Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!!

Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana πŸ˜€ wanaume wengi awapendi kuombwa pesa. Kitendo cha kumuomba pesa tayari utakua umeshamfukuza mwanaume hatarudi tena!

Akijifanya kidume akituma pokea alaf baada ya siku moja muombe tena pesa. Safari hii muombe pesa nyingi zaidi na kama inawezekana muombe na vitu vingine kama nguo, simu, dhahabu na viatu! Hapa utakua umemaliza kazi uyo mwanaume harudi tena! Ataondoka mwenyewe kiroho safi kabisa tena ataondoka kwa kukimbia ata nyuma hatogeuka kuangalia πŸ˜‚

''Humpendi, omba pesa na vitu vya thamani kadri unavoweza'' hii ndo sheria ya kuwakataa hawa viumbe! watoto wa mujini tunaita law of dissipation!
 
Sawa kabisa na nyinyi mkijipenekeza sehemu msiyopendwa wanaume piga miti tia mimba akalee mtoto wake mbele huko, si hamtaki uungwana sawa mlie pesa zake alafu huyo unayejidai umempenda atamlipia ukalee mtoto mbele, tangu lini wanawake wakashindana na wanaume?
 
Mwanamke chukua tahadhari tena sana ,Dunia ya leo si kila mwanaume utakula pesa yake ukabaki salama hasa mwanaume mwenye pesa ya mawazo au mwingine akili yake haiko sawa. Majuzi club demu kanywa savanna za mtu anataka amkimbie jamaa..si akachaniwa nguo na chupi...
 
Acha umalaya mbwa ww
 
Uyo nae kiazi badala ya kuomba ela anaomba bia!!! Bwege kabisa!!
 
Kwaiyo nyi ndo waungwana? 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…