📌What are the odds za wewe kufika huo uzee???Moja ya faida za ndoa ni kuja kuhudumiana uzeeni.
Tuwe wakweli, una pesa gani wewe ya kuitenga ili uje uwalipe manesi wakuhudumie uzeeni? tumeona wazee wangapi wanaadhirika hawana wa kuwahudumia na pesa zimewaishia. Jaribu kufikiria katika hali halisi. Pesa hazitakuwa na maana sana kwako kwa kipindi hicho
Wewe kwa akili hizi hata biashara huwezi kufanya maana hata jinsi ya kufanya uwekezaji hujui.Wewe endelea kuomba unyumba sisi wenzako ni simu moja nachagua leo nipige Mwajuma kipini au Merry Kishundu.
Na watoto wanautenga vizuri mtu unasusiwa hadi unataka kuchanganyikiwa.Napewa bila kupimiwa nikimaliza naelekeza akili zangu kusaka hela na kununua asetts ili nikizeeka niwe naajiri manesi wanifunge pampas😀😀
Nikifa mali zangu ni WAKFU,ntazikuta huko next life.
📌Sina stress na sicheki na wowote naulinda wangu moyo🥁👋
🚨🚨🚨KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!