Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

nipo najiponza machungu na ngoma ya alikiba -mnyama.

sawa yanga kwa kichapo hiki, tukutane round ijayo mbweha nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…