Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

Yaani mbele pale hightable upande wa mwanaume tunakaa sisi. Familia yako iliyokuponza wanakaa karibu na entrance. Tutakushitua.
Yeye hajiulizi alimuona nani kaja kajisifia kuhusu ndoa humu.
Huwa nikiangalia scene za maharusi kati ya watu wanakuwa kwenye lindi la mawazo pale mbele ni wanaume.Huwa wanapata mawazo mseto.Ila pia nature huwa inaanza kumshughulikia palepale anapokula kiapo cha kuwa mtumwa wa mwanamke maisha yake yote๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒKATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
Huyu tushamalizana nae, kwanza hela tu ya mahali hana huyu. Tunajipotezea muda. Haelewi hata kula yake. Tumuache atajijua.
 
Rafiki yangu material yako ni mazuri, tatizo utamuoa nani. Unachoeleza ni inavyotakiwa kuwa, lakini unakutana na hali tofauti kabisa. Bahati mbaya hata mwenye maono kama yako anaweza kushindwa kuyasimamia akawa kituko tu.
Katika dunia iliyojaa utapeli na uwongo plus unafiki.Ni heri ukachagua KATAA NDOA ili uilinde nafsi yako na afya yako ya akili!!!
 
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA MKATABA WA KITAPELI
 
Okay basi fanyeni kuoa au kuelewa iwe kama mtu kaamua kubaki na govi au kulikata haina impact ya moja kwa moja kwenye maisha ya mtu, waacheni watu Waishi maisha Yao.. .
Lazima tuwaambie wachague moja. Kuna ambao wanafuata mkumbo tu. Akisimama peke yake hajui kwa nini anakataa ndoa. Wasije kutusumbua wakianza kuhitaji uwepo wa watu katika maisha yao maana ni ndugu zetu
 
duuuu! NIMECHEKA HADI NIMEJISTUKIA
Unashawishi watu wachape ukuni bila kuoa?? Kama hutaki ndoa kaa na ukuni wako ukunyaukie. Acha uzinzi.
ENDELEA KUOMBA UNYUMBA, WENZAKO TUNAENDELEA KUWATINDUA MPAKA KIELEWEKE.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒKATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
Tuwe wakweli tu. Asilimia kubwa ya wanaokataa ndoa ni Wanaotumia/tumika katika jinsia moja. Hawa wanashabikia sana kukataa ndoa maana hawatawapata wote wakioa/kuolewa hakutakuwa na wateja. Na huu ni mpango halisi wa Shetani. Mwenye sikio na asikie
 
Lazima tuwaambie wachague moja. Kuna ambao wanafuata mkumbo tu. Akisimama peke yake hajui kwa nini anakataa ndoa. Wasije kutusumbua wakianza kuhitaji uwepo wa watu katika maisha yao maana ni ndugu zetu
Nani akusumbue wewe mwenyewe hao makinda wako wakishajitegemea ujipange kwa kutengwa kama huamini subiri utakuja kuona.

Mwanamke ataungana na wanae wewe SIMBILIS utabaki na umasikini wako.Anza kujiwekeza vitu vya pekeako sio kila kitu huyo GAIDI unayemuona ni mpenzi wako anatakiwa kujua.Vitu hivyo ndo vitakusaidia baadae when your no longer useful
๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒKATAA NDOA,NDOA NI KWAAJILI YA VIPOFU!!!
 
Jaribu kuchunguza mtaani kwenu hili unalolitabiri kama ni rahisi saana kiutekelezaji na uulize sababu nini na mtu huyo awe bachela
 
Tuwe wakweli tu. Asilimia kubwa ya wanaokataa ndoa ni Wanaotumia/tumika katika jinsia moja. Hawa wanashabikia sana kukataa ndoa maana hawatawapata wote wakioa/kuolewa hakutakuwa na wateja. Na huu ni mpango halisi wa Shetani. Mwenye sikio na asikie
Endelea kuomba unyumba.Tunafahamu hakuna siku unapewa tunda willingly.

Wanaume wadhaifu ndo wamejificha kwenye kichaka cha ndoa.Hata mashoga michicha mwiba wamejificha huko.
 
Jaribu kuchunguza mtaani kwenu hili unalolitabiri kama ni rahisi saana kiutekelezaji na uulize sababu nini na mtu huyo awe bachela
Uwoga wa maisha ila watu wengi saiv wanaishi nyumba moja ila wanalala mzungu wa nne.

Wenye ndoa wengi wanakiri wanapimiwa unyumba.Hamtushawishi kuingia hilo chaka mlilofeli nyie.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒKataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
 
Wanawake hao mnaowazalisha ndio mnakuja kuwatukana na kuwaita single mothers, tatu mzuka wanaoiba mtaani na ombaomba ndio matokeo ya zao lenu, unaweza fikiria ni kwanamna Gani umedata?
๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œchapa ilaleeee kitaeleweka tu!!!
 
UCHUMBA SUGU NDIO HABARI YA MUJINI.AKIJIHISI KUCHOKA ANAACHIA SITI, HILI GOMA NI KAMA DALADALA UKISHUKA MWENZAKO ANAPANDA๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

KULA VIPARA MPAKA BASI.HAKUNA KUPIMIANA KARNE HII YA 21.TAFUNA MBUSUSU HAKUNA STAREHE KAMA KULA MBUSUSU.

CHAPA ILALEEEEE. KUOA TUNAWAACHIA MAZUZU!!!

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒKATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
UJENGEWE SANAMU LAKO NA WALIWEKE PALE BUNGENI DODOMA.

WEWE NI GENIUS MAAKILI MENGI PURE AND CHARISMATIC FELLA๐Ÿค๐Ÿค

MWAKA UJAO ADA YA UANACHAMA YA KATAA NDOA KWAKO HAITAKUWEPO. NGOJA NIWASILIANE NA KATIBU MKUU WA CHAMA.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒKATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 

Ni sawa hawataki kufunga ndoa rasmi. Na hasara yake ni kwamba unakuwa hauna mtu committed pale utakapoingia kwenye changamoto yoyote iwe kuacha kazi au kufirisika, kuugua au kuzeeka atakukimbia. Na anaweza ondoka kwako muda wowote. hiyo ni hasara. Ukiamua kuoa ... oa mazimaaaa. Kwa walio wajanja atakuibia na atatengeneza mambo yake kwa siri kwa kuwa anajijua mguu ndani mguu nje. Hii haitakusaidia usinyanyasike. Mnavyokataa kuwaoa rasmi ndio mnawafanya wawe manundaa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ