazuri, Wana matumbo ( wanakula shima na chikanda[emoji1787][emoji1787]
 
Zambia ni kweli ipo salama kuna siku nilienda kunywa pombe za kienyeji sehemu inaitwa chibolya hapo chibolya ndio kwà masela kinyamaaa yani ola amini sikukabwa na nilitembea kwa miguu kama km 2 chibolya ndio kitongoji cha maskini lusaka kama liberal ya nairobi.
 
Back
Top Bottom