Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

Hao wanaofanya business za hela NI wakinga , na ndiyo walioko hata Zambia , je unaweza iba hela ya mkinga ukaishi? Kwa hiyo usalama WA eneo haupimwi Kwa vitu hivyo peke yake, maana hata pale Tunduma border hela ziko nje nje tena zinawekwa chini kwenye box kama karanga nenda kaibe uone.
 
Ushamba mzigo kufika hapo Nakonde (border town) unaona umeyapatia!

Siasa za Bachelor of Education (Adult & Community Education)

Wapi amesema maisha ameyapatia?? Uzi unazungumzia usalama nchini Zambia wewe na makasiriko yako unamuita mleta uzi mshamba.


Acha makasiriko, njaa iko kwa kila mtu sio kwako peke yako ndugu mwalimu.
 
Nchi za Kidemokrasia ndio zilivyo , hamna kutekana wala kusingiziana uhujumu uchumi

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kingine kinacho fanya waheshimu hela ya mtu ni hofu ya kulogwa. Kama ujuavyo Zambia ni road kuu ya kupitisha mizigo na biashara kwenda KONGO.
Huko nyuma wakongo wengi walikuwa wanatapeliwa sana pesa na mizigo yao wakaamua kutoa fundisho kwa kuloga.
Sidhani kama kuna ukweli. Bongo mtu akishikwa wizi anapigwa mawe mpaka anakufa mbona hatuogopi? Na kama ni mambo ya uchawi basi hakuna nchi yenye watu wanaoamini na kuogopa uchawi kama Tanzania. Tabia ya uaminifu hailetwi na watu kuogopa bali ni makuzi ya tangu utoto.
 
Ipo wazi,
Hayo uliyotaja sikatai wapo wakengeufu wanayafanya.Lakini kwa tathmini ya haraka tunaona kuwa upande mwingine wakengeufu wanofanya hayo ni wengi zaidi!
Hata hivyo msimamo wangu siyo msaafu,kama kuna hoja zaidi naweza kukubaliana nazo.
 
Ipo wazi,
Hayo uliyotaja sikatai wapo wakengeufu wanayafanya.Lakini kwa tathmini ya haraka tunaona kuwa upande mwingine wakengeufu wanofanya hayo ni wengi zaidi!
Hata hivyo msimamo wangu siyo msaafu,kama kuna hoja zaidi naweza kukubaliana nazo.
Mnakera na iyo dini yenu yakuiga. Mudi angeanzisha uislam kivyake huko kama Hindu na budha. Badala ya kkucopy kupaste na kuformat kutoka kwa wayahudi na wakristo. Mtu unaibuka miaka mia sita baadaye na kuanza saundi na fiksi. Hii haikubaliki kabisa.
 
Nimekumbuka kitu kutokana na mchango huu!!

Ndugu zetu Waislam asilimia kubwa hujitahidi kuyaishi wanayofundishwa tofauti ki % na upande mwingine.(naomba nisishambuliwe ni mtazamo wangu)
Sio kweli kwa Tanzania hata viatu msikitini wanaiba waislamu ukiacha viatu vizuri nje ya msikiti huvikuti

Ukienda msikitini hata uwe Zanzibar mwezi wa Ramadhani kwenye waislamu wengi duka lazima ufunge vinginevyo utakoma

Tanzania mmmmmmm tuwe wakweli

Tuwape tu heko wasomali kwa uaminifu wa pesa tu.huko wako vizuri narudia kwenye uaminifu wa pesa tu huko uislamu wanautendea haki kwingine Hawako vizuri

Mfano Somalia wote waislamu lakini wanauana kama kuku .Alshabab waislamu swala tano wanaua kila siku waislamu wenzao swala tano Somalia

Waislamu kwa waislamu wanauana Somalia sema ikifika swala ya kwenda msikitini hawashambuliani hadi swala iishe.Ikiisha wanaanza kuuana.

Nawapongeza tu kwa uaminifu kwenye pesa kwingine hapana Hawako vizuri
 
Long time enzi hizo wadogo ila tuna hustle kimtindo...kuna msomali mmoja alikuwa anakaa kupitia kino mvungi hospital alikuwa na bakery pale..tulikuwa tunapiga videiwaka tunapata pocket money
Nakumbuka yule mzee wao pale alikuwaga kwenye serikali hko Somalia ila alihamia tz.
Hela zetu tulikuwa tunawachiaga watuweke,kuna bibi mmja wa kisomali alikuwa anatuwekea kama anatusevia
Ilikuwa siku akitupa ilikuwa sherehee kwetu
Asili ya dhuluma hawana,ila sisi sasa
Utanfanyisha kazi hela humpi, mikwala mingi yaani matatizo tu juu ya matatizo
Nlijifunza mambo mengi sana kwao

Uaminifu kwa sisi sifuri kabisa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…