Wewe ni KATAA NDOA,FIKA MAKAO MAKUU UCHUKUE KADI YA UANACHAMA.UNAELEMENT ZOTE ZA KATAA NDOA.Daaah ujue ipo hvi.
Kwa upande wangu mi mambo ya kuoa oa hayo hata siyafatilii yaan ntajuaga huko huko kama taoa au laa..
Ila hata nikitaka kuoa huyo ambaye anataka aolewe basi awe chizi kweli kweli maana huki kichwa kwa kweli sijui.
Mi ambacho napiga marufuku mpaka kesho ni mtoto ...
Yaani mimi sitaki mtoto kabla sijamwandalia mazingira
📌📌📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!