Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

Yes Zambia ni kweli kuna utulivu usion wa kawaida,nakumbuka wakati flani nikiwa na rafiki yangu tulifikia Taji Pamodzi Hotel-Lusaka.
Rafiki yangu alinnua kahaba,na usiku huo alikunywa pia pombe kupitiliza. Wakati wa kutoka asubuhi nampigia simu hapokei,kwenda chumbani na kugonga nkakuta yule dada yuko naye na mshikaji amekata moto kutokana na pombe. Dada yule alikuwa ana wasiwasi na simu ya mshikaji kaishikilia mkononi,kumbe aliogopa kupokea.
Kilichonishangaza jamaa alikuwa ameweka Dola elfu Saba mezani na yule dada hakuwa na tamaa ya kumuibia na kukimbia.
Najiulizaga tu mpka Leo,ingalikuwa hapa kwetu ingekuwaje?
 
Jaribu kuwapora au uwafanyie ujanjaujanja.Aisee,utalogwa uwe chizi au kifo kibaya kitafuata.Cha mtu kiheshimu kama ambavyo jasho la mtu haliliwi bila ruhusa.
Hahahaha.. nasikia jamaa kwa ndumba hawajambo na haswa ukizingatia wanapeana mpaka na Congo, na huku kwetu wanapakana na Sumbawanga 😂😂😂😂
 
Hivi ni hawa hawa askari wa kutoka Nakonde to kasumbalesa ndio mnaowasifia humu?
Nina clip nyigi tu za madereva wetu juu ya manyanyaso wanayoyapata huko zambia.

Kama unapita na basi hayo hauwezi kuyajua wala kuyaona.
Kwa kweli hizo cases sizijui sababu si dereva. Pengine tufumbue macho zaidi tuone shida iko wapi? Maana isjie ikawa madereva wetu wanapeleka mambo ya " kitanzania" huko.
 
Unataka kubishana tu,wote tunajua
 
Ile huduma yao ya kupokea kutuma pesa na kupokea,we tuma pokea hata mln 200 utapewa..
Sasa waliigaga wabongo wanaoishi China kko....shnz typ pesa akituma mtu mpokeaji hku mpk akupe blhblh
Maneno mengi uhuni tu...

Ova

Huyo mzee mwenye kampuni ya kwanza yenye branches zaidi ya 500 duniani
Yaani [emoji636] tu anazo 130
Alianzia Abu Dhabi enzi za ujana alikuwa akiwa anasafiri anawauliza jamaa zake kama kuna mtu anataka kuwatumia ndugu na familia hela
Nao walikuwa wakimpa na hii sio peke yake bali wengi tu walikuwa wanafikisha kwa usalama kabisa BURE

Ila mwisho akajiongeza akawa anawalipisha hela kidogo ya kuwabebea hela zao

Iliendelea hivyo mwisho akaweka mtu wa kuwalipa huko huku akimuachia hela nyingi za kuwalipa watu

Leo ni multi M akiwa na wafanyakazi zaidi ya 2000 duniani (Dahabshiil)

Mwingine nae ni kijana mdogo alietokea [emoji631] na kuhamia [emoji636] baada ya kufukuzwa kazi kwa hiyani Umoja wa Mataifa NY
Aliwashtaki na kufungua kesi na kupata $200k kama pole
Ni Msomali nae akaja [emoji636] na kwa msaada wa Mo Ibrahim alipokutana nae akampa idea [emoji362]
Ndipo akafungua WorldRemit na leo ina trend dunia nzima na mimi nikiwa mdau

Mswahili anawaza kuiba wakati wa interview
 
Uganda na DRC hawana bahari,
Namibia wana bahari.
DRC bahari wanayo japokuwa sio wengi wanaofika huko kutokana na Kinshasa kuwa ndani.

Ila DRC ni kama Zambia tu, pale Kinshasa unakuta maburungutu ya dolari na makuta yamepangwa juu ya meza kama nyanya gengeni.







Na almasi pia hivyohivyo unakuta ziko juu ya meza kama nyanya.





Uganda sijafika, ila kwa stori za waliofika sidhani kama wamejanjaruka. Wakora wako Nairobi, Dar es Salaam, Somalia.
 
[emoji3526][emoji3526][emoji16][emoji16]Kuna watu Wana moyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…