Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana COMRADE nipe maiki ni shuke na huyu simbilis,Kataa ndoa haina mahusiano na kuzaa.
Adam na Eva walituzaa nje ya Ndoa, hawakutaka Stress..
Ronaldo CR7 Ana Familia ila hana ndoa.
Ogopa sana mkataba wa kutenganishwa na KIFO...
😃😃Mtoa mada unataka ku justify nini ? Mbona kama unawagombeza wakataa ndoa?🤔
📌Hana akili!!!Mtoa mada unataka ku justify nini ? Mbona kama unawagombeza wakataa ndoa?🤔
Wewe unaweza jifananisha na Adam au CR7 😃😃Kataa ndoa haina mahusiano na kuzaa.
Adam na Eva walituzaa nje ya Ndoa, hawakutaka Stress..
Ronaldo CR7 Ana Familia ila hana ndoa.
Ogopa sana mkataba wa kutenganishwa na KIFO...
Asilimia kubwa kataa ndoa ni playboys,wahuni mje tu mnipige😃😃😃Kataa ndoa haina mahusiano na kuzaa.
Adam na Eva walituzaa nje ya Ndoa, hawakutaka Stress..
Ronaldo CR7 Ana Familia ila hana ndoa.
Ogopa sana mkataba wa kutenganishwa na KIFO...
Katibu Tusaidie kujibu hizo hoja. Haya ni masuala ya katibuKATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
📌📌📌Kill them all these SIMPS!!!Nakupenda sana mke wangu
Ovaaa
Sidhani kama watu wote wanazeeka na wenza wao. Na.mara nyingi ulizeeka unahitaji msaada wa ndugu jamaa. Hakuna mtu anaweza kujitunza au kutunzwa na mwenza pekee anapozeeka au kuwa mgonjwa mahtuti.Tuliumbwa tuishi... dhambi na magonjwa yanatuua mapema
Wewe umedanganywa huko na wewe unataka kutudanganya hapa peleka ujinga huko.Adamu na Hawa nani alikuwa mshenga wao???Inawezekana hujui ndoa ni nini? Adamu na Eva walikuwa ndani ya ndoa. Kumbe kinachokuogopesha ni Mkataba wa kutenganishwa na kifo? 😀
Nina ushuhuda na hili teacher mmoja hakuoa alikufa ovyo sana cos hakupata huduma ya karibu walimu wenzake wameenda kupiga gongo mtaani yeye anakabiliana na kutokwa roho wanataarifiwa wanafika mwamba hana dk 20 mbele yaani wanambeba mita 200 tu wanarudi kwamba kashadeadWakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote mstari wowote wa vitabu vitakatifu, hapa nakupa makali live.
Jaribu kufikiria, ulilelewa na familia na sasa unajitegemea. Kwa nini uishi peke yako? Wakati ukiwa na familia yako ndio waliokuwa wakipa huduma zote ulizohitaji wakati wa furaha na wakati wa magumu sasa iweje leo uwe mwenyewe? Huo ubinafsi wa kuishi peke yako unautoa wapi? kwa nini usioe? kwa nini nawe usisimame kama baba ukiienjoy na mke na watoto wako?
Hivi kesho ukihitaji huduma za kuhospitali nani atakuogesha? nani atakufariji? Najua una ndugu zako, nao watakuwa bize na familia zao; utashirikiana nao katika mambo ya nje na si ya ndani. Hivi usiku unajikumbatia peke yako kama mchawi na hata wachawi wanaoa! Hata kama utanunua wanawake... utachoka... hutapata amani na faraja ambayo ungeipata kwa mke. Kwani nini uishi kiunyongee?
Jaribu kuangalia walioishi peke yao..... hakuna aliyekuwa na furaha ya dhati, waliishia kuwa walevi na wanunua papuchi mwisho walifia ndani na kukutwa wamepasuka. Ndoa ni muhimu kwa binadamu. Changamoto za ndoa zinaweza kuwa solved lakini ukiwa na upweke si vya kukimbilia. Najua kuna wanaojifariji eti nitazalisha huko nje na kuchukuwa watoto wangu.
AMKA jipange kutafuta familia uitunze ikutunze. Hao wanaokudanganya humu hutakuwa nao na utakufa kibudu.
Ndo nshasema.. wakataa ndoa wote hawajielewi... wakajicheki afya ya akili na kama ukitaka kuwaiga usithubutu.
Mapovu ruksa.... ndoa zidumu na zitadumu milele na milele.
Rafiki yangu material yako ni mazuri, tatizo utamuoa nani. Unachoeleza ni inavyotakiwa kuwa, lakini unakutana na hali tofauti kabisa. Bahati mbaya hata mwenye maono kama yako anaweza kushindwa kuyasimamia akawa kituko tu.Ndoa ni kitu chema Kwa mtu mwenye akili timamu
Vyovyote itavokuwa ilaa wataoa sahiz ni mudwao kupiga kelele wengi ni vijanawadogo na hawana ela na hawajui umuhimu wa familia
Kwa kipind kidogo nilichoish bila baba nimeelewa familia ni muhimu sana kusema mtu akisema nitazaa ila sioni nawaonea huruma sana wanae hata wanaotalikiana Mungu awasaidie
Leteni hoja zenye mantiki.Yaani unaingia kwenye ndoa kisa ukizeeka upate mtu wa kukuvalisha pampers are you nuts!!!Sidhani kama watu wote wanazeeka na wenza wao. Na.mara nyingi ulizeeka unahitaji msaada wa ndugu jamaa. Hakuna mtu anaweza kujitunza au kutunzwa na mwenza pekee anapozeeka au kuwa mgonjwa mahtuti.
Ndoa ina uhusiano gani na hela, viko direct proportional?...kama ndio hivyo kwanini the wealthiest wako single ?....Ndoa ni kitu chema Kwa mtu mwenye akili timamu
Vyovyote itavokuwa ilaa wataoa sahiz ni mudwao kupiga kelele wengi ni vijanawadogo na hawana ela na hawajui umuhimu wa familia
Kwa kipind kidogo nilichoish bila baba nimeelewa familia ni muhimu sana kusema mtu akisema nitazaa ila sioni nawaonea huruma sana wanae hata wanaotalikiana Mungu awasaidie
Kwahiyo hali aliyekuwa nayo unahisi angekuwa na mke angezuia kifo chake.Nina ushuhuda na hili teacher mmoja hakuoa alikufa ovyo sana cos hakupata huduma ya karibu walimu wenzake wameenda kupiga gongo mtaani yeye anakabiliana na kutokwa roho wanataarifiwa wanafika mwamba hana dk 20 mbele yaani wanambeba mita 200 tu wanarudi kwamba kashadead
Siutaki ubachela kamwe hata nikiachana na niliyenaye sasa nitatafuta mwingine nioe ili anifariji tu no way out
Unakufa kwa njaa na pesa unayo
Nina ushuhuda na hili teacher mmoja hakuoa alikufa ovyo sana cos hakupata huduma ya karibu walimu wenzake wameenda kupiga gongo mtaani yeye anakabiliana na kutokwa roho wanataarifiwa wanafika mwamba hana dk 20 mbele yaani wanambeba mita 200 tu wanarudi kwamba kashadead
Siutaki ubachela kamwe hata nikiachana na niliyenaye sasa nitatafuta mwingine nioe ili anifariji tu no way out
Unakufa kwa njaa na pesa unayo
hawana hoja hawa simbilis.Ndoa ina uhusiano gani na hela, viko direct proportional?...kama ndio hivyo kwanini the wealthiest wako single ?....