Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

Hakuna mzambia pisi kali[emoji848][emoji848][emoji848]..

Hii kitu ilinishangaza sana kuanzia Mpika, Kapiri, ndola, kabwe hadi Lusaka ...mademu wanapenda kuvaa mawigi na sio wasafi!...kingine wana matumbo makubwaa
 
Hakuna mtu tapeli kama mganda ,mnigeria anasubiri
 
kipindi naishi mpanda katavi niliwahi kukutana na wazambia walionekana kuwa ni watu wenye roho ngumu na mbaya...niliamini kuwa wazambia ni watu wenye roho mbaya........
Hii ni kweli mkuu ....wazambia Wana roho mbaya sana

Nafanya nao kazi hapa Tz na huko Kwao

Hawapendi mtz apate hela, utasengenywa kibemba au kitonga, na kukuloga pia ukizubaa zubaa

Afu njaa kali, wakifika bongo wanakula kila kitu kitamaa tamaa, mademu wanachukua buguruni na kkoo, wakipata demu mtz, demu/ mke mzambia anapigwa chini fastaa....wengi wameoa/wameolewa huku, hasa wachaga
 
Kwa mlioishi Lusaka hotel za bei rahisi ziko maeneo gani?na bei ikoje
Pale pale kaunda terminal but Bei za vyumba ni ghali ....Kuna vyumba kwacha 200000 hadi 300000 ambazo ni TSH 40 to 50 thousand, na hapo ni chumba kibaya sana....bongo chumba 30000 elfu unapagawa
 
Mademu wa kizambia wana tabia gani? Je ni kama wale wa kule kwetu????
Wanapenda kuja Dar...ukimwambia unaishi Dar anakula mbunye buure bila hata senti

NB

Ila sio wazuri, Wana matumbo ( wanakula shima na chikanda[emoji1787][emoji1787]
 
Halaf utackia Tanzania ni nchi ya amani,, amani wapi!!! Na wakarimu 😁😁😁 aisee utazani hakuna nchi zenye amani na usalama duniani ila Tanzania tu 😁😁😁
 
Zambia ni kweli ipo salama kuna siku nilienda kunywa pombe za kienyeji sehemu inaitwa chibolya hapo chibolya ndio kwΓ  masela kinyamaaa yani ola amini sikukabwa na nilitembea kwa miguu kama km 2 chibolya ndio kitongoji cha maskini lusaka kama liberal ya nairobi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…