Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

Tena anabahati alikufa akionekana na watu. Wengine hufia ndani na kugundulika baada ya zaidi ya siku tatu! mbaya sana... kisa upweke! Tuoane tu kwa faida yetu wenyewe
Kufa ni kufa tu. Ufe barabarani ufe machakani.It all means the same, your no longer useful!!!
 
Wewe umedanganywa huko na wewe unataka kutudanganya hapa peleka ujinga huko.Adamu na Hawa nani alikuwa mshenga wao???

Kwa hiyo kinachokusumbua ni kuwa na mshenga. Huwa unasoma stori za watu mbalimbali? kuna watu walioa bila washenga. Ndoa sio lazima uwe na Mshenga. Unamkumbuka Yakobo?
 
Kwahiyo hali aliyekuwa nayo unahisi angekuwa na mke angezuia kifo chake.

Hivi huwa mnafikiri na kuwazua kabla hamjacomment.Kwa akili hizi wewe lazima mwanamke akusumbue.Pona pona yako KATAA NDOA!!!!
Asingezuia kifo. Angepata huduma stahiki
 
Hamisi ananyongwa kisa ni NDOA.

""Nilikutana na wewe mke wangu ukiwa ni mwanachuo katika chuo cha Mwalimu Nyerere kigamboni.

Tukaanzisha mahusiano ya kimapenzi.

Mimi ni muislamu

Lakini mwaka 2008 nikaamua kukuoa kwa ndoa ya kikistru kanisa la Assemblies of God Upanga

Bila ya shaka nimefanya hivi kwa kuwa nakupenda sana mke wangu.

Tunaishi maisha mazuri, tunafanikiwa kumiliki nyumba kadhaa na magari manne.

Ninakufungulia biashara ya duka la kuuza madawa huku mimi nikiendelea na biashara yangu ya kununua na kuuza viwanja.

Tunapata mtoto mmoja aitwaye Gracious

Mke wangu unabadilika.

Unaanza kuninyima haki yangu ya ndoa bila sababu za msingi.

Hali inaendelea hadi inafikia hatua tunalala vyumba tofauti katika nyumba yetu ya ghorofa mimi chumba cha juu wewe cha chini.

Inafikia hatua mimi naanzisha mahusiano nje na wewe unaanzisha ya kwako.

Unaweza kulala nje bila taarifa na mimi vivyohivyo.

I and you deny each other conjugal rights (horizontal engagement)

Jambo hili linajulikana kwa wazazi wa pande mbili.

Hata majirani wanajua mambo unayonifanyia kama kunimwagia maji machafu, kunipiga na fagio na hata kunivuta makende yangu mbele ya mama yangu mzazi.

Mke wangu,

Kuna siku ulinichoma na kisu mkononi

Nikaenda Polisi lakini wakanirudisha kuwa tumalizane wenyewe.

Yote nilivumilia.

Kila wakati unani provoke kuwa nikupige nikuue lakini sifanyi hivyo.

Nilishakuomba twende mahakamani tuvunje hii ndoa yetu lakini ukakataa.

Ikafikia hatua sili wala siogi nyumbani kwangu kwani naogopa usije niwekea sumu.

Ndipo kuna siku niliondoka nyumbani bila kurudi kwa muda wa siku tano.""

Story juu, imepatikana kwenye maelezo ya onyo (Cautioned statement) ya Hamisi Saidi Luwongo

Maelezo haya aliyatoa mbele ya mpelelezi kituo cha polisi Temeke

NA HIZI NDIO NDOA ZENU.

20250227_041639.jpg
20250227_041636.jpg

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ndoa ina uhusiano gani na hela, viko direct proportional?...kama ndio hivyo kwanini the wealthiest wako single ?....
Nimezungumzia uwezo wa kutunza mke Kwa maishayetu kijana unaweza Kuta anafikia 30 hna chochote inaweza kuwa sabbu lkn sijasema ni wote
Huko nje mm sijui kwani nyie ni wazungu?
 
Kuna mstari mwembamba sana kati ya Mwanaume kujikubali too much kiasi cha kuona kuoa ni kujinyima raha na Swala la UNGESE kiujumla🫵🏽
IMG_3376.jpeg
 
Hamisi ananyongwa kisa ni NDOA.

""Nilikutana na wewe mke wangu ukiwa ni mwanachuo katika chuo cha Mwalimu Nyerere kigamboni.

Tukaanzisha mahusiano ya kimapenzi.

Mimi ni muislamu

Lakini mwaka 2008 nikaamua kukuoa kwa ndoa ya kikistru kanisa la Assemblies of God Upanga

Bila ya shaka nimefanya hivi kwa kuwa nakupenda sana mke wangu.

Tunaishi maisha mazuri, tunafanikiwa kumiliki nyumba kadhaa na magari manne.

Ninakufungulia biashara ya duka la kuuza madawa huku mimi nikiendelea na biashara yangu ya kununua na kuuza viwanja.

Tunapata mtoto mmoja aitwaye Gracious

Mke wangu unabadilika.

Unaanza kuninyima haki yangu ya ndoa bila sababu za msingi.

Hali inaendelea hadi inafikia hatua tunalala vyumba tofauti katika nyumba yetu ya ghorofa mimi chumba cha juu wewe cha chini.

Inafikia hatua mimi naanzisha mahusiano nje na wewe unaanzisha ya kwako.

Unaweza kulala nje bila taarifa na mimi vivyohivyo.

I and you deny each other conjugal rights (horizontal engagement)

Jambo hili linajulikana kwa wazazi wa pande mbili.

Hata majirani wanajua mambo unayonifanyia kama kunimwagia maji machafu, kunipiga na fagio na hata kunivuta makende yangu mbele ya mama yangu mzazi.

Mke wangu,

Kuna siku ulinichoma na kisu mkononi

Nikaenda Polisi lakini wakanirudisha kuwa tumalizane wenyewe.

Yote nilivumilia.

Kila wakati unani provoke kuwa nikupige nikuue lakini sifanyi hivyo.

Nilishakuomba twende mahakamani tuvunje hii ndoa yetu lakini ukakataa.

Ikafikia hatua sili wala siogi nyumbani kwangu kwani naogopa usije niwekea sumu.

Ndipo kuna siku niliondoka nyumbani bila kurudi kwa muda wa siku tano.""

Story juu, imepatikana kwenye maelezo ya onyo (Cautioned statement) ya Hamisi Saidi Luwongo

Maelezo haya aliyatoa mbele ya mpelelezi kituo cha polisi Temeke

NA HIZI NDIO NDOA ZENU.

View attachment 3251653View attachment 3251654

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Pole sana. Hapo tatizo sio ndoa. Tatizo ni aina ya mwanamke uliyeoa. Alibadilika akawa tofauti na mlivyoanza. Binadamu tunaweza badilika. lakini hili halitufanyi tukatae ndoa. Mungu atakufanyia wepesi.
 
Leteni hoja zenye mantiki.Yaani unaingia kwenye ndoa kisa ukizeeka upate mtu wa kukuvalisha pampers are you nuts!!!

Hivi unashindwa nini kujitengea hela like a trust fund kiasi kwamba ukizeeka beyond huwezi kujihudumia unawalipa watu tena professionals wakutunze.Manesi kibao huko wanataka hizo kazi za kulea wazee.Nyie mazezeta badilikeni dunia inaenda kasi acheni kulala.
Kinachonishangaza ni hata jamaa aloleta maada hajui kwanini he is married, huwez kusema watu waoe wapate watu wa kuwafariji sio kweli. Mimi kama hakuna PRENUP sidhani kama hili swala ntakuja kulifanya sababu dramas ni nyingi sana...Life was meant for people to be happy not fighting everyday...
 
📌COMRADES,,,KATAA NDOA kama tulivyokubaliana kwenye kikao chetu cha wiki jana.Chapa fimbo, tembeza bakora kadri uwezavyo.Hawa KUBALI NDOA lazima tuhakikishe wanaoa mademu zetu ili tuje kuwakera vizuri baadae kwa kuwachapia wake zao ambao ni mademu zetu wa zamani.
 
Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote mstari wowote wa vitabu vitakatifu, hapa nakupa makali live.

Jaribu kufikiria, ulilelewa na familia na sasa unajitegemea. Kwa nini uishi peke yako? Wakati ukiwa na familia yako ndio waliokuwa wakipa huduma zote ulizohitaji wakati wa furaha na wakati wa magumu sasa iweje leo uwe mwenyewe? Huo ubinafsi wa kuishi peke yako unautoa wapi? kwa nini usioe? kwa nini nawe usisimame kama baba ukiienjoy na mke na watoto wako?

Hivi kesho ukihitaji huduma za kuhospitali nani atakuogesha? nani atakufariji? Najua una ndugu zako, nao watakuwa bize na familia zao; utashirikiana nao katika mambo ya nje na si ya ndani. Hivi usiku unajikumbatia peke yako kama mchawi na hata wachawi wanaoa! Hata kama utanunua wanawake... utachoka... hutapata amani na faraja ambayo ungeipata kwa mke. Kwani nini uishi kiunyongee?

Jaribu kuangalia walioishi peke yao..... hakuna aliyekuwa na furaha ya dhati, waliishia kuwa walevi na wanunua papuchi mwisho walifia ndani na kukutwa wamepasuka. Ndoa ni muhimu kwa binadamu. Changamoto za ndoa zinaweza kuwa solved lakini ukiwa na upweke si vya kukimbilia. Najua kuna wanaojifariji eti nitazalisha huko nje na kuchukuwa watoto wangu.

AMKA jipange kutafuta familia uitunze ikutunze. Hao wanaokudanganya humu hutakuwa nao na utakufa kibudu.

Ndo nshasema.. wakataa ndoa wote hawajielewi... wakajicheki afya ya akili na kama ukitaka kuwaiga usithubutu.

Mapovu ruksa.... ndoa zidumu na zitadumu milele na milele.
Ogopa sana kumkaribisha chatu chumbani MWAKO na kuishi naye.

Nyangwisi Maarasmitayo.

Nyau de adriz
 
Nina ushuhuda na hili teacher mmoja hakuoa alikufa ovyo sana cos hakupata huduma ya karibu walimu wenzake wameenda kupiga gongo mtaani yeye anakabiliana na kutokwa roho wanataarifiwa wanafika mwamba hana dk 20 mbele yaani wanambeba mita 200 tu wanarudi kwamba kashadead
Siutaki ubachela kamwe hata nikiachana na niliyenaye sasa nitatafuta mwingine nioe ili anifariji tu no way out
Unakufa kwa njaa na pesa unayo
Ohoooo kwahyo ulivyooa utakufa vizur
 
Rafiki yangu material yako ni mazuri, tatizo utamuoa nani. Unachoeleza ni inavyotakiwa kuwa, lakini unakutana na hali tofauti kabisa. Bahati mbaya hata mwenye maono kama yako anaweza kushindwa kuyasimamia akawa kituko tu.
Ni kweli kabisa Kuna changamoto nyingi sana ilaa tunasema tu ni muhimu kuwazaa mazuri zaidi japo sio maraazote hutokea
 
Kinachonishangaza ni hata jamaa aloleta maada hajui kwanini he is married, huwez kusema watu waoe wapate watu wa kuwafariji sio kweli. Mimi kama hakuna PRENUP sidhani kama hili swala ntakuja kulifanya sababu dramas ni nyingi sana...Life was meant for people to be happy not fighting everyday...
Wengi ni MASIMP ambayo kiuhalisia yanafanya vitu kwa msukumo wa jamii au familia zao ila wao wenyewe hawajui kwanini wanafanya au kutenda mambo.

Mleta mada anastress za kunyimwa unyumba hajui hata hasa nini lengo la NDOA.

📌📌📌Nashauri apuuzwee!!!
 
Pole sana. Hapo tatizo sio ndoa. Tatizo ni aina ya mwanamke uliyeoa. Alibadilika akawa tofauti na mlivyoanza. Binadamu tunaweza badilika. lakini hili halitufanyi tukatae ndoa. Mungu atakufanyia wepesi.
Sio mimi ni huyo Hamisi wa Kigamboni.
By the way kilichowafanya wakakutana na yotee yakatokea ni NDOA.

Hivyo wakulaumiwa ni NDOA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom